Hannah surely yaani unaanza kustore long life milk yenye ata haihitaji refrigeration wakati vitu kama nyama ziko nje.Alafu mayai yenye ilikuwa imebaki finish that first alafu uanze the new ones yaani vitu first in zikuwe first out wewe unapanga tu fwaaaaaaa😢😢.Alafu sausage ata kama ziko packaged usieke Kwa floor yawa baby girl I believe your house has a counter use it for that unatoa Kwa box ukiekelea hapo si Kwa floor it's food yawa.Anyways we learn everyday.watch video ya faith the organizer utalearn a lot of things there.We learn everyday.
Weeeuh si wivu lakini hannah vitu zakoo mob zinakuwanga show off,najua mtasema umaskini inanisumbua buh i just love how Tiff is simple like hii yakoo ni showoff,,,sa izooo drinks zotee ni za😂😂😂😂😂,,,,rusheni mawe
kuna vitu zinafaa tu kukaa kwa pantry kama long life milk unaweka if zimebaki less kwa fridge, hiyo juice ya kudilute si lazima kwa fridge na mayai si Ungeweka zile za kitambo juu.. then muffins na keki tafutia bread box
You kamy friend you're soo good in shopping,, but did you remembering childrens home???? It's good when God blessing you better to stretch hand to those who don't hve,,, please Byae God bless you,
Nice big expensive fridge. My only health advice to you is take those soda bottles and pour them in the sink. Coke is good for washing toilet btw 😅. Especially if there are kids involved sugary drinks and juices can ruin their health. I like the fresh fruits and vegetables you have stocked in there.
Hey Hannah I like your content and what I pray Is that one day nipate kukuona na unisaidie na hii mambo because am still upcoming content create with 70 sub
Aki si unipatie juice moja nipatie mtoi wangu aki na vile anakupenda kwanza akikuona kwa TikTok unaskianga tu mbona nana analia actually anakuitanga nana❤
Usitamani maisha ya hawa TikTok girls and boys,watalia baadaye tamani jasho Yako,hujaona tizian after kudrive masedez 😅😅😅haiya Wacha niende zangu sijasema kitu😅😅
Kujaza fridge sio mbaya but we always say start up a Business and create Employment people are jobless out here and some one needs that job i see Tiffy Dolly ali create employment and she is now having a nice saloon people like akina Betty kyalo Moureen ngigi opened a shop also Mko na pesa just open something and employ people. Thank You
She's already employing 100s of people by eating those eggs, and tomatoes, and yogurt. Those foods came from a farm somewhere in Kenya with lots of employees. But I get your point.
Nikiwa na hii shoping yote siezi enda job ndio maana spending shopping inanifanyaga mvivu juu nko na food ata nashidagwa mnapata aje usingizi ukiwa na hii shopping yote mm nikiwa ata na kasoda ya 50 naamkaga usiku kukunywa😂😂😂😂
Very true but as psychology has it she's trying to fulfill her childhood trauma... maybe as she was growing she lacked all this... that's why sugary stuffs ni most secondly her personal hygiene is a no plus si kila kitu huwekwa kwa fridge weh
@tinajuma6259 unfortunately I can't,becoz they do say, comment, like and share, again my comment is genuine, sugary things are enemy to the blood,so many people are afraid of talking about it coz they'll be insulted and told that they're jealous
Tena maziwa ya long life haiekangwi kwa fridge,ungeiacha tu kwa box yake ikae mahali hapo kando,again teach your self to apply FIFO(first in first out)everytime
Hannah surely yaani unaanza kustore long life milk yenye ata haihitaji refrigeration wakati vitu kama nyama ziko nje.Alafu mayai yenye ilikuwa imebaki finish that first alafu uanze the new ones yaani vitu first in zikuwe first out wewe unapanga tu fwaaaaaaa😢😢.Alafu sausage ata kama ziko packaged usieke Kwa floor yawa baby girl I believe your house has a counter use it for that unatoa Kwa box ukiekelea hapo si Kwa floor it's food yawa.Anyways we learn everyday.watch video ya faith the organizer utalearn a lot of things there.We learn everyday.
