TUMETOKA MBALI (NEW!), Ambassadors of Christ Choir 2020, Copyright Reserved

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 2,3 тис.

  • @okehthereactor522
    @okehthereactor522 7 місяців тому +17

    mimi ni raia wa Zimbabwe lakini Ambassador of christ songs kwa kweli hunibariki na kusema mengi katika maisha yangu

  • @joydesire2929
    @joydesire2929 3 роки тому +90

    If you have listened to this song more than one time show up here please so that we thank God 🙏 for bringing us this far

  • @givenmatsveru2316
    @givenmatsveru2316 11 місяців тому +4

    Tunao ushuhuda wakutosha
    Kwamba mungu mwenyene
    Kwa mkono wake
    Ametuleta umbali huu
    Akitubembeleza
    Taratibu bila haraka ooh
    Mungu wetu hutenda taratibu
    Lakini kwa uhakika
    Kwa uhakika
    Hakika tumetoka mbali
    Mbali sana hata twashanga Tulivyo fika hapa
    Asinge kuwa yeye mungu wetu
    Tungeweza nini(Tungeweza) nini
    Basi hatuna budi kusimama
    Mbele yamataifa tukishuhudia
    Ooohh kwamba mungu aweza yote
    Hakika tumetoka mbali
    Mbali sana hata twashangaa
    Tulivyo fika hapa
    Asinge kuwa yeye mungu wetu
    Tungeweza nini (Tungeweza) nini
    Basi hatuna budi kusimama
    Mbele yamataifa tukishuhudia
    Ooohh kwamba mungu aweza yote
    Kila mmoja wetu yeye kivyake
    Kama angepewa nafasi Kusimulia
    Na kueleza ilivyo mbali
    Mungu amemutoa
    Utubaki mdomo wazi
    Ooohh acha wewe
    Watu wametoka mbali
    Tena mbali sana, mbali sana
    Hakika tumetoka mbali
    Mbali sana hata twashangaa
    Tulivyo fika hapa
    Asinge kuwa yeye mungu wetu
    Tungeweza nini (Tungeweza) nini
    Basi hatuna budi kusimama
    Mbele yamataifa tukishuhudia
    Ooohh kwamba mungu aweza yote
    Hakika tumetoka mbali
    Mbali sana hata twashangaa
    Tulivyo fika hapa
    Asinge kuwa yeye mungu wetu
    Tungeweza nini (Tungeweza) nini
    Basi hatuna budi kusimama
    Mbele yamataifa tukishuhudia
    Ooohh kwamba mungu aweza yote
    Jambo moja najua na la uhakika
    Mungu hakutuleta Umbali huu wote
    Akiwa nayo nia mbaya
    Yakutuaibisha hapana
    Mungu wetu yumwaminifu
    Makusudi yake ni mema kwetu
    Basi tujitahidi nasi tusimwaibishe
    Hakika tumetoka mbali
    Mbali sana hata twashangaa
    Tulivyo fika hapa
    Asinge kuwa yeye mungu wetu
    Tungeweza nini (Tungeweza) nini
    Basi hatuna budi kusimama
    Mbele yamataifa tukishuhudia
    Ooohh kwamba mungu aweza yote
    Hakika tumetoka mbali
    Mbali sana hata twashangaa
    Tulivyo fika hapa
    Asinge kuwa yeye mungu wetu
    Tungeweza nini (Tungeweza) nini
    Basi hatuna budi kusimama
    Mbele yamataifa tukishuhudia
    Ooohh kwamba mungu aweza yote

  • @johnkithinji-mz2vb
    @johnkithinji-mz2vb 7 місяців тому +8

    Mungu nimweza wayote... Aliponitoa nanilipo Kama siyeye ... Jamani sijui ataniseme Nini .... Asante mungu

  • @RehemaNyandinda
    @RehemaNyandinda Рік тому +2

    Mungu alitowa mbali kabisa, Mungu awabariki sana

  • @wagrandykez4570
    @wagrandykez4570 4 роки тому +199

    Tanzanian ....wakwanza kufika hapa..tupee hawa Ambasadors of God like

  • @mariaosaka2301
    @mariaosaka2301 3 роки тому +3

    Tumetoka mbali sanaaaaa 😍

  • @damamwa4288
    @damamwa4288 3 роки тому +305

    In Kenya 🇰🇪 we support true gospel..Kenyans let's show Christ Ambassadors some love

