I met you back in 1015 in Esbjer Denmark with your hubby. You're such a joyful woman and you got a loving husband. May God bless your marriage. Nakumbuka ukitupa story yako vile watu walikuwa wakisema umeaga dunia. Mungu akupe maisha marefu. I still got the 1st selfie ❤
Masawe vividly has a personal vendetta against Nyota for her achievements and successes in life regardless of low education than her and many others. Kudos Nyota ndogo wanafiq na wenye wivu umewapiga dole la Kati!!!
Nyota huanga so real 😂😂 I remember her asking innocently what SGR stands for...she doesn't fake at all...i also had an encounter with a young lady from Coast was surprised she didn't know English at all ata the simplest words u would assume she knows...her Swahili was perfect unlike mine ( Nairobi Swahili) we used to have hard time communicating some years back in Oman.
Nyota ndogo mamilioni ya watu dunia nzima wanakupenda. Wewe mwanamke mwenye kibaji na sauti nyororo na nyimbo zako tokea zamani safutia watu wengi sana na tunaeza sema ni za kusikilizwa na familia nzima. Lakini, Kidogo ile ilikuwa yatia familia yangu kiwewe kisamani ni mafasi ulikuwa wafalia, maskini bibi yangu alikuwa anaskilia remote kila saa aisime TV kila wakati tukisikiliza wimbo zako za mwanzo mwanzo ndio watoto wazione vile nguo silikuwa sakuaja karibu uji. Mtoto wa kitaita mahali mahadiri na tabia njema zanoga lakini ndivo hivo ni pendekezo lako la kibinasi na hata siku moja ukiojiwa juu ya kufalia kiuji, ulisema ujuti hata! Tunafurahi usapata kipenzi cha ugaibuni na huko na raha tele kutoka Moroni make. Ni mapenzi ya mungu na unajua wazungu hawajali mambo mingi kqa kimafasi. Twakutakia heri njema uendelee kututumbuiza. Hapa Radio Jambo na kwa switch tv unakaa umefalia kieshima sana wafutia tunaeza sema umekomaa sasa tunaeza tukakuita Nyota kubwa na mambo makubwa azwaaa. Umenoga kweli dada. Mungu aendelee kukulinda na kukujalia. Barikiwa sana dada.
@@lastborn2044 yea pia alafu bible imeweka restrictions za age.... Mtu asiwahi ona private parts za wazazi wake na hapo ujue mzazi ni anyone WA age kama ya wazazi wako... Somebody who is enough to be ur dad or mum is ur parent..
Nyota twambie ukweli,,,wanawake wengi hutoa wazungu dating site kupata mzungu one on one sio rahisi ni waoga especially ukiwa nchi Yao ,they don't have confidence
Is masawe interested in nyotas husband or what?? She should be ashamed of herself asking her fellow woman irrelevant question... Ushindwe katika jina langu we masawe
One of the best artists in kenya!Love her inside out!Mwanaisha ongea kiswahili!
Nyota Ndogo is real and humble
I met you back in 1015 in Esbjer Denmark with your hubby. You're such a joyful woman and you got a loving husband. May God bless your marriage. Nakumbuka ukitupa story yako vile watu walikuwa wakisema umeaga dunia. Mungu akupe maisha marefu. I still got the 1st selfie ❤
I love this humble lady. She is my favourite, so down to earth 😘
Utapata mwengine tena mzuri sana. Pia mimi niliacha 5 na sijui kizungu.. kizungu changu nichakubabanyaa...God bless U Sister nyota ndogo...
Courageous woman. Ni kweli age is just a number
such ahumble lady damn keep it up Nyota
😂😂😂😂Love u so much Nyota Ndogo ur amazing & open hapo pa gazeti n kuhepa ukija ku interviwia
Beautiful story. Fate it is
Nyota mapenzi ni rohooo you are always right , love you so much
Aaaawww beautiful story. Smiling.. Such a humble lady.. God bless you Nyota ndogo
Such a humble lady,,always smiling,,
Nyota na kupeda Bure,so humble 😘😘
Aaaaw, This woman is a good storyteller!!! I loooove her.
