Hofu ya mlima wa Manga ilioko Kisii

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 тра 2024
  • Makumi Ya Watu Wanaoishi Chini Ya Mlima Manga Kaunti Ya Kisii Wanaishi Kwa Hofu Kufuatia Mvua Inayoendelea Kusababisha Maporomoko Ya Mawe Katika Eneo Hilo. Wakaazi Sasa Wanataka Serikali Kuweka Juhudi Za Kuokoa Hali Kabla Ya Maafa Kutokea. Na Kama Anavyoripoti Chrispine Otieno, Mlima Huo Wa Manga Una Historia Kubwa Ya Jamii Ya Abagusii.

КОМЕНТАРІ • 65

  • @ronnybthebigboy
    @ronnybthebigboy 22 дні тому +6

    Sijawai cheka shida lakini hii nimecheka weh 😅😅😅ati kapiga nduru kama Punduki 🔫😂😂

  • @Gorgeousij
    @Gorgeousij 24 дні тому +14

    Sasa mnangojea serikali na hii ni Mali yenu,si muhame kwani ni kila mtu awekelee serikali mzigo kila mala,ama munataka mlima ihamishwe

  • @Muyahudi-fg5ud
    @Muyahudi-fg5ud 20 днів тому +1

    Chameni mawe napiga nduru kapisa kama punduki....ghai!!God mercies

  • @rosewoiemitau8376
    @rosewoiemitau8376 24 дні тому +7

    Simuangalie penye mnaweza kuhamia ama mnataka aje jamani uhai ni kitu mhimu sana

    • @janemuthoni723
      @janemuthoni723 19 днів тому

      Wapee mahali pa kuenda hawana shida na kuhama

  • @edwinkenyatta5482
    @edwinkenyatta5482 21 день тому +3

    Ngaangalia ngaigwa 😂 😂 😂 my grandmother..be safe

    • @BxbHdbdbhjusu
      @BxbHdbdbhjusu 20 днів тому +1

      😂😂😂😂ngaiwa mawe inapiga nduru

    • @janetjully
      @janetjully 13 днів тому

      😂😂😂😂

  • @wesmaelijah8460
    @wesmaelijah8460 24 дні тому +4

    Si mnajua vile serikali hutoa watu,ni kubomolewa manyumba

  • @alexinamaina794
    @alexinamaina794 23 дні тому +3

    😂😂😂😂nduru kama bunduki

  • @Evoryhomescare
    @Evoryhomescare 24 дні тому +7

    lakini wakisii....is it a must mungoje serikli ikuje kuwatoa surely?

  • @EmmanuelMwenda-cn6ps
    @EmmanuelMwenda-cn6ps 22 дні тому +1

    Milima kitambo ilikuwa pahali takatifu kuombea mungu. Nowadays like ngong hills imejaa condoms, na watu kufanyia ngono .😂😂😂

  • @dickensojiambo275
    @dickensojiambo275 19 днів тому +1

    Ambieni kindiki na osoro president wenyu ako usa anapewa pesa kuenda kupeleka vijana wake haiti

  • @Irandabale
    @Irandabale 24 дні тому +2

    Si wahame Tu!!

  • @irinemosati5557
    @irinemosati5557 23 дні тому +1

    Ulisikia wapi msaada Hama kwa usalama wenu serikali ni baadae.maisha niyako kusuia ikingojea msaada.

  • @DanielOogabosire
    @DanielOogabosire 16 днів тому

    God's good all the time to get family

  • @monicahnangamishiundu635
    @monicahnangamishiundu635 23 дні тому +1

    Mmmh tanakali za sauti, piga nduru kama punduki

  • @alexinamaina794
    @alexinamaina794 23 дні тому +1

    The funny thing they are aware...and waiting 😂😂😂😂

  • @rebeccabrown5135
    @rebeccabrown5135 24 дні тому +3

    Ngojea msaada kutoka kwa osoro atakupea

  • @stephenmutinda9656
    @stephenmutinda9656 23 дні тому +1

    Mnagojea serekali saidia

  • @charlesomboga2114
    @charlesomboga2114 14 днів тому

    Lake Okari, that formed under similar conditions as Simbi Nyaima in Homa Bay, is located where local resident's house stood before sinking. It's a stone throw away from the precipice that is reported to be falling apart.
    It's a national calamity-in-waiting that affects a large population of indigenous community. They need to be relocated

  • @EnidKwamboka
    @EnidKwamboka 18 днів тому

    Home place

  • @gulftranspoters1762
    @gulftranspoters1762 24 дні тому +2

    Ngaskia tulu kupwa 😂 but I love our distinct

  • @dokimocrystal3418
    @dokimocrystal3418 23 дні тому

    Our home.

