3 - Bwana, Nifundishe Kutembea Katika Neema Yako || Mwl Christopher Mwakasege | Kilimanjaro 2024.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 64

  • @FarajaStanslaus
    @FarajaStanslaus 5 місяців тому

    Ubalikiwe sanaa kwa neno MUNGU akubalikii sana Mwalimu Mwakasegeee umenisadiaa katika kukuona Kirohoo 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @IrineNnko-bp6zt
    @IrineNnko-bp6zt 9 місяців тому +6

    Yesu naomba...uni jaze nguvu zako ... nipate kunena lugha mpya .... YESU naomba ufungue Tena tumbo langu la uzazi nipate kuitwa mama Tena

  • @MarthaAlly-y7s
    @MarthaAlly-y7s 9 місяців тому +2

    Nabarikiwa nikiwa Oman Yesu shuhurika na maisha yangu usiniache nipe kulipenda neno lako na kupenda mafundisho yako Yesu nisaidie

  • @lovenessrichard
    @lovenessrichard 9 місяців тому +4

    Mungu naomba mume wangu arudi na kumtenga na mahawara zake wagombane

  • @wemawestern1971
    @wemawestern1971 9 місяців тому +2

    Mungu naomba Kila udhaifu Kwa Mwanangu ufe na uzikwe Kila kauvimbe kasambaratike Kwa Damu ya Yesu kiristo Amen

  • @rachelmasaju3434
    @rachelmasaju3434 9 місяців тому +13

    Mungu naomba mpenz wangu ignas gasper shirima anipende na akajiutambulishe huu mwaka amen

  • @MezaMema-jd4in
    @MezaMema-jd4in 7 місяців тому

    Baba Mungu anakutumia

  • @MezaMema-jd4in
    @MezaMema-jd4in 7 місяців тому

    Mungu akutunze sana

  • @carolinederi5690
    @carolinederi5690 9 місяців тому

    Mungu naomba tufundshe mimi na mwanangu Milkah kutembea katika neema yako ya ajabu Eeh Bwana funika udhaifu wetu tupe uwezo wako tutembee kwenda mbele siku zetu zote

  • @bethstanford9840
    @bethstanford9840 9 місяців тому +1

    Neema yako Yesu iwe juu ya wana wangu na binti yangu Gracious apone homa zimuepuke awe mzima afya iwe ndan ya mifupa yake

  • @wemawestern1971
    @wemawestern1971 9 місяців тому +1

    Neeema ya Roho mtakatifu tembee NAMI na kuomba uwe juu yangu na na ndani yangu

  • @happyngonde2923
    @happyngonde2923 9 місяців тому

    Nakushukuru Mungu kwa neno lako lilotoka kwa mtumishi wako mwakasege, hakika nimevuka 🙏

  • @liliansylvester4543
    @liliansylvester4543 9 місяців тому

    YESU nnaomba nikupende zaidi tuwe na mahusiano mazuri yesu funua neema yako mm na familia yangu tuijue

  • @MezaMema-jd4in
    @MezaMema-jd4in 7 місяців тому

    Baba mwakasege nabarikiwa sana baba nakeleketwa sana kuwa mwinjilisha baba nifanyeje?

  • @Dmsiris5
    @Dmsiris5 9 місяців тому +1

    Ninakuinuwa Bwana.Wewe waajabu.Ninakuinuwa Bwana Unastahili🙌🇹🇿

  • @Dmsiris5
    @Dmsiris5 9 місяців тому

    Asante Mungu kwa Neema yako Kuu na rehema zako katika maisha yangu🙌

  • @mamsaramamassawe.4797
    @mamsaramamassawe.4797 9 місяців тому

    Ahsante Yesu kwa Kila kitu❤

  • @teddymhenga3006
    @teddymhenga3006 9 місяців тому

    Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu. Kwa kweli linanibariki sana somo hili.

  • @RechoLory
    @RechoLory 9 місяців тому +1

    Mtumishi mungu akulinde na akupe amani ndani Ya moyo wako katika kulitangaza injili