  • @lucymoses6318
    @lucymoses6318 8 місяців тому +136

    Gonga like kama uko hapa 2024❤❤

  • @fkimanthi
    @fkimanthi 2 роки тому +155

    This song ministers to my life,after highschool ,I did odd manual jobs,I hawked T-shirts, cold flavored ice (barafu), I used the money to study ,CPA, I got a job midway,I grew in the corporate world while studying. I out grew employment and money as a motivator to life, So I left employment in 2015 after 10 years, to pursue purpose ,Now a director in several companies, I did my Bachelors degree as well after CPA,and my MBA, looking forward to start PHD soon. God is true today as He was before.

  • @arielbuzera5448
    @arielbuzera5448 4 роки тому +89

    WATU WAME TOKA MBALI, TENA MBALI SANAAAAAAAAAAAAAAA......MBALI SANA. I love that part too much.

  • @dainessmollel4841
    @dainessmollel4841 3 роки тому +7

    May god bless you ambassador we love you ❤️❤️❤️❤️❤️❤️ karibuni Tanzania 🇹🇿

  • @nanciems4438
    @nanciems4438 4 роки тому +383

    Wakenya the house is full of you❤❤❤❤❤❤❤❤❤ this choir should visit kenya

  • @mariamsungu2129
    @mariamsungu2129 3 роки тому +2

    Nawapenda sana mzidi kutubariki kwa nyimbo nzuri na sauti nzuri hakika Mungu aweza yote

  • @jesussavesandheals3352
    @jesussavesandheals3352 Рік тому +1

    Mungu akubariki sana, asante kwa kumtumikia kwa bidii

  • @edithmoragwa385
    @edithmoragwa385 4 роки тому +305

    My favorite choir
    Much love from team kenya 🇰🇪

    • @claresayo3099
      @claresayo3099 3 роки тому +3

      Am a real addict

    • @felistusmuendikyunguti2056
      @felistusmuendikyunguti2056 3 роки тому +2

      My favorite choir. Good work God's people

    • @ntombizakhemlotshwa219
      @ntombizakhemlotshwa219 3 роки тому +2

      Keep the Sabbath standard like you always did, NO DANCING. We love you don't adopt the Babylonians teachings

    • @dorcasmuya2128
      @dorcasmuya2128 3 роки тому +2

      I love this guys ,simple n always having a great message ,hakika tumetoka mbali

    • @silwimbaian3072
      @silwimbaian3072 3 роки тому +2

      @@claresayo3099 God bless you dear friends

  • @Spiny-f3m
    @Spiny-f3m Рік тому +25

    It's now October 2023 enjoying this song from Nairobi...thank you Lord indeed you're able🙏

  • @mfalmepeterekuwom9237
    @mfalmepeterekuwom9237 2 роки тому +3

    this far has been God,i am just from far,though sijafika but pahali nimetoka ni mbali:mbali na taabu,maangaiko,shida zote.....mbele si mbali,si karibu kwa haki kristo aniongosae yupo nami.......i write this on a sabbath evening date 19/11/2022 at exerctly 6:29pm to be areminder to my grandson somewhere in the future and my landmark

  • @immaculeenyandwi8198
    @immaculeenyandwi8198 3 роки тому +2

    Je vous aime beaucoup beauuuuucoup
    Nubwo naba mvuye gupagasa at 11: 45 PM
    Indirimbo zanyu nixo zinduhura.
    Mubarikiwe sana
    Immaculée la Burundaise from Montréal
    Much love

  • @EuniceOgesagwa
    @EuniceOgesagwa 4 місяці тому +1

    Mungu aweza yote 2024❤❤❤ mko wapi

  • @georgehalihali9923
    @georgehalihali9923 2 роки тому +31

    Much love from 🇹🇿🇹🇿
    "Hakika tumetoka mbali,mbali sana..."
    Nazidi kubarikiwa na huu wimbo .
    Mbarikiwe sana ndugu zangu katika Kristi🙏🙏
    Nawapenda mnoo❣️❣️❣️

