This boys are talented and humble proud of them 🤝🤝🤝🤝🤝#001 to the world what happy c anasema is real hakuna media za kutupiga support ,most of the media ziko Nairobi.Mombasa na Nairobi tukiwa Kama pua na mdomo am sure we will make industry to the world .Am a comedian have gone viral sometimes back but nasema mda wangu bado ndio nasubiri #001 to the world
Jalas seriously it's time we stop listening to bongo music coz we have our own kina diamond on the ground.please you should do this more and bring these our young brothers to the limelight my G.your the only platform for them to be listened in Nairobi n all over the country coz seriously nairobbery haitambui hizi talent.big up my G👍👊
Wapi likes za Mr Mubei my instructor Ken safe Training Collage Big ups #HappyC#K.O dogo la mtaa the #KijanamasterzDjShangz hongera #Jalas Mungu azidi kubariki kazi ya mikono yako kulira dzulu mwenehu(Kulia juu Ndugu🤣🤣🤣🤣🤣)

Lets support our own artist to the nxt level buy kenya jenga kenya🇰🇪🇨🇭🤜🏿🤛🏿
Jalas seriously it's time we stop listening to bongo music coz we have our own kina diamond on the ground.please you should do this more and bring these our young brothers to the limelight my G.your the only platform for them to be listened in Nairobi n all over the country coz seriously nairobbery haitambui hizi talent.big up my G👍👊
Umeongea point mkweli
Kindly hosts Chikuzee pia,this is another big talent 🙏
Sure.A true veteran
Talent hits a target no one else can hit... 👊
K.O to the world
A very awesome Interview.. K. O🔥🔥🔥
K.O & Happy C are very talented and very humble.... 😘😘😘
001 finest.
K.O & Happy C to the world....
Wapi like 100 kwa mabingwa wetu wa pwaniii!!!
Jalas ,tafadhali mtafute KAA LA MOTO umlete. Real swahili hiphop
Its good impressive 👏 keep it up Heavy Jay 💪 thanks for that job
K.o anaimba kweli kweli 🔥🔥🔥🔥🔥 big up. Good artist. Hata watanzania wataingia uwoga.
Madogo wa mombasa wana stori 👍😅😅 mziki taamu ..K.O na Happy C the next big thing
Amazing talent
K.O ako na confidence sana. Nimemkubali. Atafika mbali
K.O is my favorite artist akuna wimbo wake sina kwa gallery
Happy c......kudos brooo...uko tu sawa .....keep on focusing
The most talented hardworking artists Kenya have ever produced big up guys 💪❤️💯
Wapi likes za Mr Mubei my instructor Ken safe Training Collage Big ups #HappyC#K.O dogo la mtaa the #KijanamasterzDjShangz hongera #Jalas Mungu azidi kubariki kazi ya mikono yako kulira dzulu mwenehu(Kulia juu Ndugu🤣🤣🤣🤣🤣)
K.o napenda iyoo bro nice job all the best to the world meanwhile classic bwoy on tha way coming bro 001to the world
KO is a bright guy
Am number 3 today
Look Safi kama kawa Heavy j 🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥 Kenyan bongo style
Mombasa got stars, k.o and happy c unyamwezi mwingi
Happy c A.k.A wawindaji.Big up
Great talents there🔥
Kenya Kunatalanta tatizo support
Hapo tumecheswa dah🤷😳ati class one anapiga show.wahala🙆
Jalas..,.....japesa!!!! akuje next
Jalong'o cheza kiwewe......tuletee japesa!!!!japesa!!!!! Tunataka japesa
🔥🔥
Big up Jalas ku support talent
Mombasa talents ziko sana lkn promotion ndio hamna ....wasanii wa Mombasa wanaimba vitu frshy Sio kama nrb
K.o for life
Jalangoo the best 🔥🔥🔥🔥👍👍👍👍👍👍👍
Kudos happy , go higher
🤣🤣🤣ni kasumba jalas......sanitize🥂
Shimo La Tewa High school 🏫muko??
001 boyz
hapa kunavwawekezaji 😂😂😂😂😂😂jalas
🟡🟡🎤 🎧 🎼 🎹 just fir a minute I thought Quavo, on Jalas. C tushakuona, mlifika vizuri! 🥁 🪘 🎷 🎺 🪗 🎸🟡🟡
Wawindaji walitesa Enzi izo
K.O Kenya 💥💪
001...respect
KO na Happy C nawakubali
Jalango please host juala Superboy
Eish! Maulana tu awajalie sisi tutawasupport
Baba Jalas, ukitaka uraisi tutakupa
Talent
Management ni muhimu pia kwa talent
namujua Nyerere market manager kongowea
Great show..K.O🌴🌴💥
K.O good boy with a future
K.O. twendenaloo
Happy c 🔥 🔥
#001 Boys🔥🔥🔥🔥
Future
@Jalas host Maggie Ireri please, her singing talent is on another level.You will be amazed.
Happy C
Heavy J,bring us Daniel Mutheki,,tutashukuru sana
Happy C to the world
OuttaStreet 49 tunasuppor na kujaza views na comments 💥💥
Sikiza mazungozo vizuri hapo ni dalili za watu wa media tu zina penda hongo na bifu kwa wasanii
Vijana wa kwetu Wana vipaji.
Fact jalas ,,likes zao zidrop
Owad gomwanda makebadwa yawa
Na Jalas hawa walipitia wapi? I thought kuna lockdown😀😀😀😀😀😀😀
Asking myself the same question
Pwani sio Kenya 🙌🔥🔥
JAPESA ALETWE THE BOY
Corona ipo ni vile hatujaiona...what a foolish thing we say as Kenyans 🤣🤣🤣🤣🤣
Hii haijabamba
Ni hujuma sana Jalas,unapata wapi nguvu ya kumaliza hii interview.hater wewe 🤣🤣🤣🤣(joke na jalas)
HC Wawindaji
Chondo😂😂😂
Jalas call king kaka on the show please
Interview inaanza 28.00 😂😂😂
Is jalang'o drunk? He interjects too soon.He shld give ample time for these guys to answer
Wale watu husema kenya hakuna talent ya music mpo kweli