Yaaani nawapenda sanaaaa mie nyimbo zenu zinatia nguvuuu nakuwa na amani hata kama zingine sielewi lakini najjikuta naimba nakufurahi mmbarikiwe saaana mnasauti nzuriii sana
Nyie nyie mwenzenu nabarikiwa mpaka nabarikiwa tena nawapenda hatari kwanza mko smart kuhusu kucheza mpaka raha maombi yangu Yesu awatunze na kuwapigania
This song is biblically sound, carries a timeless message, Salvation, the beat in the song reminds of old African music. It's soul nourishing. May God continue to use you guys. Shalom
Ameeen 🙏 ni JINA LENYE UPONYAJI ,,HILO JINA LIMENIONDOLEA MAUTI MBELE YANGU OOH YESU UPEWE SIFA MILELE NA MILELE am watching yu in🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭
My soul is being healed. Natukuza Mungu kwa hizi nyimbo. Kupitia msamaha nmepata nguvu. Nina furaha kujua kwamba Yesu alinifilia msalabani ili nisamehewe❤️
Une belle chanson de tout le temps Je donne mon accord une fois encore pour l’année 2024 Anafunja zambi Na nimusamaha kweli Jina lake ni uzima piya afia kwetu
OOOOOOHhhhhhhh My ,,,,,,, Yesu ni Jina ,,,,,, Nimerudia zaidi ya Mara Kumi na mbili wimbo huu , ni Sauti kamili ya BIBLIA- Nipo Dodoma Tanzania,,,,, Mungu Awabariki sana sana .
🇰🇪🇰🇪kenyans we are here to support the work of God globally😘tunawapenda sana❤❤
Huyo Dada anaeanzisha nampenda sana ana moyo mzuri angekuwa ni mtu mwingine mwenye tamaa angelingia sauti yake angeacha kwaya angeenda kujitegemea
I love the garl leading in this song infact she sing with passion may u be blessed in kenya twawapenda nyimbo zingine ziwe kama hivi
These ones I think they are Rwandess they have seen all and they find joy in praising God.
Ndabakunda cyaneee ntimukareke gusenga imana🤍🤍🤍
A lot of passion in her
I always fall for her she sings nicely with passion
😭🙌
God indeed made your life scripts for every second that passes
Yesu huvunja mapingu ya dhambi Moyoni...... blessings from 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Tanzania be unto u
Perfect song be blessed
Yaaani nawapenda sanaaaa mie nyimbo zenu zinatia nguvuuu nakuwa na amani hata kama zingine sielewi lakini najjikuta naimba nakufurahi mmbarikiwe saaana mnasauti nzuriii sana
Ubarikiwe sana kutupenda na uzidi kutuombea
Kwa kweli hata ndimi elfu elfu hazitoshi kumsifu YESU kwa fadhili zake alizonitendea.
Kenya❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪such a blessing...God bless you Rwanda
Nyie nyie mwenzenu nabarikiwa mpaka nabarikiwa tena nawapenda hatari kwanza mko smart kuhusu kucheza mpaka raha maombi yangu Yesu awatunze na kuwapigania
Jina Hilo ni uzima jina Hilo ni afya❤🎉
Nitahubiri injili ya Amani na yoyote MUNGU atakalo.
Mungu atusaidie wapendwa wengine tunapitia changamoto nyingi jaman
Mungu awasaidie muwe mnaimba katika roho na kweli maana wana kwaya wa nyakati hizi wanawakiana tamaa wanakulana humo humo natamani isiwe hivyo kwenu
Asante kwa ushauri 🙏🙏🙏🙏
Hata ndimi elfu elfu hazitoshi.....ni ukweli usiopingika jina la Yesu ndio kila kitu kwenye maisha yetu
The way this choir blesses me..wacha tu🥰🥰
Amen amen
May you continue with the courage in Jesus Christ name. I like you all @jeremiahMomoi
Mimi nime wapenda bure! Mungu awabariki. Niko Addis ababa nafuahia sifa za Bwana kutoka kwenu!
Mbarikiwee sana kwa wimboo mzuur
Mzidi Barikiwa na Bwana wapakwa mafuta wake Bwana awatumie kama apendavyo vyombo vyake Nimebarikiwa saana.
hongereni sana kwa nyimbo nzuri na ujumbe mzuri mungu awabariki kwa huduma yenu zaidi awainue kiroho by frank eliudi nyuha singida
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu🙏🙏🙏🙏
Ndabakunda from korea indirimbo zanyu ndazumviriza minsi yose
Mba❤❤❤ kubiii imana Ibahe imbara nubuzima buzima❤❤
8th February 2023🔥nimebarikiwa sana leo na huu wimbo
8th February 2024.🔥A blessed song
Iyi ndirimbo ni rurangiza ndakurahiye ❤️❤️❤️❤️❤️🙏🏼iranfashije muri kino gitondo
AMINA Mbarikiwe Watumishi
Bwana asifiwe.
nimeliita Jina la Yesu wakati wote na nimeokolewa.
#Jina Hilo ni uzima
Hata ndimi elfu elfu hazitoshi kumsifu Bwana kwa fadhili zake. Yesu ni jina lanipa Amani....Amen
Mungu awalinde nakuwatunza Mungu akumbuke sadaka zenu za muda na sauti kwa mahubiri haya
Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 tunawapenda sana
Barikiweni sana 👏👏
Kweli jina hilo ni uzima na afya. Mungu awabariki.