  • @emanuelfrancis579
    @emanuelfrancis579 9 місяців тому

    ahsante yesu kwa neno hili

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 9 місяців тому +1

    Ameen

  • @frolencialupilya6209
    @frolencialupilya6209 9 місяців тому

    Amen Mwalimu

  • @justinmilton9229
    @justinmilton9229 9 місяців тому

    🙏 Ameeeeeen ni neema ya Kristo tu

  • @GirionKimaro
    @GirionKimaro 9 місяців тому +2

    Ahsantee yesu

  • @jescabahati4709
    @jescabahati4709 9 місяців тому

    Amen Mungu nipe kukaza mwendo nisirudi nyuma

  • @rosepatrick8148
    @rosepatrick8148 9 місяців тому

    Neema yako Mungu ikatembee na watoto wangu

  • @jescarwegoshola1754
    @jescarwegoshola1754 9 місяців тому

    Utukufu na heshima ni kwa Yesu Kristo wa Nazareth aliye hai kwa neema yake tumepata hili somo kwakweli ni neema ya ajab🙏🙏

  • @happinessmarijani2783
    @happinessmarijani2783 8 місяців тому

    Wako vizuri

  • @Dmsiris5
    @Dmsiris5 9 місяців тому

    HALLELUJAH.Connected from Dar es salaam🙌

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 9 місяців тому

    Asante yesu

  • @rachelmasaju3434
    @rachelmasaju3434 9 місяців тому

    Mungu naomba mwanaume Brayden awe kuongee kiurahisi mfungue kinywa chake amen

  • @DaynaKibona
    @DaynaKibona 9 місяців тому

    Asante Mungu kwa Neema hii,

  • @justinmilton9229
    @justinmilton9229 9 місяців тому

    Haleluya Haleluya Haleluya Tanzania 🙌

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 9 місяців тому +1

    Namuunganisha Boss wangu katika madhabau hii Ee Mungu naomba mponye boss wangu amke atembee tena

    • @bettykihwele7713
      @bettykihwele7713 9 місяців тому

      Aombaye kwa Imani hupewa. ❤Mungu akakujibu

    • @lucyjeremia1381
      @lucyjeremia1381 9 місяців тому

      @@bettykihwele7713 Amina 🙏 napokea majibu ya maombi yangu ❤️ ❤️

  • @summamwandisi7093
    @summamwandisi7093 9 місяців тому

    Neema ya Bwana iwe juu yangu na itembee nami

  • @PHILIPOMUGOA
    @PHILIPOMUGOA 9 місяців тому

    Akika Bwana Yesu yupopamoja nasi

  • @marthaayo4980
    @marthaayo4980 9 місяців тому +1

    Neem ya Bwan iwe juu yangu

  • @PrudenceProjest-kx6my
    @PrudenceProjest-kx6my 9 місяців тому

    Huu mwaka naomba nikae karibu na huepo wako yesu

  • @justinmilton9229
    @justinmilton9229 9 місяців тому

    Unikumbuke na mm Yesu

  • @teddymhenga3006
    @teddymhenga3006 9 місяців тому

    Thank you.

  • @JackobClement
    @JackobClement 9 місяців тому

    Neema ya bwan iwejuu yangu

  • @jescabahati4709
    @jescabahati4709 9 місяців тому

    amen

  • @wemawestern1971
    @wemawestern1971 9 місяців тому +1

    Naomba umponye mwanangu na Kila roho za magonjwa

  • @ShukranKawind
    @ShukranKawind 9 місяців тому

    Amina

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 9 місяців тому

    Napokea nguvu za roho mtakatifu napokea nikiwa apa Oman

  • @pablolema273
    @pablolema273 9 місяців тому

  • @ibrahimedsonsimba2360
    @ibrahimedsonsimba2360 9 місяців тому

    Shinyanga mjini Bado tuko pamoja!na tunapokea

  • @ZaneGideon-sp2pj
    @ZaneGideon-sp2pj 9 місяців тому

    🙏🙏🤝

  • @elyhillary2000
    @elyhillary2000 9 місяців тому

    Ameeeeniii

  • @mahalawanamahalawana4019
    @mahalawanamahalawana4019 9 місяців тому

    Neema ya Bwana iwe juu yangu ❤❤❤

  • @MariamSebogo-n4e
    @MariamSebogo-n4e 9 місяців тому

    Tunaomba mtuwekee sawa sauti kwenye Tv

  • @teddymhenga3006
    @teddymhenga3006 9 місяців тому

    It sounds high and low I don't catch up.

  • @tumefinyangwatena
    @tumefinyangwatena 4 місяці тому

    Frog leaping spirit leave me in Jesus christ

  • @teddymhenga3006
    @teddymhenga3006 9 місяців тому

    Asante ee Yesu uliyejaa upendo

  • @dianamosha4715
    @dianamosha4715 9 місяців тому

    Amen

  • @pinaMercy
    @pinaMercy 9 місяців тому

    Amen

  • @AdamNkwabhagu
    @AdamNkwabhagu 9 місяців тому

    Amen