Hongera sana Mbunge Lusinde kwa kuongea ukweli bila kumumunya,safi sana na hii inadhihirisha ulivyomkweli hata kwenye jimbo lako. Vyeti sio lazima,vitendo vya uhakika ni tosha.
Katika wabunge wajinga ni huyu Kibajaji. Mimi nashangaa ni kwa nini kila mwaka anashinda katika jimbo lake. Yaelekea watu wa Mtera wamekwepa umande au Kibajaji labda ni Mchawi. Sumaye baki CHADEMA tunakupa Uwaziri wa Mambo ya nchi za nje. Hosipitali ya Wilaya na Kituo cha Afya sio kodi za CCM peke yake ziko kodi za Wapinzani. Unataka vyama vyote vikusanye kodi hiyo itakuwa nchi au ni vurugu. Kibajaji wewe sio MUNGU acha kuongelea vyama vya watu huo ni uchawi. Mbowe hahusiki lolote katika hili wewe sio msemaji wa CHADEMA. Wewe ni mnafiki. Unachonga sana. Eleza mambo ya CCM na Magufuli sio Mbowe na CHADEMA.
Safi sana Rusinde
Nakubali nakubali nakubali nakubali Lusinde
Hongera sana Mheshimiwa Livingstone Lusinde umenifundisha mengi sana na huwa nakufatilia mnoo
Impressive talk👏
Hongera sana Mbunge Lusinde kwa kuongea ukweli bila kumumunya,safi sana na hii inadhihirisha ulivyomkweli hata kwenye jimbo lako. Vyeti sio lazima,vitendo vya uhakika ni tosha.
Safi sana kiongozi, Big up ..!
Katika wabunge wajinga ni huyu Kibajaji. Mimi nashangaa ni kwa nini kila mwaka anashinda katika jimbo lake. Yaelekea watu wa Mtera wamekwepa umande au Kibajaji labda ni Mchawi. Sumaye baki CHADEMA tunakupa Uwaziri wa Mambo ya nchi za nje. Hosipitali ya Wilaya na Kituo cha Afya sio kodi za CCM peke yake ziko kodi za Wapinzani. Unataka vyama vyote vikusanye kodi hiyo itakuwa nchi au ni vurugu. Kibajaji wewe sio MUNGU acha kuongelea vyama vya watu huo ni uchawi. Mbowe hahusiki lolote katika hili wewe sio msemaji wa CHADEMA. Wewe ni mnafiki. Unachonga sana. Eleza mambo ya CCM na Magufuli sio Mbowe na CHADEMA.
Lusinde ndugu yangu jiongeze kwenye comedy pia kunaweza kukupa fulsa nyingine!!
najifunza vitu vingi sana kwa mheshimiwa lusinde
Lisinde safi sana mbunge makini
Nafurahi sana kibajaji
Dah rafiki yangu sana kibajaji, uwe mbunge wa miaka 5 mingine
Eti kama mungu angeitisha kikao sizani kama kunawatu wangekubali kuwa vilema
Nakwamin mkuu
Penda sana we kijana yaani ni comedy yenye kiwango cha juu!!na bungeni unavyopigania chama chako
Lusinde Ana akili kubwa.!
Wilson Challange Story yako inanisikitisha sana Mh
Dah Lusinde ndie amenifanya niingie kwenye siasa kwa nguvu zote,kwani kihistoria tunafanana sana,hasa madhira na mapito aloyapita japo nahisi nimemzidi kdg
Dah Lusinde ni kichwa saaana,ni hatari sana,M,Mungu angempa hizo degree na master cijui ingekuaje
Lusinde kiboko eti odinga kujiapisha ilikuwa ni kichekesho
Mh.anaKipaji chakuchekesha pia anacho😂
Hahahaha eti kamba
Safi sana Lusinde