Calm down i love cold milk
Weeeuh si wivu lakini hannah vitu zakoo mob zinakuwanga show off,najua mtasema umaskini inanisumbua buh i just love how Tiff is simple like hii yakoo ni showoff,,,sa izooo drinks zotee ni za😂😂😂😂😂,,,,rusheni mawe
😂😂😂😂😂😂
Weee wakuongea ukweli😂😂😂
kuna vitu zinafaa tu kukaa kwa pantry kama long life milk unaweka if zimebaki less kwa fridge, hiyo juice ya kudilute si lazima kwa fridge na mayai si Ungeweka zile za kitambo juu.. then muffins na keki tafutia bread box
You kamy friend you're soo good in shopping,, but did you remembering childrens home???? It's good when God blessing you better to stretch hand to those who don't hve,,, please Byae God bless you,
Calm down most of these things are consumed by my visitors and i don’t have to record and post for you to see
@hannahbenta okay nice it's nt bad anyway,,,you do good grl
I love the confidence wid Ana benta ,,much love
Thank you,much love to you too
Nice big expensive fridge. My only health advice to you is take those soda bottles and pour them in the sink. Coke is good for washing toilet btw 😅.
Especially if there are kids involved sugary drinks and juices can ruin their health. I like the fresh fruits and vegetables you have stocked in there.
To more wins hanna❤
team hanna nipitie nikupitie sai🥀😊
Heey, tupitiane
Done
@@Obtecappliancesdone Nipitie pia view ata Kama Ni 2 second Ndio sub isitolewe
@@Obtecappliancesnipitie pia
Done nipitie pia
Nipitieni tugrow woteeee ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hannah next time ukieka tomatoes eka pamoja n lemon trust me will last long haitaspoil araka🥰🥰thank you😊
Ok thank you
Wah thanks pia mm nmerun something,,
Will try
@mwenimutush2784 try it 😊
@@janewangui6996 welkm glad you did😊
Hey Hannah I like your content and what I pray Is that one day nipate kukuona na unisaidie na hii mambo because am still upcoming content create with 70 sub
❤❤❤ done 👍
Thank you dear , mpitieni please
@@WinnyKyalo-n9h done
I like shopping 🛍️ too.. but can you imagine helping a street kid ukienda hiyo shopping..
She has a sick girl a friend in her house is that not enough of her to help
Ila kwa kupanga fridge hamfiki tiff then nikasafi kasimple anajua kuna time ya makucha na yakufanya usafi ruseni mawe 😂😂
Cheza chini lawyer 😂
very true, she is very simple and humble, but all this depends on how someone was brought up.
Kojoa ulale upangwe
She is a gem 💎 her cleanliness is on another level and neat.
@@gracewangechi2170 yes dear and very hardworking
Aki si unipatie juice moja nipatie mtoi wangu aki na vile anakupenda kwanza akikuona kwa TikTok unaskianga tu mbona nana analia actually anakuitanga nana❤
Amazing girl keep it up nakupenda bure ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
My loveee❤umekuja tena na Ubad😂,anyways ily from langata
❤❤❤
Lang'ata side gani Mimi nko hapa lang'ata deliverance
Kula sukari kwa wingii mamaaa hii maisha ni fupi
Amazing ❤❤❤ baby girl ❤,, upcoming UA-camrs tupitiane turn notifications on
Thank you dear
@hannahbenta welcome 🤗
Use FIFO principle.....hzo zenye already zilikuwa unaeka mbele zitumike kwanza
Thank you and LILO too😊
@@cecilianjeri1042 Ni LIFO
I will lol
😂😂😂😂😂😂😂😂 enyewe pesa ni nzuri❤
Weh imgn hiyo ni shamba imesimama apo...anyway good job ,ukiweza share na wenye hawana something..