Hehe! She is so open about her studies but thank God because of her talent.
Masawe hananga chills 😂😂 atauliza even the most personal questions
😂😂😂😂😂😂😂😂
Hahaha she should try TV though
Lakini nyota ndogo is an artist you can't talk only about private life!
I love this lady soo much ...humble sauti nzuri ...he deserves that man too...God bless you both
Wow nyota nimefurahi sana interview nakupenda💕💕💕💕💕
Masawe vividly has a personal vendetta against Nyota for her achievements and successes in life regardless of low education than her and many others. Kudos Nyota ndogo wanafiq na wenye wivu umewapiga dole la Kati!!!
Nyota huanga so real 😂😂
I remember her asking innocently what SGR stands for...she doesn't fake at all...i also had an encounter with a young lady from Coast was surprised she didn't know English at all ata the simplest words u would assume she knows...her Swahili was perfect unlike mine ( Nairobi Swahili) we used to have hard time communicating some years back in Oman.
Was waiting for the make up question Massawe huchelewangwi 🤣🤣🤣🤣 ...this was a very hilarious interview Nyota is funny nimecheka sana
Nyota ndogo she's humble
MASHA ALLAH, dada nyote wewe ni mwanamke shujaa
Love you Nyota Ndogo
True storie mzungu anabebereza sana kizungu zungu ...
Team Bahrain wapi like zenu
Hapa
Oyaaaq
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂am finished aki kuhusu story make up ❤❤❤❤... nawapenda Aki
Nyota, you are really.
I love you Nyota
You soo different girl. I love your spirit
Wakwanza leo wapi likes zangu
Representing Ruiru gwakairu as usual
My grandma's place
I love nyota❣❣very humble
She's wow keep it up nyota ndogo nice interview
Beautiful show🥰🥰
Nyota .... miezi miwili huko na huku sio rahisi.
Watched with a smile. I love Nyota
Aaàaaah I love this💞
Wow nyota ndogo
Can I be your friend?
Mkenya hata kama hajaenda shule hujua kizungu it's like a national language
Nyota ndogo hujambo
😂😂😂nyota na masawe mumekutana nyote wazimu
Just real
This is a wife material character, Eric omondi should,check not easily carried by the world.
I love how japan interview guys
Me toooo
Waaah ,Denmark ,America 🤔😂😂😂wueh sivibaya kukutana internet...
Kali hio story masawe
Wow
ooo kuna watuu wasiopenda maendeleeoo. ooo achana naoo waepuke haraka sanaa
Nyota ndogo anajuwa kuongea
Ulaya ni tofauti na africa
Kwani anakuhoji tuuu mambo na umri bwana aaiii anataka kujua tu story zako
Masawwe ww aki
Swali za kiupuzi,if someone is not comfortable with the question move on to the next.
😂😂😂massawe ww
Masawa heheheee
Kuna mmoja alihudhuria maziko ya alie kuwa Mme wake aliachwa siku hiyo hiyo
Nyota ndogo mamilioni ya watu dunia nzima wanakupenda. Wewe mwanamke mwenye kibaji na sauti nyororo na nyimbo zako tokea zamani safutia watu wengi sana na tunaeza sema ni za kusikilizwa na familia nzima. Lakini, Kidogo ile ilikuwa yatia familia yangu kiwewe kisamani ni mafasi ulikuwa wafalia, maskini bibi yangu alikuwa anaskilia remote kila saa aisime TV kila wakati tukisikiliza wimbo zako za mwanzo mwanzo ndio watoto wazione vile nguo silikuwa sakuaja karibu uji. Mtoto wa kitaita mahali mahadiri na tabia njema zanoga lakini ndivo hivo ni pendekezo lako la kibinasi na hata siku moja ukiojiwa juu ya kufalia kiuji, ulisema ujuti hata! Tunafurahi usapata kipenzi cha ugaibuni na huko na raha tele kutoka Moroni make. Ni mapenzi ya mungu na unajua wazungu hawajali mambo mingi kqa kimafasi. Twakutakia heri njema uendelee kututumbuiza. Hapa Radio Jambo na kwa switch tv unakaa umefalia kieshima sana wafutia tunaeza sema umekomaa sasa tunaeza tukakuita Nyota kubwa na mambo makubwa azwaaa. Umenoga kweli dada. Mungu aendelee kukulinda na kukujalia.
