FACKY MBAROUK LINIA ANAHAMIA RASMI KWENYE NASHEED / ALBUM LA NASHEED LA AQAZ / KUACHA KUIMBA QASWIDA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 49

  • @abubakarothman8946
    @abubakarothman8946 5 років тому

    Riyadh##forever

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 5 років тому

    sioni ubaya wakuwapa sapot waomba nasheed kwasababu kaswida zimeshachafua uislamu na bongofreva zimeathili vichwa vya vijana wengi na watoto kiujumla. Sioni sababu yakukataa nasheed kwasababu zisipokuwepo muislamu au waislamu watasikiliza nini siku ya Idi au sikukuu zingine. Utasema wasikilize Quran lakini kumbuka heshima au sheria ya Quran ikisomwa isikilizwe. Kwenye siku ya furaha nivizuli usikilizecQuran na muda mwingine Nasheed zitakazo kufurahisha. Wanaopinga nasheed tulieni mkitumia jazba kizazi kitateketea kwa Bongofreva

  • @jumafaki1697
    @jumafaki1697 5 років тому +3

    Riadh Mnaonekana mmemili zaidi katika Nasheed kuna ulazima gani wakumuuliza mtu lini Utaacha kacda uhamie Nasheed?

    • @RiyadhTvOnlineZnz
      @RiyadhTvOnlineZnz  5 років тому

      Kwani ubata uko wapi ??? Na ukipitia comment za watazamaj wenzio wametk kufahamu kuhusu suali hilo au

    • @aminruga429
      @aminruga429 5 років тому +3

      Na kama wao ndo swahihi peke yake na uyu mtangazaji nikama yuwajiona yeye ndo akimu APA duniani kua watu was kaswida wako makosani wao ndo swahihi wamuulize uthmani maalimu

    • @fakishaame6542
      @fakishaame6542 5 років тому +1

      @@aminruga429 sasa auliziwe shekh Othaman ii iweje atetee kaswida hizi za mziki na ngoma au yye hatosema ni halali maan anayajua km hayo sio sahihi

    • @SHKSALUMMSABBAH
      @SHKSALUMMSABBAH 5 років тому +1

      @@aminruga429 hahahahaahhahaa

    • @SHKSALUMMSABBAH
      @SHKSALUMMSABBAH 5 років тому +1

      @@fakishaame6542 katetea kaswida kimaana siyo mbaya ila sizo hizi zinazotiwa miziki

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 5 років тому

    niafadhali zimekuwepo media zisapot nasheed ili vijana wenye sauti nzuri wasipotelee kwenyekuimba bongofreva

  • @SalahAli-rq5sp
    @SalahAli-rq5sp 5 років тому +2

    Ndo wale wale diamond wa zenj. zenji flavour

  • @farhathassan7178
    @farhathassan7178 4 роки тому

    heb na ajifunze kuongea kwnz

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 5 років тому +2

    Huyu jamaa hodari sana

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 років тому +2

    Pambana hukumu ina Allah

  • @jumaame9302
    @jumaame9302 5 років тому +1

    We mtngazaji umeshikilia Nashid tu, yan unashikilia Ana shid Anashd

    • @RiyadhTvOnlineZnz
      @RiyadhTvOnlineZnz  5 років тому +1

      Kuna tatzo kwan?? Au ulitaka nishikilie nn unachokipenda?

    • @aishasaid5702
      @aishasaid5702 5 років тому

      @@RiyadhTvOnlineZnz alidhani anaongelewa mbosso au

    • @jumatano242
      @jumatano242 5 років тому +1

      Sikosoi ila kauli njema muhimu unapomjibu mwezako ata kma unahisi kauliza vibaya tunasisitizwa tusilipize uovu

  • @saadnahoda707
    @saadnahoda707 4 роки тому

    Ww ni bora ktk wasomaji wa kasida bora tz faki baada ya hapo juma

  • @idrissajumakona5871
    @idrissajumakona5871 5 років тому +1

    Ukiacha kaswida..ukija kwny nasheed..nirafurshi

  • @twahirarashid9666
    @twahirarashid9666 5 років тому +3

    Fungukaaaaaaaaa fungukaaaaaaa nisijepitwa mie

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 років тому +1

    H B

  • @mkunazinionlinetvzanzibar688
    @mkunazinionlinetvzanzibar688 5 років тому +1

    Kama kasida anaimba je anashid anaosoma haimbi au anacheza nyie Riyadh bado elim yenu ni ndogo sana mnataka kuwaambia watu kua kasida ipo anashid ipo hivi je mashairi yatakua nini jiangalieni vizuri

  • @twahirarashid9666
    @twahirarashid9666 5 років тому +3

    Inaonekana kama Fakki ulikua unaogopa ogopa vile au ulihofia sana

  • @jumahussein7579
    @jumahussein7579 5 років тому +3

    Dah jaman din ishakuwa na maalbamu kma akina wasafi

  • @ramadhanimohamedi995
    @ramadhanimohamedi995 5 років тому +1

    Shekhe faki minaitaji namczo zako ni 0658326262

  • @aminruga429
    @aminruga429 5 років тому +1

    Mwaona fakkihi ana elimu kama lepa alotukana walimu wake hhh mtangoja sannnaaa saninaa

    • @RiyadhTvOnlineZnz
      @RiyadhTvOnlineZnz  5 років тому +1

      Katukana wapi???

    • @twahirarashid9666
      @twahirarashid9666 5 років тому +1

      Mwenye macho haambiwi tazama ivi uliipitia vzr ile interview ya Lepa kuna sehemu gani katukana..???
      au mapenzi yako tu kwa magoma

    • @RiyadhTvOnlineZnz
      @RiyadhTvOnlineZnz  5 років тому

      @@twahirarashid9666 ALLAHU A'ALAM inawezkana kusema kwamba hatafai ndo matusi labdaaa

    • @aminruga429
      @aminruga429 5 років тому +2

      Twahira rashid na mwenye maskio haambiwi skia mana waweza angalia mahali na ayo macho yako na usifahamu pameongelewa nini mana makosa yako uskilizi ukaelewa ila watizama tu ufurahi nakuomba uwe na tabia ya kusikiliza na kuelewa na wala sio kutazama mana hutaelewa

    • @khalfansaid9402
      @khalfansaid9402 5 років тому +2

      Hata mm niliangalia interview ya Alli suleiman (Lepa) lkn nilivo notice th way alovokua anaongea sio ktk hali y kawaida na kamwe hakutakiwa kuongea vle hat cku moja

  • @princeshurem9575
    @princeshurem9575 5 років тому +1

    Riadhi mnahamasisha watu kuimba nasheed hivi hamjui kma nasheed pia ni haram ruhusa ya kuimba ipo kwa wanawake na sio waimbe wanaume

    • @RiyadhTvOnlineZnz
      @RiyadhTvOnlineZnz  5 років тому

      twaomba dalili akhuy ili tufahamu

    • @princeshurem9575
      @princeshurem9575 5 років тому +1

      Na hadith ya inasema Maulaamaa ni warith wa mitume hawakurith dinaar wala dirham lakin wamerith elim.... Kwhy tafadhalini msipotoshe watu kwa kutumia elimu yenu....

    • @RiyadhTvOnlineZnz
      @RiyadhTvOnlineZnz  5 років тому +1

      @@princeshurem9575 INSHA ALLAH tunaendelea kuiongoza vyema jamii kwa hoja na dalili.