Lucky you visiting Tanzania. I spent many happy years in Tanga when I was a child 😊. Really miss the Swahili lifestyle. Enjoy your time in Tanzania. N'enda Salaama ❤
Next time nenda kariakoo kushop kisha nenda kigamboni beach, kisha nenda mwenge just to look or shop , kiasi thats the thing to do kama ur clubbing night , nenda tipsy
Kati ya wakenya wanaojitambuwa na wew ni mmoja wao pia nakushauri ukija Tz tumia kiswahili saidi kuliko kingereza maana Watz wengi hatupendi kingereza tunaona kama utumwa vile Nimependa Vlog yako na nimesha SUBSCRIBE tayari ❤❤❤
Nenda Sehemu Zenye watu wengi.. Mfano UDSM,, IFM,, CBE au DIT ..wailize vijana kuhusu Kenya Je.. wanaijua Kenya ??.. Alafu ukimaliza Nenda ukaangalie ngumi ..Hassan Mwakinyo vs Ningerian.. Ukimaliza Nenda Zanzibar kaaangalie Final Kati Ya Yanga 🔰 vs Azam Fc ..Enjoy👌🏽👌🏽
Oooh mlipendeza sanaa hongereni
Sema kama ni kula tu mamdogo unapenda 🙌🙌🙌🙌🙌nikutakie maisha mema
your very welcome
Funnnnnn. Safe travels my dear.
enjoooooooyyy mami
try lumumba grill for ur bbq dinner its also in kkoo lumumba street
بارك الله فيكم وشكرا لكم
This super nice video everything on point waiting for ur next video xiao
You can good English speaking you tuber and You so sweet girl. I like it
Mashaa Allah
Hongera sana mwanadada kwa kujituma.
Lucky you visiting Tanzania. I spent many happy years in Tanga when I was a child 😊. Really miss the Swahili lifestyle. Enjoy your time in Tanzania. N'enda Salaama ❤
Hoteli ya Wangazidja, Ma Shaa Allah wakija jamaa zangu wanapenda kushukia hapo
Nendeni Zaylii Magomeni,many many places to go
Mashaallah tabarakallah na sisi hayo machungwa jamani😂😂😂
Mashallah enjoy bongo poa have fin❤😅😅
I wish this for u mrembo..visit Mbudia Island on the indian ocean....
It’s beautiful wow 🤩
Thanks for visiting Azam Daresalaam! Azam ni nyumbani kwa Afrolanka, Azam Mombasa Damu 😊
💯💯💯
Sema unakulaaaaaaaaaa....Hakuna kujinyimaaaa
Karibu sana Tanzania 🇹🇿
Asante
Hakika sister nainjoy na video karibu bongo
karibu Tanzania
Am th fast to view today
🚀
❤
Wewe Zanzibar ndio kunakufaaa.....kauze urojo kule
Nenda Chef Pridee chakula kizuri
Pazuri Sana 😋
Pls , next time , naomba utuonyeshe Nairobi or mombasa. Tukija tusiwe washamba.
Sawa
Olaaaa.. wot bout showing Maeneo/various locations?? My BaD .. kumBe U came 2 food travel!
Hahahah yes. Sehem zengine zinakuja
PINK ➡️ WARIDI 💓💖🇰🇪✌🏾
Next time nenda kariakoo kushop kisha nenda kigamboni beach, kisha nenda mwenge just to look or shop , kiasi thats the thing to do kama ur clubbing night , nenda tipsy
not u being called a zanzibari by ur accent@ afrolanka🤣🤣🤣❤️❤️
Watu wanajua wewe wa Zanzibar au Tanga..😂😂Haki aliyeweka borders akamatwe haraka..Wewe wa kwetu kabisa.Enjoy nyumbani mrembo wetu..❤️🙏🏾
Huyo jamaa anaeuza ubuyu pia kamwambia "halafu huu umetengenezwa huko huko kwenubZanzibar " 😂😂 na yeye kaitika ahaaa😝😝
Kati ya wakenya wanaojitambuwa na wew ni mmoja wao pia nakushauri ukija Tz tumia kiswahili saidi kuliko kingereza maana Watz wengi hatupendi kingereza tunaona kama utumwa vile Nimependa Vlog yako na nimesha SUBSCRIBE tayari ❤❤❤
Zaidi sio saidi
Tz
Umetuletea products zako tununue ?
Watu wanajua we wa tanga au zanzibar😂😂😂😂
Usile gelato..as a muslim kuna ice cream ya rum which is haram
Sorry Kama una afrolanka hair oil please kabla hujaondoka Tanzania ..... I missed the moment when you were live
Sikubeba 🥹
@@afrolanka okay 🥺
Nenda Sehemu Zenye watu wengi.. Mfano UDSM,, IFM,, CBE au DIT ..wailize vijana kuhusu Kenya Je.. wanaijua Kenya ??.. Alafu ukimaliza Nenda ukaangalie ngumi ..Hassan Mwakinyo vs Ningerian.. Ukimaliza Nenda Zanzibar kaaangalie Final Kati Ya Yanga 🔰 vs Azam Fc ..Enjoy👌🏽👌🏽
How much is the hotel per night?
2000ksh per night Bed and breakfast
@@afrolankakindly share the details of the place, if you won't mind.
@@Lily_muthengi pearl hotel mkunguni kariako
@@afrolanka shukran