I've seen this and I've just smiled ❤❤ ilysm hunny 🎉❤
Amezing sister ❤❤❤❤❤ I love you
Much love hanna❤❤❤❤
Home of drinks 😂😂leteni hizo mawe nijenge choo
😂😂😂
Aki si ukam ulete kwetu shopping 😢 I wish one day tutapatana ukileta shopping kwetu
Kwangu nawekaga maziwa kwa maji ya bucket baridi😂that my fridge
Bora uhau😂
Bora maisha 😂😂
Soon i visit beautiful africa ❤❤❤
Halafu kuna mimi hapa nikinunua soda 2litres namaliza na siku mbili 😅😅😅😅😅😂😂
Don’t worry time will come dear , i was once there
@@hannahbenta I will never give up
Wah alafu kuna mimi hapa yangu inaendaga na seasons ya vegetables and fruits, saa hii yangu ni tomatoes and bananas 😅😅😂 dada nisabaze drinks.
Wow
From floor to fridge wooow hygiene Hannah
They are not on the floor, ziko kwa lid yawa...be observant
Hannah sasa nikuulize kulikuwa na haja gani ujichokeshe kupanguza fridge,unaokota vitu chini ukizieka tu direct bila kuzipanguza
Wow nilikuwa natafuta hii comment
My house is clean
Hizi vitu zote mtu hukula lini juu mimi nikinunua hata maembe tatu na soda ya one litre humaliza hata a month 😢 na haziishi,🤔
Khai na vile sisi ata kupata unga ni shida..
Sweetheart queen cake niya pantry if you ask me juu i am thinking vile itataste ikiwa baridi
Yes😅
Queen cake kwa fridge enyewe mimi ni nmutoka mbali
😢😂😂😂sasa huyu
na unaishi na how many pple Mimi this all napiga hata 6 months pila kuenda kunuy anything,
I love you Hana benta🎉🎉🎉❤❤😊
Mnatoaga wapi pesa huku nje 😊
Wah na Mimi hapa tunalala njaa hii life wengine wanastock wewe unaishi na hope
Usitamani maisha ya hawa TikTok girls and boys,watalia baadaye tamani jasho Yako,hujaona tizian after kudrive masedez 😅😅😅haiya Wacha niende zangu sijasema kitu😅😅
@@SantaSantaa-q6duzuri wali enjoy for the moment 😂😂
Maziwa ya long life pia kwa fridge??😂😂
My dear ukweli u love 🛒
Vile nko njaa hivi nikiona hizi vitu ya kukula naskia kuruka hapa kwa simu nikule aky😢😢😢
😂😂😂
😂aki ata lunch nimeinama ipite tu💔💔💔💔💔
Kujaza fridge sio mbaya but we always say start up a Business and create Employment people are jobless out here and some one needs that job i see Tiffy Dolly ali create employment and she is now having a nice saloon people like akina Betty kyalo Moureen ngigi opened a shop also Mko na pesa just open something and employ people. Thank You
She's already employing 100s of people by eating those eggs, and tomatoes, and yogurt. Those foods came from a farm somewhere in Kenya with lots of employees. But I get your point.
@tomatosoup6440 thank you
I have guests coming so i always have food stuffs stocked up
@hannahbenta very important too girl💕
We don’t put long life milk in the fridge
First 🎉
You should always switch off you fridge then after 20 minutes start cleaning with warm water.
Hii ni shamba na rentals plus a business
Nice hanny l love you so much baby girl
Aki si watu mko na pesa 😂😂,,,,, Nipitieni guys 👏 watch too❤❤❤😂
Hii ni pressure ya shosho media
@mercyatieno6829 😂😂
Shopping ya tam tam tupu
Hannah ketu ❤❤❤❤😊
Vitu zingine haziekwi kwa fridge..
Long life milk ...inawekwa Kwa fridge?😊
Nikiwa na hii shoping yote siezi enda job ndio maana spending shopping inanifanyaga mvivu juu nko na food ata nashidagwa mnapata aje usingizi ukiwa na hii shopping yote mm nikiwa ata na kasoda ya 50 naamkaga usiku kukunywa😂😂😂😂
Those milk do not need to be refrigerated unless opened... Just a reminder
❤❤❤❤❤❤
Team kupitiana nipitieni kindly
Wow the first one here likes please Hi Hannah
Amazing❤
Nipitieni pia
Nipitie then nikupitie pls
Hi Hannah mimi nikabuy ivi walahi siwezi pika ata siku moja
Baby Gal yes
Si kwa ubaya but teacher alinishow old stock first followed by new stock....next time apply some common sense plus si kila kitu uwekwa kwa fridge
Next time make a shopping list si kuuliza hizi ziko then the fridge is full of sugar weka cereals pia
Drinks are for my visitors , cereals ziko kwa cabinets
Sasa unajaza fridge n vitu zingine zinaozea kwa fridge aki
Nothing spoils in my house my friend so calm down
❤❤❤
When arranging always start with meat yani perishable food.
