As God sends those bedbugs to the mpango wa kandos of others may those bedbugs hear my voice and passby all the mpango wa kandos my husband has including the lead mpango wa kando Alice Atieno Oluoch ...in Jesus name, Amen!
In the name of jesus may the kungunis variable mpango ya kando ambaye anavunja ndoa yangu..vile pastor amesema kunguni zijae zikule mipango ya kando na MimBA itoke
Mpango wakando aliyejukua Mme wangu akanifukuza bila makoza wakuliwe ngunguni na walio msuguma mzee wangu family members wakonganidhe na yule kijana alifukuza kijana wangu kutoka kwao wapigane panga wao wenyewe naomba baba tenda
@faith nyawira I support you wakulwe hadi zijue harufu zao ziwafuate popote waendapo. Naomba pia zikule dadangu Jacky amezidi kuwa mwk na kukosa heshima Kama vile PST E.Z.E.K.I.E.L AMESEMA. In Jesus mighty name🛐🛐🔥🔥🔥
Ewe mpango wa kando unaonifanya nitusiwe na niteseke kwa kuchukua mme wangu . Kunguni wakukule na aibu na familia yenu na mtoto wako ziwahangaishe mpaka wajue Kuna Mungu aishie milele.
Naomba ndoa irudi ,pastor watumie wasielewane baba. kijana wangu ajijui analala kwa wasazi wake ajijui vile alioa hata amefilizika umasikini mwombee arudi tukaishi poa pia anipigie simu nitashukuru nimemusameha
Kumbe hzi kunguni Huwa ni kweli?we mtumishi wa mungu ziachilie kwa walio chukua mume wangu.stella,fridah,faith rehema,fatuma Rachael,moureene,mama mercy,Tabitha,Joyce na wengine wa sirini achilia kunguni na mende usiku wa Leo wasilale
Mungu atume kunguni kwa mpango wa Kando mwenye anafunja ndoa yangu in Jesus Might Name 🙏
God answers prayers have faith
Mipango ya kando ya mume wangu yote iliwe na kunguni na ishindwe katika jina la Yesu.
Amen mpango wa kando wakufie mbali katikati jina la Yesu christo
Mungu atume kunguni kwa walio shika ndoa yangu,masoma yangu na kuniendea kwa wanganga
Dorothy imoja uliwe na kunguni hadi uinue mikono juu in Jesus name 🙏
Peleka prophet mahali mpango wa kando ako kwangu burukenge imfikie in jesus name
Lilian na munandi muliwe na kunguni jukuwa mume wangu katika jina la yesu
Yesu wangu tuna burukenge Kwa mpango wa kando anaye haribu nyumba yangu
Mipango ya kando yote ya mume wangu natuma kunguni na walazwe wod number 8 in Jesus mighty name Amen
Mungu matuma kunguni kwa mwanamke alievunje mausiano yangu na kuchukua kasho yangu in the mighty name of Jesus i connect with this alter 🙌🙌
Mipango ya kando washidwe katika jina la Yesu natuma kunguni katika jina la yesu kila ommy shidwe
Nyinyi kunguni mnasikia nendeni mahali Kuna mpango wa kando wote wa bwanangu. Wakule Kila mahali mpaka Kwa ulimi. Amen.
As God sends those bedbugs to the mpango wa kandos of others may those bedbugs hear my voice and passby all the mpango wa kandos my husband has including the lead mpango wa kando Alice Atieno Oluoch ...in Jesus name, Amen!
Pastor niombe nirudi kwa ndoa yangu Lilian Achieng Owino Mpango wa Kando atoke kwa ndoa yangu pastor
Asante pastor mpango wa kando na sponsor waniheshimu
"Pastor Ezekiel, watumie Mburukenge Wachawi wangu huko kijijini! Wamenisumbua siku nyingi sana!