  • @janemuthoni723
    @janemuthoni723 19 днів тому

    Weeee mawe kupiga nduru kama punduki ni makooshaaaaa na nkaankaria nkaigu makoshaaaa sana sana mawe na nduru za punduki ni makoshaaaa😂😂😂😂😂😂

    • @artisthusnatalal3099
      @artisthusnatalal3099 17 днів тому +1

      You're there telling them wapewe mahali ya kuhama hawana shida na kuhama na huku unawacheka 😏🙄

  • @OldisGold1982
    @OldisGold1982 10 днів тому

    Hahaha ati ngangalia nkaigwa😂😂😂

  • @erickaminga6023
    @erickaminga6023 22 дні тому +2

    Shenzi kabisa relocat to safe places

  • @user-if3lt5my5i
    @user-if3lt5my5i 21 день тому

    Sasa mnataka wahame,okay.Nawanahamia wapi exactly😊

  • @annbwari7718
    @annbwari7718 24 дні тому +2

    Hapo ni nyumbani wacha Mungu alinde watu wake aki...

  • @luckyluchano1
    @luckyluchano1 24 дні тому +4

    Kila kitu serekali...just vacate to another place

  • @rufusmutahi4564
    @rufusmutahi4564 23 дні тому

    Kama wanadamu tumaini lao limefika mwisho
    Mungu Ako mbinguni sio milimani

  • @laizerlusiana9215
    @laizerlusiana9215 24 дні тому

    Ni ukweli vile huyo mzee amesema wapate msaada mapema Bado wakiwa hai,wasisubiri mabaya itendeke ndio msaada iwafikie.....Mungu awalinde na awatende mema

  • @georgesagwe6703
    @georgesagwe6703 24 дні тому +1

    Mnangoja serikali iwatoe ndio muone ni serious

  • @WanjaGitonga-bw1mk
    @WanjaGitonga-bw1mk 22 дні тому

    Government will wait for people to vacate and embezzle emergency funds

  • @alexinamaina794
    @alexinamaina794 23 дні тому +1

    Redcross inakuja kutoa mawe yenye inapiga nduru kama bunduki

  • @edwinedu1829
    @edwinedu1829 23 дні тому +1

    Nani anafaa kuondoka, ni mlima ama ni watu?

  • @rebeccabrown5135
    @rebeccabrown5135 24 дні тому

    Hiyo mlima Manga Mr muongo tuaristi Ruto zakayo atakujia achenge affordable housing msijali kama hamtaki kuhama

  • @honlameckmokaya
    @honlameckmokaya 24 дні тому

    Let them vacate the place

  • @omwami360
    @omwami360 22 дні тому

    Cameraman pia nikama hataki tuone iyo mawe imedunda vifiti

  • @Kissbaby267
    @Kissbaby267 23 дні тому

    Swali ni si kwa ubaya but .. mnataka aje? Government uwabebe kwa mugongo iwatoe hapo? In Kenya we don’t have a government, so if you waiting for government to help you you will wait till the kingdom come. Jitoeni sasa ivi mko uhai msingoje tukuje tuwatoe mkiwa maiti

  • @omodesigner
    @omodesigner 17 днів тому

    Actually this is not news, 😂😂

  • @Kanji-qj7hx
    @Kanji-qj7hx 23 дні тому

    So your intentions is be given food wake up and stop this ujinga

  • @wesmaelijah8460
    @wesmaelijah8460 24 дні тому

    Si mnajua vile serikali hutoa watu,ni kubomolewa manyumba

  • @wesmaelijah8460
    @wesmaelijah8460 24 дні тому

    Si mnajua vile serikali hutoa watu,ni kubomolewa manyumba

  • @wesmaelijah8460
    @wesmaelijah8460 24 дні тому

    Si mnajua vile serikali hutoa watu,ni kubomolewa manyumba