This song is biblically sound, carries a timeless message, Salvation, the beat in the song reminds of old African music. It's soul nourishing. May God continue to use you guys. Shalom
Wow so nice
Munguakubaliki
Together East Africa for Jesus
Ameeen 🙏 ni JINA LENYE UPONYAJI ,,HILO JINA LIMENIONDOLEA MAUTI MBELE YANGU OOH YESU UPEWE SIFA MILELE NA MILELE am watching yu in🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭
Amazing souls
Nawapenda Sana ndugu zangu mm Niko Tanzania ila nawapata mnanitamanisha nirudi nyumbani mbalikiwe
Video mufti sana. Baraka teletele kwenu kwa wimbo huu
Amen glory to our might. Hata ndimi elfu hazitoshi kumsifu Mungu kwa uzuri wake kwetu. God bless you nawapenda
God gave u a nice vical
The lead vocalist ako sawa she sings with passion ,,,and she has taken the song has hers alone ,,, ubarikiwe
Hakika mnaimba vizuri sema mnavaa sketi fupi,kwanini mnavaa sketi fupi nyie waimbaji
Hongereni sana Zabron Singers
Aleluyaaaa hata ndimi elfu elfu hazitoshi kukusifu BWANA YESU kwa fadhiri zako🙏🙏 nawapenda kutoka 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hata ndimi elfu hazitoshi,,,kumsifu Bwana kwa fadhili zake.HALLELUJAH!!!!!!
🎉🎉🎉🎉
Jina hilo ni afia na uzima na kila kitu. Mungu awabariki
Blessings
Just wonderful ❤
Jinahilo ni afia kbs
Nimewapenda sana mnanibalik sana hakika mmeamua kumtumikia mungu
My soul is being healed. Natukuza Mungu kwa hizi nyimbo. Kupitia msamaha nmepata nguvu. Nina furaha kujua kwamba Yesu alinifilia msalabani ili nisamehewe❤️
My sister you have an amazing and wonderful voice love you so
Mkenya na nabarikiwa sana kusikiza nyimbo zenu
Hakika jina ilo ni uzima na amani wetu 🙏
Htimaye video umetoka nzuri Sana nawapenda Sana kiukweli
This is beautiful,I love you the great group
Barikiwa makamanda wa jehova
Much love from Nairobi,Kenya😍😍😍😍
Amen
Jina la Yesu ni uzima
Kali wakati ninaposikiza nyimbo zenu na barikiwa mno MUNGU hawainunue❤️❤️
Beautiful song 🎶🪗...
Mbarikiwe marafiki
Yesu naye upendo ningependa mje Kenya muwaambie Kenyan ladies wanakera Sana .
The lady leading is my favorite but all in all I love this team.
The Lord God bless this choir eternally. Amen
Amen amen 🙏
Mungu abariki hii choir
Une belle chanson de tout le temps
Je donne mon accord une fois encore pour l’année 2024
Anafunja zambi
Na nimusamaha kweli
Jina lake ni uzima piya afia kwetu
Murabambere rwose mubikora neza God bless all of you
Mnaimba vizur sana kina dada vaen sket ndefu
Nyimbo nzuri. Mungu aendelee kuwainua
I am from Zimbabwe I am blessed with your song🇿🇼🇬🇧
Be blessed, true to our Lord Jesus, from Tz
Aminaa kubwa atukuzwe mun
Amen amen
GOD bless you Singer
Hallelujah jina lako yesu ni kila kitu🙏🙏🙏the leader is annointed
Kweli kabisa.
Jina la YESU ni uzima.
Love your team & Music thanks for translation feel the lyrics God bless
fadhili zake ni za milele!
Asante kwa hii video tumeisubili sana MUNGU awabariki❤️❤️🙏🙏
Ndabakunda nkabura icyo mbaha , be blessed at all .
OOOOOOHhhhhhhh My ,,,,,,, Yesu ni Jina ,,,,,, Nimerudia zaidi ya Mara Kumi na mbili wimbo huu , ni Sauti kamili ya BIBLIA- Nipo Dodoma Tanzania,,,,, Mungu Awabariki sana sana .
Nawapenda,barikiwa from Tanzania
Ndabakunda cyaneee....u always make my day💪
Mungu awa bariki
Nalipenda jina la Yesu kristo 🎸🎸🎸🎸🎸🎸💃💃💃💃
Jina hilo ni vyote ndani ya yote🙌🙌🙌💃🎊🎊🎊🎊😌😌😌18.12.2021
wow...hakika jina la Yesu ni uzima.from kenya
Waoh....hongeren saaana good song hakika.
Wimbo umenoga jaman
Napenda sana nyie watu, nyimbo zenu zinanibariki hakikia. Mungu azidi kuwatia nguvu🤝🤝
wimbo wa kubariki sana tunapoanza mwezi mpya
I'am happy for thi song make me happy
I lov the team, the songs ministers to me
Welcome Tanzanian
Soon
Glory be to God 🙏🙏🙏🙏 love from Uganda
Mko vizuri avoid team
Iam sorry typing error Imeant a good team
Nikickia wimbo huu nabarikiwa sanaaa
Nimewapanda Mungu awabariki🇹🇿
am here, this is oh my!
Halleluya be blessed bakozi b'Imana dukunda