Amen I receive in Jesus's name Amen 🙏
Narudia tena mipango yekando ya mume wangu walazwe wod number 8 nakunguni iwakule wachane na ndoa yangu in Jesus mighty name Amen 🙏
I claim this testimony in the name of Jesus. Mpango wa kando aliwe hadi wakosane
Nakataaaa kuwaaa caretaker, Mpango wa kandooo tokeniii kwa ndoa za wenyewee⚡⚡⚡⚡⚡ya kunguniii
Naomba uniombee babake watoto wangu popote aliko akumbuke watoto wangu na mimi anikumbuke in jesus name
Amen
Tuma kunguni na mende Kwa mipango ya kando yote ya bwana yangu waachilie doa yangu in Jesus mighty name amen
Amen 🙏,I receive my blessings.
In the name of jesus may the kungunis variable mpango ya kando ambaye anavunja ndoa yangu..vile pastor amesema kunguni zijae zikule mipango ya kando na MimBA itoke
Joy wherever you are upatane na kunguni
Mpango wakando aliyejukua Mme wangu akanifukuza bila makoza wakuliwe ngunguni na walio msuguma mzee wangu family members wakonganidhe na yule kijana alifukuza kijana wangu kutoka kwao wapigane panga wao wenyewe naomba baba tenda
amen natumia mpango wa kando wa mume wangu anayeniaribia ndoa izo kunguni
Blue kenge waende kwa Jane munjiru mwangi na wanaume wake in Jesus name amen
Ameeeeeeeen in JESUS name
Brian wangu apone kwa jina la yesu afrya njema irudi
Mipango wangu woteeeh,kwanza wewe Waithera uliwe na kunguni na mende hadi watu wajue,,,,mteseke hadi muombe msamaha....in Jesus name....
@faith nyawira I support you wakulwe hadi zijue harufu zao ziwafuate popote waendapo. Naomba pia zikule dadangu Jacky amezidi kuwa mwk na kukosa heshima Kama vile PST E.Z.E.K.I.E.L AMESEMA. In Jesus mighty name🛐🛐🔥🔥🔥
Nimepokea pastor
Amen pastor haki mpango wa kando wameninyanganya bwana please pastor pray for me
Na mpango wa kando alie kwamilia ndoa yangu atumiwe cancer inayo tesa innocent people Amen
Ameeeen yesu a tusamehe kuwa mupango WA kando
Mpango wa kando na jamii yako mutaumia.. Kellen na boma yako mumeingilia boma yangu mushindwe
And the truth shall set us free 🙏 🙌
Ameeen 🙏
Na kunguni na burukenge zifamie nyumba za mipango ya Kando wote wa bwanangu mpaka waachilie bwanangu katika jina la yesu.
Mpango wa kando ,yule atakaye karibu kuharibu ndoa yangu Tena akuliwe na kunguni .
Naomba kunguni na mende kwa kitanda ya kellen na martn,na wakilala pamoja wapatenkisilani na gari yangu walioiba waumie
tuma burukenge mipango ya kando wamezundi sana tuma na support wameua watu ndoa zao
Tuma kunguni kwa mpango wa kando Eunice
Pstr tumia mpango wa kando na sponsor wake kunguni na mende,,na wakipanda gari yangu wateswe pia..Mungu wamenitesa
Aluya oosana amen
Mwenye ako na mume wangu ,, kunguni zimwendee mpaka amuache mume wangu
Wakuliwe kabisa in Jesus name
Hzo kunguni zifuate mpango wa kando anayeadama mume wangu
Pia mimi mungu anitumie kunguni huko kwa mume wangu hapo walipo na huyo mke aumwe kabisa na atolewe na huyo mwanaume na aende huko alitoka
I pray request
Ewe mpango wa kando unaonifanya nitusiwe na niteseke kwa kuchukua mme wangu . Kunguni wakukule na aibu na familia yenu na mtoto wako ziwahangaishe mpaka wajue Kuna Mungu aishie milele.
