Kampuni za KUWEKEZA kupata FAIDA 2024.
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- TIP US M-pesa 5859111 MICHONGO PODCAST.
SUBSCRIBE TO OUR CHANEL
/ @michongopodcast
Chat with us whatsaap.
wa.me/message/...
Visit our website: michongopodcas...
Follow us:
Instagram: ...
Twitter: / michongopodcast
Facebook: www.facebook.c...
Am already following you
Asante kwa maarifa haya kwa kweli hii ishu ya Hisa si somo rahis bado elimu inahitajika sana
Ni kweli, Asante sana na tutaendelea kufanya zaidi 🔥🔥
Kazi nzuri Michongo Podcast, endeleeni kupambana kuelimisha na kuuamsha umma.
Asante sana hii inatusaitia kupata hali ya kuleta vipindi vingine vizuri zaidi
Ahsante kwa Elimu nzuri
Karibu sana
Safi sana
Tunashukuru
Asante sana
Somo la bure
Karibu sana, tuntaendelea kuwaletea masomo zaidi.
Mimi Niko wilaya ya rombo kilimanjaro
Je brocker nitampataje ?
Kwenye app unaweza kuchagua broker unaemtaka lakini pia unaweza kuwasiliana na dalali wa soko la hisa kwa njia ya simu kwa msaada zaidi
Nataka nininunue hisa NMB ,nifanyeje?
jisajili kwenye app ya DSE , halafu mchague broker atakusaidia kukupa muelekeo kwenye kununua hisa
Unaweza kununua kupitia Aplikesheni ya DSE hisa kiganjani au kupitia madalali wa soko la hisa kama utapata changamoto kuna namba ya WhatsApp tunaweza kukusaidia.
Nawezaje kuanza kuwekeza na je kwa wa mikoani utaratibu upoje
Unaweza kuanza kuwekeza kwa kufahamu unataka kuwekeza wapi katika hisa unaweza kuanza na kutumia App ya DSE
Naweza kukupataje@@michongopodcast
Je naweza ku wekeza kwa laki moja
Ndio unaweza kuwekeza kuanzia na elfu kumi tu.