"RELI YA SGR KUUNGANISHA NCHI ZA AFRIKA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 39

  • @muscato50
    @muscato50 4 місяці тому +8

    Asante sana Magufuli kwa uthubutu huu.

  • @SaidKasomo
    @SaidKasomo 4 місяці тому +4

    A real defining project. One to change Tanzania's role and position in the African economic. A huge will be on how to manager the infrastructures so that they can reach their expected life span. Kudos Tz

  • @mussamussa8181
    @mussamussa8181 4 місяці тому +6

    Ahsante MAGUFULI

    • @zawadix9574
      @zawadix9574 4 місяці тому

      Asante nini hayo maendeleo jamani sio favor sija skia mtu Ana Sema Asante uhuru kenyatta ama Jacob Zuma tu ache ujinga wa tz...

    • @herodiduma9906
      @herodiduma9906 4 місяці тому

      @@zawadix9574 Kwani lazima tufanane,ndio maana Tanzania ni nchi ya kipekee

  • @MikidadiSalim-xk9dc
    @MikidadiSalim-xk9dc 2 місяці тому

    Mungu mkubwa twakuomba uendelee kutubariki bila ya wewe hakuna litalowezeka kikubwa tunasema asnt sn Mungu....pia shuqrani kwa viongozi waliokuwa sababu ya kukamilisha hili jambo M/Mungu awabariki na waliotangulia mbele ya haki M/Mungu awapumzishe kwa Amani.....

  • @gideonmwanjila8616
    @gideonmwanjila8616 4 місяці тому +2

    Hongera Tanzania 🇹🇿

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 4 місяці тому +1

    Hongera Tanzania lakini msimsahau mh magufuli alianzisha Kwa kishindo na dunia nzima inashangaza lakini alikuwa na utashi hao wamaghalibi hawajawahi itakia mzuri Africa hilo mlijue

  • @muyongahassan2188
    @muyongahassan2188 4 місяці тому +1

    Hii ni project ya magufur aliyo achaa pongez tena kwa samia kuendeleza tunaomba treni iwe na rangi ya bendera ya Tanzania palembele

  • @ZainaRashid-t3m
    @ZainaRashid-t3m 3 місяці тому

    Hongereni wakuu wa nchi

  • @fransicmushenyera9302
    @fransicmushenyera9302 4 місяці тому +1

    mmezungumza sana angekuwepo JPM ingekuwa mmeanza kusafirisha punguzeni maneno.hayo mabehewa ya abiria kutoka ujerumani yako wapi ulisema ni therathini yaliingia sita

  • @jacksonayubu7309
    @jacksonayubu7309 4 місяці тому +4

    East Africa's real economic giant

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 4 місяці тому +2

    Hilo ni jambo zuri sana

  • @BrayanKavishe
    @BrayanKavishe 4 місяці тому +2

    Nice

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 4 місяці тому

    "Hapa kazi tu, Kazi iendelee.." salaam za pongezi nyingii toka mwanza 🐟.

  • @MeenaHassan-fd9vv
    @MeenaHassan-fd9vv 4 місяці тому +2

    Hata kama jpm hayupo Alama alizoweka ni kubwa sana hakuna rais aliyeweka Alama kubwa kama jpm na samia a bit anafanyakazi nzuri, awamu zingine hazikuwa na maono

    • @augustinemzeentinginya3057
      @augustinemzeentinginya3057 4 місяці тому

      SGR ni maono ya Mkapa, iko kwenye vision 2025 aliyoanzisha Mkapa

    • @deven.oauditx7547
      @deven.oauditx7547 4 місяці тому

      Wewe umezaliwa mwaka gani?

    • @abdulpagali7476
      @abdulpagali7476 2 місяці тому

      Walitawala kama wakoloni tu. Kila alichokuwa akikusudia JKN, JPM kakianzisha na SSH kakiendeleza kwa dhamira ya kukikamilisha.
      JPM amethubutu kuanzisha ujenzi wa Bwawa la Kuzalisha megawatts 2,115 za umeme; reli ya kiwango cha kimataifa ya umeme yenye urefu wa zaidi ya kilometa 2,700 ambayo light train inayosafiri kwa kasi ya kiliometa 160 kwa saa na heavy train ya kasi ya kilometa 120 kwa saa. Kuhamishia ofisi za serikali Dodoma, uwanja wa ndege wa Msalato, Daraja la JPM, n.k.

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 4 місяці тому +1

    Haya mabehewa kuna mtu alikula?

  • @martinmhando2079
    @martinmhando2079 4 місяці тому +1

    hakuna rais angethubutu kuanza from scratch huu mradi huyo mwengine amekta kila kita kiko tayari asingeweza Thubutu kujenga mahanaki Madarsja no never rest in peace magufuli

    • @deven.oauditx7547
      @deven.oauditx7547 4 місяці тому

      Hata Magufuli alikita mradi ukiwa kwenye manunuzi.

  • @karimkinwary4668
    @karimkinwary4668 4 місяці тому

    Viva Tanzania 🇹🇿

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 4 місяці тому

    Wabaguzi hao hawajawapa kazi wanawake ina maana Tanzania nzima hamna wanawake wangeweza kujifunza kuendesha treni mbona kuna marubani wanawake ATC ???? Hii ni bogus kabisa lazima ipigiwe kelele Na hata ajira zao Wale wahudumu wanawake inaonekana kama almost ni kabila moja au baadhi ya mikoa tu.

  • @triumphkimaru1077
    @triumphkimaru1077 4 місяці тому

    ASANTENI WATANZANIA KWA MWELEKEO UPYA KARNE HII. MUSIBANDUKE HADI WALE WALIOWACHEKELEA MIAKA ZA ZAMANI WAJE WAOMBE MSAHAHA. NATAMANI KUSTAAFU NCHINI KWENU.

  • @kamilikapeta2574
    @kamilikapeta2574 4 місяці тому

    Magufuli pumzika kwa amani kujitowa kwako tumeyaona tusiyo yategemea alama yako atafutka daima

  • @zawadix9574
    @zawadix9574 4 місяці тому

    Acheni uwongo hiyo reli bado haija fika 2000km have honest reporting

    • @herodiduma9906
      @herodiduma9906 4 місяці тому +2

      Huelewi wewe TULIA acha kukurupuka kwa vitu usivovijua

    • @askarikanzu1054
      @askarikanzu1054 4 місяці тому +1

      Hivi wewe kwa nini unawashwa kila ukisikia sgr?

    • @nicolasaugustino8449
      @nicolasaugustino8449 4 місяці тому +1

      Imefika ngapi kama unajua?

    • @zawadix9574
      @zawadix9574 4 місяці тому

      @@nicolasaugustino8449 almost 500km dar to Dodoma via Morogoro

    • @herodiduma9906
      @herodiduma9906 4 місяці тому

      @@nicolasaugustino8449 Huo ni mwendelezo Dar~Mwanza,Isaka~kigoma,Mpaka mpanda hizo 2000km hazijafika?

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 4 місяці тому

    Wafanye kazi sio blabla iwe mfano Africa tunaweza sio kuonekana tuna uzembe wa usimamizi mradi muhimu.

  • @niolaussdavid
    @niolaussdavid 4 місяці тому

    @RAISISAMIAHASSANISURUHU ceo atoke ujerumani