Kama mm ninavyo lilia penzi la Anko jay na ilhali simjui, , , Aaaaweeee 😂😂natania tu usichukulie serous bana , , hongera Anko jay lwa kipaji kizuri mungu alicho kupa , , mungu akulinde na hasad za binadamu ❤❤❤❤ Big up Anko
Ase ibra lielezwa hukwli lakin kigaganozi ibra mwatibifu amenikea,Mii Anko j pia wewe una macho mazr nimetania ila ibra asijisifu kuhusu Mali mapenzi sio Mali mapenzi ni hisiya🥰🥰🥰🥰
Anko jay🥰🥰🥰🥰 mwenyewe tatizo ni moyo hii simulizi naona kama imenigusa miee kabisa daah mapenzi hayaa yanauma kuliko kitu chochote kile halafu maumivu yakee makubwa sana 🤭🤭🤭🤭
Kweli penzi linauma sanaaa alafu mtu onaempenda naee ana mtu apendae mimi amenikuta ila mimi sija lazimisha nimijitoa ili niuache na stalei zaoo namshukulu mungu nanchi vizuuro😭😭😭😭😭😭😭😭😭
MUNGU jamn Eddy wa watu,R.I.P!Ibra ana Roho mbaya Wala hafai kuwa mume wa Winnie,jamn Winnie umempigia Tena uyo Ibra muuaji?!ama kweli usilolijua ni km ucku wa Giza!
Hivi anko j nacheka tu kusifia mwanamke huyu na Ibra mwenyewe ana ng'ang'aania penzi na hajui nn mungu ana muepushia...moyo wa mtu ni msitu usiyo jua nn kilicho humo na pia mwanamke sio sura bali ni tabia

Twambie kweli Dada B ckwakumcfu hivy kama hisia ziko kwa Anko j mwambie tu manake Anko mwenyewe ckwa kujicfu hivo🤣🤣🤣
Bora Bint Hassan umesema ukweli😂
@@monajafar4473 niutani tu 🤣🤣mm na mapenzi ni kama mbingu na ardhi nayachukia sana
Tatizo huwezi lazimisha moyo kupeda nimejifuza wini Yuko to sahi mapenzi sio Mali kama alivyo Dani ibra husilazimishe mapenzi ibra pubavu amenibo shukraan sana Anko j Kwa sahuti tamuu aaweeee nimetania asate💔💔👍
Tatizo moyo nzuri sn nimejifunza kitu juu ya hii big up watunzi na wasimulize nyote
Moyo ndio unaochongea jmn Musa ucjali cunao wengi wanaokupenda
Kaka nakubali sana mungu akubariki
Shukrani sana ankle Jay and s.mix at large n vyema kukubali tunaposhindwa Mungu atusaidie tunapofanya maamuzi
Ase ibra lielezwa hukwli lakin kigaganozi ibra mwatibifu amenikea,Mii Anko j pia wewe una macho mazr nimetania ila ibra asijisifu kuhusu Mali mapenzi sio Mali mapenzi ni hisiya🥰🥰🥰🥰
Ganzi ya moyo 😭😭😭😭r i p wahusika wetu,na Asante sana anko jay 🙏🙏🙏
Anko jay🥰🥰🥰🥰 mwenyewe tatizo ni moyo hii simulizi naona kama imenigusa miee kabisa daah mapenzi hayaa yanauma kuliko kitu chochote kile halafu maumivu yakee makubwa sana 🤭🤭🤭🤭
Hhhh pole
@@HuaweiY-wx7we Asante kipenzi😘😘
Nakubali.baba.uko.juu.saaana
IBRA Nnakuchukiya sana.
Nakukubali brooh
Very nice anko j nakukubali sana ila sauti yako inanimaliza kabisa😂😂😂😂
Uyo ni felix mwenda
Hakika nimejifuza meng asante anko J
Ooh jamani simulizi inaumiza,asante Uncle J
Dhaa napenda Sana simuriz zako na uwa sitak ata zinikose onger Sana anko jay
Kweli penzi linauma sanaaa alafu mtu onaempenda naee ana mtu apendae mimi amenikuta ila mimi sija lazimisha nimijitoa ili niuache na stalei zaoo namshukulu mungu nanchi vizuuro😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Na wewe rafikiango bola kujitoa kumuomba Allah 🤲 akupe mwanamke mwema!!
