Mch Moses Magembe - MATENGENEZO YA KANISA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 17

  • @obbynomwa7143
    @obbynomwa7143 2 роки тому

    Bwana Yesu akutunze sana Mzee wangu,

  • @bernadetteshukuru9154
    @bernadetteshukuru9154 2 роки тому

    Amen amen amen ubarikiwe sana baba muchungaji sama ukweli baba

  • @mwalimuelisha1996
    @mwalimuelisha1996 2 роки тому

    Nime barikiwe baba, Mungu akulinde

  • @joshuarafael9462
    @joshuarafael9462 2 роки тому

    Tumemsahau roho mtakatifu, wachungaji wanasimama madhabahuni wakiwa hawajajazwa na roho, tumekua wa kwenda kusoma pekee na kuridhika kisha tunasahau kujazwa.. tumekufa kizazi hiki, roho hayupo kanisani. Mungu tusaidie sana.
    Mchungaji ubarikiwe sana sana

  • @yoramyohana8220
    @yoramyohana8220 2 роки тому

    Amen amen unanibaliki sanaa Babaangu ROHO MTAKATIFU azidi kukutunza uzidi kuisemaa kweli nakuomba usinyaamanzee kabsaa endeleaa kusema mpaka mwishoo

  • @elinemakundi5011
    @elinemakundi5011 2 роки тому

    Amen Baba mchungaji napokea baraka nikiwa Tanga mjini new nguvumali amen

  • @josefojuliaovicente9237
    @josefojuliaovicente9237 2 роки тому

    Mzee wa Mungu unanisaidya kumjuwa Yesu katika kweli

  • @sophiamakani6133
    @sophiamakani6133 2 роки тому

    Amen and Amen

  • @eunicemwesigwa4133
    @eunicemwesigwa4133 2 роки тому

    Ubalikiwe sana muchungaji maana makanisa megi tunaigia kama tunaenda kwenye baa watu wako uchi wanavaa kalibu uchi kabisa hasa huku Uganda

  • @vynnevictor9701
    @vynnevictor9701 2 роки тому

    Yesu mlinde baba yetu huyu

  • @josefojuliaovicente9237
    @josefojuliaovicente9237 2 роки тому

    Mungu aturumeye, may God help his church

  • @fikiri5530
    @fikiri5530 2 роки тому

    Amen Baba

  • @dawhiteschola8847
    @dawhiteschola8847 2 роки тому

    Katika wa Chungaji ninao wa Elewa nakubarikiwa nao ni wewe na Muomba MUNGU akupe miaka mingi ya kuishi uendelee kufundisha kweli ya Mungu

  • @nasmamponde5737
    @nasmamponde5737 2 роки тому

    Ameen

  • @josefojuliaovicente9237
    @josefojuliaovicente9237 2 роки тому

    😭😭😭😭😭😭the church nowadays is bad may God help me

  • @nnkv1480
    @nnkv1480 2 роки тому

    Ubarkiwe pstr,ni kweli uamsho umetafutwa sana lkn tumesahau mambo makuu yanayouleta.Pamoja na hayo uliyotaja kuna na hili""""wahudumu wa madhabahuni wameridhika na hali ya kiroho waliyonayo"""".Wakinena kwa lugha mpya basi wanafikiri hicho ndicho kiwango cha mwisho cha kiroho!""".Wokovu unaohubiriwa ni wa ***kisasa yaani wakinadharia zaidi si wa kivitendo***yaani wakristo wanapakiwa maneno meeeengi lkn matunda ni hafifu.Waimbaji wengi wanahudumu kijujuu na si ktk roho,mm Mungu tusaidie

  • @nasmamponde5737
    @nasmamponde5737 2 роки тому

    Natamani kuja kutoa ushuhuda wangu hapo kanisani