Aslay x Alikiba |Reaction video |Bembea
Вставка
- Опубліковано 14 тра 2020
- 👕 Thank you for making these reaction videos possible by supporting my clothing brand, JUST GO 🌎: van-isikaka.creator-spring.com/ Aslay x Alikiba-Bembea(Official Music Video)
• Aslay x Alikiba - Bemb...
East Africa radio • Video
For Skiza*811*86#
#Aslay duels with #Alikiba to bring you a hit tune like never before, Enjoy... #Bembea
Available Worldwide backl.ink/57606781
For Bookings:
aslayisiaka@gmail.com | chambusob@gmail.com
Copyright Disclaimer Under Section 107 of the copyright Act 1976, allowance is made for “fair use” for purposes such as criticism, commenting, news, reporting, teaching, scholarship, and research. Fair use is a use permitted by copyright statue that might otherwise be infringing. Non profit, educational or personal use tips the balance in favor of fair use* ALL RIGHTS BELONG TO THEIR RESPECTIVE OWNERS
~-~~-~~~-~~-~
Please watch: "Shilole alivyopigwa na UCHEBE ,REACTION |Babalevo Asimulia"
• Shilole alivyopigwa na...
~-~~-~~~-~~-~
Asante sana kwa kutembelea Channel yangu🙏 Usisahau kusubscribe , kushare na kulike .Pia usiache kuangalia video zingine za reaction zilizopita na zijazo🙏🙏...Asante sana🙏 na Usisahau kusubscribe🔥
Van mbona bado ile ombi langu
Please, reaction ya wimbo WA MAUTIUTI by Rich paradiz
Ila ni áudio, please
Jamaa umenifurahisha apo alikiba Alivyoingia dah
Yaaan we acha tuu
👑 kiba mkali sana tunaumba reaction ya alikiba unaitwa katika please
Nimegundua we jamaa unapenda mziki mzuriiiiiiii,haya fanya kureact Timaya ft Alikiba(number one) japo haina video najua hushindwi kufanya kitu
Tutapita nayo haina noma👍
@@Vanisikaka naomba utuletee maumivu per day ya kingkiba uskie zile njia zko unazozipenda
Nakubali sana Yan king kiba sio wamchezomchezo nimfalme wa muzik Africa anapopita hapiti mtu yeebaba
Si mtu mzuri yan😀😀
Unyamwezi mwingi sana 💥💥🔥🇰🇪.
You know what am addicted to your video reactions..You are the best much love from Hague Netherlands 👌👌💥💥💥,
Thanks so much🔥🔥🔥🙏🙏🙏
King sultaan wacha tuenjoy wenye mziki wetu shida gaaan kwani kama king ni wetu na mziki ni wetu wacha tunoneeeee
😀😀🔥🔥🔥🔥🔥
Piga kelele weweeeee 👑 kiba
😀😀
Yamoto sana hii bigup Sana uko vzur
Wakali hawa
Ni kiboko hii jamani naipenda mnonooooh 🤗🤗🤗🤗🤗
Hapo naamimi ,bembeaaaa👏👏🔥
Ommy ft alikiba
Bro maumivu per day ya alikiba nasubiri hpo ndio utaskia zile sauti unazopenda..... am waiting fr it bro
Nan mwengine amejua isikaka ni shabiki wa ALI Kiba
💪💪💪KINYIMBO KITAM MNO HUCHOKI KUKISIKIYA
Tokoss
Wao l lk it the song
🤴🤴🤴
Hallow boss mambo,,, hope. Uko powa bro
Nice one bro good song good reaction
Thanks bro🙏🙏
Uyo ndio alikiba sio poa kabisa
Sio yan
King
King Kiba, yeap, yebabaaaaaa
Namba zako jomba
Nicheck insta @vanisikaka
@@Vanisikaka pp
Fanya video reaction ya Anjella # Nobody
J. R nimpenda mziki mzuri ona alivo pagawa na mziki mzuri...
👏👏👏
wakwaza leo
Ha ha umetishaaa🔥🔥🔥
King kibaaa
Uyu jamaa anampenda kiba
King kiba kauwa sana
King ni baddest kinyama 💪
Kinoma noma
Mtangazajo aliokaa Ni dula mjukuu wa Ambua
Ooh yeah
King Kiba na Aslay ❤️❤️❤️❤️❤️❤️💋💪💪
Yeaaah mambo c ndo haya,🔥😃
Ha ha ha mtu wa kiba wewee😂
@@Vanisikaka nimeshatia maguu hapa baloz mwadilifu w mflme w bongofleva @alikiba 😅
Na memba halali wa @vanIsikaka🔥😛
Nakubali sanaa kaka🙏🙏🔥🔥🔥
@@Vanisikaka one luv bradaa 🙌
🔥🔥🔥🔥
Van fanya nangoma alikiba rupera
Reaction to Fally new song
ye baba🙌
🔥🔥
@@Vanisikaka 👊👑
Utamu iko hapa
Ha ha ha mida ya kubembea hii🤣🤣🤣
Hapa sitoki ngo😂😜😜
@@carolnjagicr7 ha ha ha crazy🤣
Huku kenya twasema u make my ovaries twerk😂😂😂niko round four kwa hii reaction
@@carolnjagicr7 ha ha ha i swear usije uka blackout, ha ha naonea huruma hizo overies🤣🤣
Hivi ulikua unachelewa wapi wewe kaka mkombozi wa team kiba tunajivunia wewe