Me i wipe everything before i put on the fridge
Much ❤️ bby gal
Wacha tu nichop rice,sina hela😅😅
Hela zita come in Gods time
Stress za long nails.... hadi mtu ni msupuu but anakaa mchafu cz ya makucha pthoooo
Hi hanna
Afadhali wewe kwa fridge yetu maji tuuu
is this healthy, soda, soda, soda, afia, juice, juice, juice, milk, milk, milk, broiler chicken, etc! weuh! awuoro.
Maziwa long life unaeka kwa fridge kwa nini
Coz maybe she likes drinking cold milk. Next?
Cold milk hu slap sana
@hannahbenta i understand now
Team hanna mnipitie❤
I think it good uongee na faith organizer akusaidie alfu you are taking alot of unhealthy stuff
Team tupitiane pls nipitieni ❤
Very cutesy and demure 😂
I love shopping too ❤❤❤
Rich girl sodas, juices, ice cream hizo zote ni za nini😊
@@christineelizabeth1933 amefunguwa restaurant kwa hau...
Tulia, mi huwa na wageni wengi na Tiktok live needs alot of energy
Nipitieni pia guy's 🙏
Done ☑️
Team kupitiana nipitie comment done ✅ nikuje kwako 🏃🏃
Let's do it by watching or liking
✅ nipitie pia sweee
@Roseynyabs done
Tupitiane
@ritahkymm ✔️ done
First always start organizing freezer things meat products
Maziwa ya long life towa kwa fridge
@@PriscillaWambui-d2g mtajuwaje pesa Iko na hata Hana akili kama dame wa face book kujengea mamayake kwanza,
Muffins in the fridge???
wetin be that now
😂😂@@virginiamakau5634
Sorry Hannah but kindly you can learn alot from ladies like Miss Wiro. Some items from the supermarket are very dirty.
Very true but as psychology has it she's trying to fulfill her childhood trauma... maybe as she was growing she lacked all this... that's why sugary stuffs ni most secondly her personal hygiene is a no plus si kila kitu huwekwa kwa fridge weh
@silviamutie5828 I agree with you.
Stop taking a lot of sugary things, they're not good for the body, the rest are just fine
sometimes its ok to keep advises to yourself
@tinajuma6259 unfortunately I can't,becoz they do say, comment, like and share, again my comment is genuine, sugary things are enemy to the blood,so many people are afraid of talking about it coz they'll be insulted and told that they're jealous
Bitter truth❤❤
@@jedidahmwihaki-r3u yah, very true if u love a person genuinely also tell the truth in a good way
Nipitieni niwapitie kindly
Aribu shape tu ukiona na kufurahisha watu ety unashop sasa hizo mavitu zote nizanini masausage nasukari kama mtoto waaa utanona ukae nguruwe wewe
" hii ni shopping ya 60k?? Imeenda????😂😂😂....
Wewe unasema 60k?😂 trisha khalid anafanyanga shopping ya 300k
Tena maziwa ya long life haiekangwi kwa fridge,ungeiacha tu kwa box yake ikae mahali hapo kando,again teach your self to apply FIFO(first in first out)everytime
What's FIFO educate me please
I love cold milk
Na you buy ziplock bags for veggies
Restocking fridge
Team BENTA munipitieni
Done nipitie pia
Ala.. Kwani long life milk inawekangwa kwa fridge 😅
Team kupitiana nipitieni niwapitie tugrow
All small UA-camrs gather here ❤
Nipitie pia❤
@bligzensue done ✅
Done ☑️ 456
Nipitie pia 🙏
@@bligzensuedone ☑️ number 18
Nipitie pia 🙏
Done ☑️ number 18
Nipitie 🙏
please hanna nigift na birthday cake
Hannah inbox me we work together I organize that fridge for you kila kitu iwe fine