Asante watumishi wa bwana kwa nyimbo nzuri. Basi naomba nami Mungu atembeleye nyumba yangu ili ajicaguliye mtumishi kati ya uzao wangu.Munisaidiyekwa maombi hayo.
Nimezaliwa kwenye moja Kanisa Katoliki la Mitume na la umisionari kweli Moyo wangu umetulia kwa Kristo ambae ndio mwanzilishi wa kanisa Katoliki wengine ni matawi tuu
Katoliki ni furaha yangu and my hero🙏🙏🙏
Aksanti sana kwa nyimbo hizi kwa kuimarisha Imani yetu. Kaggwa Faustin Adubang'o Abekani Toka DRC.
Mimi kama mkatoliki najifunia kuwa mkatoliki milele na milele♥️💕❤️
Asante watumishi wa bwana kwa nyimbo nzuri. Basi naomba nami Mungu atembeleye nyumba yangu ili ajicaguliye mtumishi kati ya uzao wangu.Munisaidiyekwa maombi hayo.
Catho sihami, listening from kakamega ingo
Ukatoliki ndio amani yangu ndiyo hero yangu daima na milele Amina
Natamui ni nia ya Mungu niwe Padre 🥹 mniombee 🙏🏿
Tunakuombea Mwenyezi Mungu awe nawe na aimarishe nia yako amina
Kwakweli binafsi najivunia kuwa mkatoliki nanimezaliwa familia ya kikatoliki🙏🙏🙏
Nitailinda Imani yangu Katoliki ya Mitume daima milele
Heri wenye moyo Safi maana watamuona Bwana🙏🙏, najivunia kuwa mkatoliki, na nitakuwa mkatoliki milele na milele
Amani na upole wangu imetokana na ukatoliki wangu asante Yesu wangu
Nimezaliwa kwenye moja Kanisa Katoliki la Mitume na la umisionari kweli Moyo wangu umetulia kwa Kristo ambae ndio mwanzilishi wa kanisa Katoliki wengine ni matawi tuu
Mkatolik Daima na Daima Amina🙏🙏🙏🙏
Nice combination ❤🙏🙏.Nabarikiwa kutoka nchi za nje.Kingdom of Saudi Arabia 🙏🙏
Asante sana. Mungu akubariki sana.
God is my way always
Yaan mm katoliki mungu wangu huwa nikiw kwa kanisa huw kama napaa
Kama mm hapa
Nitume mimi Bwana kutangaza neno lako mataifa wakuskie kuwa ww ni Mungu ❤❤❤❤
Asante baba mwana na roho mt kwa waimbaji hawa.
Angalieni,nawatuma nyinyi kati ya mbwa mwitu,basi weni wapole kama njiwe🙏
Aminaaaa
Mungu atukuzwe daima milele
Mkatoriki daima na daima Amina
Inajivunia kuwa mkatoriki
Nimebarikiwa sana nyimbo nzuri, NITUME MIMI BWANA🙏
Nitalinda imani yangu ya kila Sikh kwa sababu mungu in mwongozi was maisha yangu
Yeye anipendae ataniita nami nitamwitikia na kumwokoa.Mungu awajalie neema na baraka.
Imani Katoliki, Imani tosha itanifungulia Mlango wa Mbinguni
BLESSED SUNDAY YAANI HUCHOKI
Bwana hufanya kazi na wao wampendao Bwana azidi kuachilia mafuta mabichi kwa watumishi wake.
Nasikia bwana unaniitaaa nichague mm nitakase mm niwe wako niwachunge kondoo wako
Ninajivunia kuwa Mkatoliki
Wakatoliki Mungu anatupenda ona alivyotupa utulivu tukiwa mbele zake mpaka shida zote zinaisha
Nasikia bwana unaniita
Fantastic
I love this Catholic songs ❤
Mungu atukuzwe daima na milele Amina! Very inspirational songs!
Daima milele nitazidi kuwa mkatoliki
Mi ni mkatoliki daima Amina.
Mkatoriki na mkatoriki Amina
Enendeni duniani
Nyimbo safi kweli
Good morning song like ❤
Nice music, Catholic my church
Nimefanikiwa sana
Imani kuu
Mixer hizi ni nzuri
Amen!!😍
Nasikia bwana unaniita ❤❤❤
Nimependezwa sana
Nimebarikiwa sana
Nice catholic songs ❤
❤❤ love katoligii sna
Mitume nani
Wawoooooh❤❤❤❤🙏🙏
Nichague mimi niwachunge kondoo wako bwana.
❤❤❤🎉🎉🎉
❤❤
J
Najivunia kuwa mkatoliki.
Nimependezewa sana
Najivunia kuwa Mkatoliki
Enendeni duniani
❤❤❤❤
Najivunia kuwa mkatoriki
Enendeni duniani
❤❤❤