Ringo minapenda movie zako ila jaribu kuweka sauti Yako halisi aca kubadilisha sauti afu Uwe unaceza na movie za série itapendeza sana Napenda kazi zako sana
@@ramadhanihoti2376 jamaa amempea tu ushauri wake hajaongea vibaya acha kupwapwaya muigizaji mzuri ni yule anapokea ushaur wa watazamaji wake sasa sijui wew umeichukuliaje ama wew ni actor pia??
Ringo sisi mashabiki zako tunakupenda sanaa kwaiyo tunaomba mave zako kulaa siku ringo wewe nomaa sanaa mkojani na wengine hote awakuwezi wanaiga tuu
Ringo minapenda movie zako ila jaribu kuweka sauti Yako halisi aca kubadilisha sauti afu Uwe unaceza na movie za série itapendeza sana Napenda kazi zako sana
Hapana sisi tunapenda iiisauti kwaiyo tuwache na move za ringo wetu
@@ramadhanihoti2376 jamaa amempea tu ushauri wake hajaongea vibaya acha kupwapwaya muigizaji mzuri ni yule anapokea ushaur wa watazamaji wake sasa sijui wew umeichukuliaje ama wew ni actor pia??
Wee mkali bana pick up kazi nziru ringo
My favorite comedy Ringo 🇹🇿
Ringo wewe ni comedian mkali sana... ila mimi napendaga ukiigiza kwenye sauti yako ile ingine ya kawaida ndio unatisha zaidi🙌🏽🇹🇿🔥🔥🔥
Mob love ❤toka 254 Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ringo napenda kazi zako ila ukiigiza iyo sauti da kwanini usibaki na sauti yako we unacekesha ukiwa normal izo sauti aca kabixa
Ringo nakupenda mpaka basi tu❤❤❤😂
Asante
Kazi nzuriiiiii
😂😂😂ringo one fire
Noma sana❤❤
kaka mbona hutoi move tumemisi
Safi sana
Huyu mtu mwanzo mwisho ni comedy
Mtanga
Ringo mkweche good job
Only one comedian ringo mkweche
Ringo we kiboko
UKISIKIA MR BEAN WA TANZANIA NDO HUYU SASA, RINGO MAKINTOSH AU MDOGO WAKE NA FIFTY SENT😂😂😂😂😂
Sauti jamani
🇧🇮🇧🇮🔥😂
Mozambique
😂😂mwamba umetisha
❤😂fundi umemee😂😂😂😂
Good movie
Safiiiii
Danlid
😂😂😂umeniuwa
Congolese
Hna kitu utafka mbali
Duuh napenda San kazi zako ila umemsahau tini white me nawakubal san mnapokua wot kweny muv
Ring
Usiwe unabadilisha sauti tumia sauti yako harisi
🇧🇮🇧🇮🔥😂