VITUKO vya MPOKI KWENYE UZINDUZI WA SMART KITOCHI, UTACHEKA UFE!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 лют 2025
  • VITUKO vya MPOKI KWENYE UZINDUZI WA SMART KITOCHI, UTACHEKA UFE!
    Kampuni ya Simu za mkononi ya Vodacom jana ilizindua simu mpya inayokwenda kwa jina la Smarti Kitochi.
    Akizungumza na wanahabari kwenye duka la Vocacom Mlimani City Dar, Mkuu wa Kitengo cha Mauzo na Mawasiliano wa kampuni hiyo, George Lugeta amesema simu hiyo wameipa jina hilo kutokana na uwezo wake mkubwa unaofanana na smart phone.
    Lugata amesema simu hiyo ina spidi ya aina yake katika matumizi ya data ikiwa Whatsapp, Facebook, Twitter, na mitandao mingine.
    YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
    -------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    HABARI MPYA DAILY:
    www.youtube.co....
    HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
    www.youtube.co....
    GLOBAL RADIO TV:
    www.youtube.co....
    EXCLUSIVE INTERVIEW:
    www.youtube.co...

КОМЕНТАРІ • 4