nilivyoelewa mimi mimba inakuwa haina mwenyewe hata wewe ambae ndio umemtia mimba inakuwa sio ya kwako kwasababu ni ya zinaa, ungekuwa umemuoa ndio hairuhusiwi aolewe na mtu mwingine akiwa na mimba yako. kwa ufupi kwa nilivyomuelewa shekhe ni kwamba unaweza muoa kama umemtia mimba ya zinaa because haina mwenyewe
Mwanzo Eda La Tataka Ni Mienzi 3 Tena Unakaa Apo Kwa Mumeo Mkpa Umalize Ndio Utakubaliwa Kuondoka Na Uwenda Ikawa Akarudisha Moyo Wake Nyuma Mkarudiana Kma Ivi Ssa
Shukran ustadh Allah barik
Kuna wengine hawajuwi hata nini Masahaba 😂😂😂😂
Assallam Allaikum, je yafaa kuleta dikri wakati wa taraweha sheikh anaposoma surah wakati umefunga swala
Ustadh Jazzakumullah Kheir
Tafadhali nisaidie na number ya WhatsApp
Kwa hivyo mimba ikiwa ni yangu Mimi siwezi kumwoa
Lakini yeye aweza kuolewa na mwingine yeyote
Vile nafahamu Mimi kama nimekosa nirekebishe
nilivyoelewa mimi mimba inakuwa haina mwenyewe hata wewe ambae ndio umemtia mimba inakuwa sio ya kwako kwasababu ni ya zinaa, ungekuwa umemuoa ndio hairuhusiwi aolewe na mtu mwingine akiwa na mimba yako. kwa ufupi kwa nilivyomuelewa shekhe ni kwamba unaweza muoa kama umemtia mimba ya zinaa because haina mwenyewe
Shukran dadangu for clarification
I was totally confused on this matter
Saum Maqbul
@@mapishiwithsabrina87 mm pia nmemuelewa hivyo
Mashallah
Mwanamke amesilimu na Walii wake sio waislamu, nataka kumwoa na walii wake hawako radhi na harusi yetu.
Nini hukmu yake
Nilipewa talaka tatu za kukandika nimekaa innje ya ndoa miezi tisa sahi mume amarudi anataka turudiane je hukumu yangu ni ipp
Mwanzo Eda La Tataka Ni Mienzi 3 Tena Unakaa Apo Kwa Mumeo Mkpa Umalize Ndio Utakubaliwa Kuondoka Na Uwenda Ikawa Akarudisha Moyo Wake Nyuma Mkarudiana Kma Ivi Ssa