Barikiwa sana dada.
Kenya kimbo wanajua mbaka bei ya vitunguu na nyanya
Aki umenichekesha wana jua bei ya kimbo umesaau wanaenda ata kisiagi.😁😁😁😁😂😁😁🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦
@@salomemukani1627 nakuambia
Kamati ya roho chafu
Hta muubiri aje ..wat I know is age matters in marriage
Exactly. Wale wa age is a number waongo tupu
Waaa pia mm nataka mzungu wanapatikana wapi jameni,,,wazungu wanajua mapenzi sana sikama wa Africa wezetu🤔🤔🤔
Ata mimi
Rudi mimba uzaliwe tena
Waa wajuku tena kumbe ni babu ama vipi
moureen hii ni town 😂😂😂😂
I don't like the mentality if this massawe mode of interview
She is asking out of context
SHE FOREVER -NEGATIVE SHE MUST HAVE HER OWN ISSUES
Kabisaaaa
Pia mimi niko Turkey nasikusoma ni naongea kisunguuu hadi ninajichekea
Ni connect Turkey pliz currently Niko saudi
Kwenye mapenzi hakuna umri 🙆♀️
Ask for me plz 🤔🤔🤔
@@lastborn2044 kwangu hiyo ni honja kwa nyota ndogo.... The children of mzungu are older than her
Age matters in marriage..kaa mamangu aliolewa na kimzee sahii singekua na dad ju angekua ashazeeka na akakufa.. 20yrs diff is not a joke
@@lastborn2044 yea pia alafu bible imeweka restrictions za age.... Mtu asiwahi ona private parts za wazazi wake na hapo ujue mzazi ni anyone WA age kama ya wazazi wako... Somebody who is enough to be ur dad or mum is ur parent..
@@eunicewairimu5015 true
I really dislike this interwier's attitude na pelepele mingi☺her husband must be full of grace to live with her🤔
Nyota twambie ukweli,,,wanawake wengi hutoa wazungu dating site kupata mzungu one on one sio rahisi ni waoga especially ukiwa nchi Yao ,they don't have confidence
Alisemanga aliunganishwa na beshty yake abaeye ameolewa na msungu poa
@@layajen1615 simwamini
Nyota ndogo nitafutie mzungu wa kunilegezaa nami nitoke huku gulf nije😂😂😂😂
Yes inabidii
@@millicentayango3879 mwana mm nikienda huko kwisha
😂😂😂etherwo mûthûngû
Umujajua akuna deng inaigia Kenya sahizi kumefunguwa yawa😢😢😢
Waah Niko Kwa laini ya kutafuta mzungu
unatafuta wapi nikujoin please
Hapo sasa itabidi nitafute mzungu
Kabisa
@@millicentayango3879 good
Ni babake sio mjomba
hii interview kwani all about nyotas husband arrgh umeniboa
Is masawe interested in nyotas husband or what?? She should be ashamed of herself asking her fellow woman irrelevant question... Ushindwe katika jina langu we masawe
She asks silly personal qsns
Hawana wivu wazungu
Hehe massawe
Hapo uwongo kids start pills with 13years
Sheria za EU ni zilele ukipata mtoto Mali yuko.
Maswali 😶
Uongo