😍😍😍❤❤😍😍🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥Zuchu ni karembo masha Allah...nywele fupi she look amazingly..ndio maana simba kafa kaoza chezea mzanzibar...mola awajaalie kila la kheri
Jpo ni Team Bakhresa Ila sna Uteam wa Kijinga Wasafi Ninacho Wapendea Yni Body Yke Inajua Kuwasimamia Wasanii wake ningependa Kumuona Bakhresa Na Yye Body Yke iwe kma Wasafi Sio kila siku Yye pia Akitaka Awe Strong Kma Diamond Bas Harmonize Atafute Collabo na Artist Wa Njee Ya Africa Na sio Hpa Tz
Uyu MLA Sembe Anapenda Kik Za kijinga Mala Ya Kwanza Aliku Anatudanganya Na kik Ya Nimenunua Private jet Mara Private hachiii Alivyo Ona Amezoeleka Na Kiki Iyoo Ssa Kila siku Anakuja na kik Ya Zuchu Kma sehemu Ya kuboost Kazi zke
Wewe Kaka kweli unaroho mbaya ulijifanya mtakatifu kumbee wewe ndo mweny chuki na utimu akaa km yeye mla sembe na wewe mla mjani ni chakushangaza umpati kimaisha hata uzikiri uchi.
Zuchu is a really cute Africa Princess,too cute with a beautiful smile,and also humble
Zuchu Blackbarbie kazuri kwa nywele hizi mashallah🥰
Zuchu uwe makini kwasasa manaa nakupenda
Big up DP. Great definition of “bongoflava” . I have been waiting to hear that for a long time.
Lengo ni mzri, ni vema kushikamana zaidi Ili tupate wasanii wengi wakubwa hakuna haja ya kugombana wao kwa wao 🇹🇿✍️🙌
Esco upo vizuri mwamba now Confidence ni nyingi mno🔥🔥🔥
Kaupiga mwingi sana kushinda hata hao wengne
Mahusiano ya zuchu na mondi kuna kitu wameongeza sio uongo Watasumbua sana chemisty yao Iko juu na kibiashara wanatengeza hela sana
Uliosema yametimia sasa! 2yrs down the line
Yalitumia kwel@@BarbaraPatience-qt9cc
😍😍😍❤❤😍😍🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥Zuchu ni karembo masha Allah...nywele fupi she look amazingly..ndio maana simba kafa kaoza chezea mzanzibar...mola awajaalie kila la kheri
Nice simba and zuchu
moto sana 🔥🔥 you both look great
The look on Zuchu’s face explains everything
Woow so amazing ❤❤❤
Diamond 💎🧡🧡
Mungu akubariki simba
Simba diamond reo nimekereka video zikowapi irabasitu kwakuwa mimi ni shabikiako sinanamna ❤💪💎🙏🦁🙆
Jamani jimy umeandika ujumbe kwa uchungu
Nguo za Diamond na Zuchu leo haziendani
Simbaaaa ❤
Esco Donald wa SnS leo kamuuliza Diamond platnsss mswali najuwa amefurahi Sana😂😂😂
🔥🔥🔥💯
Jmn huyu mondi juz simlipost kanyoa kiparaaaa kaacha mindevu leo mbona ana nywelew
Huyu Simba anatumia Zuchu kama pambo tu.....kutiya nakshi....kusukuma biashara....akuna kitu ya maana hapa.....take that to the nearest bank.
I second you.
True
Give it one year .u will see he's using her to sell his music 🎶
umejuaje ww
Two years later@@masikalagatrude6618
Simber ujawahi kutu Angusha #foa ep number one kwenye digital platform tunafanya vizuri wcb for life
Mbn zuchu karudia mavazi hayo mavazi alivaa kwenye Bata la bort baharin 😅🤣🤣🤗🤗🤗😍😍
Hajafua kwani?
Zari muda wake ulisha kwisha
Kule kumpost zari ilikuwa namna yakumwambiya asikuwaze uko. Kwenye mahusiano na zuchu 😂😂😂
Zuchu anakufaa achana na Foa muoe zuchu..
Esko donald
Ushamba kuvaa dark glasses usiku.
❤❤❤👍👍
Zuchu apo penye uko paliwayi kuwa bangine sasa uwe makini
Mbona waandishi wa clouz siwaoni
The legend
Mmmh
Nagufan uyomutoto usimuac kwaju yamaneno yawatu usiwasikie
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
ZUCHU WHY YOU DIDN'T LOOK CONFOTABLE
31st rais wa kiki
Kalia hayo hayo maskini mwenzangu
Chapa kazi akisha mapenzi hayatuusu
Kitu najua mtu hawezi kua 31st 😂😂😂😂😂😂
@@dasaky9028 Wengine wanaleta tu ushabiki mandazi na chuki zao
kama mond anawachosha kunywen sum maana atawachosha mpaka basi
Zuchu thats kiki i know bat boss cant marry you,ur not a type of his girl he used to take
Kana ngongo utafikiria kanabeba zege
Zuchu una shingo fupi, hayo mahereni ahahaa au basi
🦁🦁🙌🙌🔥🇨🇩🇨🇩💣💣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙄🤣🤣🙄🤣🤣🤣
Tunachoka kuangaliya mambo yenu
Unachoka sio tunachoka,,,simple way ya kutochoka ni #UNSUBSCRIBE
Msichanganye mapenzi na musik. Mapenzi ni privat.
Usitizame filamu iyi ukiwa na watoto wadogo 🤭ua-cam.com/video/ZG7Z0naQf2Q/v-deo.html
mafuta ya Nazi mgongoni 😆😆😆😆
joto jmn😂😂😂
Jpo ni Team Bakhresa Ila sna Uteam wa Kijinga Wasafi Ninacho Wapendea Yni Body Yke Inajua Kuwasimamia Wasanii wake ningependa Kumuona Bakhresa Na Yye Body Yke iwe kma Wasafi Sio kila siku Yye pia Akitaka Awe Strong Kma Diamond Bas Harmonize Atafute Collabo na Artist Wa Njee Ya Africa Na sio Hpa Tz
Uyu MLA Sembe Anapenda Kik Za kijinga Mala Ya Kwanza Aliku Anatudanganya Na kik Ya Nimenunua Private jet Mara Private hachiii Alivyo Ona Amezoeleka Na Kiki Iyoo Ssa Kila siku Anakuja na kik Ya Zuchu Kma sehemu Ya kuboost Kazi zke
Haha useless comment
Wewe Kaka kweli unaroho mbaya ulijifanya mtakatifu kumbee wewe ndo mweny chuki na utimu akaa km yeye mla sembe na wewe mla mjani ni chakushangaza umpati kimaisha hata uzikiri uchi.
Kale sembe ulale huko
@@matumuhatibu4636 ndugu na uki upo🤣🤣🏃♂️🏃♂️
@@sanoureyaliwadoakaroyo1696 chamsingi kuliko zote rudi shule jifunze kuandika na ku tamka maneno elimu ni bure