JENEZA LENYE MWILI wa NDUGULILE LIKIINGIZWA MOCHWARI BAADA ya MSAFARA KUTOKA AIRPORT KUUPOKEA MWILI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 10

  • @ALCADOJAMES
    @ALCADOJAMES Годину тому +3

    Mm naona viongozi wanadharau hospital zetu lakn huko wanaenda wanarudi wako kimya fanyeni utafti mtanishukuru baadae

    • @ScopionScopion-zj9cd
      @ScopionScopion-zj9cd 31 хвилина тому

      ukiona ivo tz huduma sio nzuli sana ndio mana wao wanazikimbia hospital za tz ila wakifka kule pya wanarud wamelala

  • @SAIDIMUKSIN-iy2op
    @SAIDIMUKSIN-iy2op Годину тому

    Viongozi jaribuni kutibiwa muhimbili mungu anaweza kuwaongezea uhai

  • @wakywenaky3674
    @wakywenaky3674 23 хвилини тому +1

    Mimi sina mwanasheria kwahyo mdomo tulia tuliiiiiiii

  • @ManKuxh26
    @ManKuxh26 Годину тому

    Daaah

  • @marrymgaya8425
    @marrymgaya8425 Годину тому

    Dunia njia😢

  • @FanuelyShemshuza
    @FanuelyShemshuza Годину тому +1

    Kifo Ni fumbo umeenda mzima unatembea Leo unarud ukiwa umekufa

  • @OmanOman-f7r2p
    @OmanOman-f7r2p Годину тому

    Wanafikir lndia ndio utapon shida nikwaba hawaamin hospital zetu. Kama wakupona hata hap utapon Kama wakufa hata huko utakufa. Kilamtu anakuf Kwa ahsd yake

  • @AsifiweMwakyusa-q7v
    @AsifiweMwakyusa-q7v 59 хвилин тому +1

    Ni kwamba hata kama ungelikuwa na pesa kiasi gani kifo ni fumbo siku moja utalala na baada ya kifo ni hukumu ni bora ukajiandaa mapema kwa kumjuwa BWANA MUNGU wako mhubili 12:1 mkumbuke muumba wako siku za ujana wako kabla hazijaja siku zilizombaya