Masikini mama edi simulizi nzuri yakusikitisha asante Anko J
Naamini hilo maisha nimitihani ❤❤❤
Simulizi ni nzuri sana ,bali Ibrahim yeye analazimisha mapezi
Kweli maisha ni safari ambayo mwisho wake ni mauti na ukitaka unaye mpenda awe na furaha basi muache aende kwa anaye mpenda
Daaaahhh aiseee Moyooooooooo 😢😢😢😢
❤❤❤❤❤❤ iko poa sana
Mungu ailaze moyo wake mahari pema daaa
Amin amin
Learning more and respected people 💯. Best story ever. Big up uncle J.
Simulizi ni nzuri
Utamu wa simulizi mix huijue mwisho wake kisha comment simulizi nzuri yenye kuzunisha sana jamani 😭
God bless you anko J
Simulizi zako nzuri Kama sauti yako
OMG 😭😭😭IS THIS INTENTIONAL LOVE OR INTENSITY.. IM TRULY SADDENED BY THIS LOVE STORY..🔥🔥🔥🔥 INCREDIBLE ANKO JAY
Hahaha umbo namba 8 linapatikana Tzaniiiii
Anko jay umenichekesha
Asante moyo
Hakika inauzunisha sana
Inauma kwa kweli ganzi ya moyo mapenzi mapenzi mapenzi jmn mapenzi
Kuna watu uwa wanapenda kuforce mapenzi wakati true luv sio mpaka uwe na mipesa it the heart wat it feels
MUNGU jamn Eddy wa watu,R.I.P!Ibra ana Roho mbaya Wala hafai kuwa mume wa Winnie,jamn Winnie umempigia Tena uyo Ibra muuaji?!ama kweli usilolijua ni km ucku wa Giza!
please nisaidieni na part 2 aki
"macho yenye sifa yakuitwa macho" kama yangu lie anko J
Nikirudi tz nitakucheki kaka ulipo illi nikupe shukurani zangu kwa kunialika na simuli zako tamu niko dubai kwass
Jomoni hakika umenibamba
Nilitaka nishangae nisione komment yako
Nawe ukipendwa haupendekiiiiii nikiwa ndani wapiga kelele nikiwa njeeeee unanung'unikaaaaa kisha wasema Mimi sikupendi
Kwann wasikupe ww ankojay simulizi zote usimulie jamani
🎉❤❤❤❤❤
Winfrida kumbe Musa amemsaidia alafu Leo yuwamjibu hvy
Hii simulizi Ina mafunzo
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Imesikitisha san ii simulizi dah
Nzuli sana
Hivi anko j nacheka tu kusifia mwanamke huyu na Ibra mwenyewe ana ng'ang'aania penzi na hajui nn mungu ana muepushia...moyo wa mtu ni msitu usiyo jua nn kilicho humo na pia mwanamke sio sura bali ni tabia
WACHA nilie tu na mtu acnifariji😭😭😭😭😭
Uclie ccter utapata mfariji
Lia sana tena sana ili machungu yaishe
Mhii pole kwa kuumia labda mtoto kakuzidi kete
Nimekua w 6
We we mended mama yako tu
Ako Jay ya lini hii mbna watu wamejaa 🙄🙄🙄🙄
Mama hisia mby za mwanawe ashajua kijana wake yuwaenda kupata matatizo
Kufikia hapa nashinda kuckiliza pia mm nalia
Patrick na Emmanuel Hao ss wapambania penzi
Huyo sio Ibrahim wa kwenye bible huyu ni kain ndugu yake abel
Kuna aimulizi afu ukanii simuliz alie simulia anko j natamani nikusanye wa2 wasikilize naimani wange jifunza mimi ninacho jifunza kila siku
S
🙏
yani unawauwa watu kwa ajiri ya tamaa za mali wakati ujui izo mali zinapatikana vipi jamani tufanye kazi kwa bidii ili tuepukane na tamaa za mali 😅😅
Mwatuliza wackizaji jmn
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Duh🤔🤔yan nimewahiwa watu wamejaa tele
😭😭😭😭😭😭
Mamake akickia cdhani kama atacmama tena Leo mwisho wa edi umefika kikomo
👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻
Banduwa bandika
Yani uuwe ndugu sababu ya mali
Pamoja kaka
😄😄😄😄😄😄😄🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Vp ss
du!!
Nimependa hii simulizi imenigusa sana na kunifunza
Kweli penzi linauwa anko j ..
Mapenzi bwana ackwambie mtu
du!!