Unisaidie number yako
I believe mungu atanitendea kwa yule amenisumbua kwa miaka minne sasa
I claim that testimony, may it be so for me in Jesus name
I wish God of ezekiel ata nikubuka cz i need to be e blessed
Kunguni nendani mahali kuna mpango wakando
Eeemen,walionidharau waniheshim,napokea nyota yangu eeemen
Caro nakutumia hizi kunguni mpaka uondoke kwa ndoa yangu
Yes peleka mahali babangu alienda
Naomba ndoa irudi ,pastor watumie wasielewane baba. kijana wangu ajijui analala kwa wasazi wake ajijui vile alioa hata amefilizika umasikini mwombee arudi tukaishi poa pia anipigie simu nitashukuru nimemusameha
Amen napokea nyota ya utajiri na ndoa kw jina la yesu
Amen Mungu ni mkuu 🙏.
Nyinyi kunguni endeni kwa Jane munjiru mwangi wherever she is
Mpango wa kando wa Mzee wangu Beatrice na ukulwe na kunguni in Jesus name.
Irecieve my star in Jesus Name
Mungu wa Ezekiel okoa dadangu na mipango bili ya kando anateseka sana Pastor nakulilia
Joy akulwe na kunguni kitale awachana na mme wangu
Amen I receive my 🌟 in Jesus name 🙏
Glory to God nimepokea
Napokea yote Pstor
Mpago yakando wakufe
Amen,nko na shinda ya kitovu kinatoka damu nikiwa Kwa siku zangu,nko saudi Mimi kenya
Pastor tuma kunguni kwa mpango wakando amekalia bwana wangu na mali yangu.
Amen...mipango ya kando wafe wote
Amen ukianzia na halima said
I receive my star in Jesus Name Amen
Mipango ya kando wakulwe kabisa mpaka watubu n Jesus name.
Amen napokea hiyo nyota ya utajiri
Amen pastor
Nimepokea Kwa jina la yesu
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
Tuma kunguni pastor ezekiel kwa ule mwenye alichukua nyota yangu ,bahati yangu na mpango wa kando wa sister yangu waangamishe
Amen 🙏🙏🙏🙏 Kwa yesu
Kumbe hzi kunguni Huwa ni kweli?we mtumishi wa mungu ziachilie kwa walio chukua mume wangu.stella,fridah,faith rehema,fatuma Rachael,moureene,mama mercy,Tabitha,Joyce na wengine wa sirini achilia kunguni na mende usiku wa Leo wasilale
Kunguni mnasikia nendeni mahali Kuna mpango wa Kando wote wa bwanangu wakule kila mahali
Tuma pastor waende kwa mpango wa Kando kwa sababu wamesababisha ugomvi na mengine mengi
Yesu Asifiwe Eeemen haleluia
pastor tuma kunguni kwa mpango wa kando na jamii yake
amen 🙏🙏🙏 walie na kunguni
Amen 🙌🙏🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌👏🙏🙌👏👏👏👏👏👏👏
Napokea 🌟✨⭐✨✨🌟🌟👏👏👏👏👏
I need to be blessed and let mpango wa kando leave my husband.
Pastor watumie kunguni kabisaa
Cheza na ndoa yangu na utamia
Wakulwe kabisa
Mpango wa kando anayemtesa dada yangu mume wake hajaja nyumbani zaidi ya 3 yrs kunguni na wakuandame.
Ieende kwa Regina this nyt
No more mpango wa kando,God forgiveus,with our children, I rebuke anybody altar over my son In Jesus Christ ,he will grow to prosper 🙏 🙌 ❤️
Amen my dear
Amen
Amina
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏God is good
Na hao kunguni waende wale mipango ya kando wa bwana yangi . Kila mtu akae kwa ndoa yake katika jina la yesu
Truth is like a lion even when you defend it it will show itself
Rudi Tena Nairobi plis
Mpango wa kando ulibomoa ndoa yangu kunguni zi kuvamie kabisa
Tuma kunguni Kwa mpango wa kando was bwana yangu Niko na imani kubwa