  • @EmilyNyabera
    @EmilyNyabera 3 місяці тому +8

    Wakenya 2024..likes kwa wingi❤

  • @zangadat1749
    @zangadat1749 2 роки тому +54

    I would like to thank one of the Tanzanian truck drivers for bringing me here....21/04/22 i was filling fuel for his truck in Botswana and he was listining to this jam and i fell i love with the vocals even though i dont understand the language and now i can sing the song fluently 🙏🙏🇧🇼🇧🇼 if you are here brother i wish to meet you again🥺🤞

  • @hadijamcha7824
    @hadijamcha7824 Рік тому +1

    Nikisikikiza nyimbo zenu napata faraja na wapenda sana kutoka 🇹🇿🇹🇿

  • @cleopatrachisenga7478
    @cleopatrachisenga7478 3 роки тому +2

    WATCHING from ZAMBIA

  • @yonahnathanael2137
    @yonahnathanael2137 4 роки тому +12

    Love from Tanzania. waTanzania mko wap,like hapo

  • @bonifacekimani1640
    @bonifacekimani1640 4 роки тому +145

    From Kenya murang'a kiharo,,, my favorite choir did it again. Moto sana hii

  • @pharesmitarya4892
    @pharesmitarya4892 3 роки тому +27

    Huu wimbo kwa namna fulani umeinua imani yangu,hakika Bwana Yesu ni Mwema sana,Mungu awabariki watumishi wa Mungu mlioshiriki kwenye wimbo huu.

  • @cynthiaodda
    @cynthiaodda 8 місяців тому +2

    Hakika tumetoka mbali sana Hadi kufika hapa kweli Mungu aweza yote

  • @gilbertmuriuki7092
    @gilbertmuriuki7092 2 роки тому +2

    Kwa hakika tumetoka Mbali.......
    Ushuhunda tunao.. .
    Kama Sio Mungu.....
    Kila mmoja akipewa nafasi asimulie pale na yale Mungu amemtendea Wengi wetu tunabaki na mshangao ....
    Mungu aitwe Mungu.....
    Alituleta mbali hii yote kwa nia ya mafanikio ..yeye yumwanifu.........
    Hakika tumetoka mbali.. .

  • @kennedymurumba-z8z
    @kennedymurumba-z8z Рік тому +33

    I thank God for bringing me into Seventh-Day Adventism.It's now six years and I never regret it❤

  • @charityndirangu4447
    @charityndirangu4447 3 роки тому +109

    Can't get enough of this song......much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 4 роки тому +685

    Wakenya 🇰🇪 likes ziko wapi?

    • @rophinamuluki964
      @rophinamuluki964 4 роки тому +6

      My dear siz from team kubwa#shangilia. I love you

    • @joskyshams4758
      @joskyshams4758 4 роки тому +6

      @@rophinamuluki964 I love you too

    • @amollodama4830
      @amollodama4830 3 роки тому +4

      Kenya twashangilia.

    • @schoolwork232
      @schoolwork232 3 роки тому +2

      like ziko na bado zinacome...we ngoja uone! I love all my mandugu na dada zangu! My Kenyan people! Mwah mwah mwah! Baraka za Mungu kwetu sote! :)

    • @janetnyaberi7497
      @janetnyaberi7497 3 роки тому +1

      Always sooo amazing voices wish to sing like you

  • @emmaawuor164
    @emmaawuor164 3 роки тому

    Mungu aweza yote.... My favorite sda pple 😍😍😍love you guys

  • @mirriamtarirozekewu2950
    @mirriamtarirozekewu2950 Рік тому

    Much love from Zimbabwe 🇿🇼🇿🇼🇿🇼

  • @amosnasike2790
    @amosnasike2790 Рік тому +15

    My class eight candidates are going to sing this on their prayer Day,it has been God since day one 🙏🙏🙏

  • @victoriakawira3652
    @victoriakawira3652 4 роки тому +464

    1st to view wapi like from Kanya

  • @martinnduati1132
    @martinnduati1132 4 роки тому +71

    If they can sing like this here on earth, I wonder how it will be in Heaven. Beautiful.

  • @peteraluoch8918
    @peteraluoch8918 2 роки тому +2

    Asingekuwa Mungu Wetu , tungeweza nini !
    He couldn't have brought us this far only to forget about us !!

  • @Perisshortstory
    @Perisshortstory 10 місяців тому +1

    TUMETOKA MBALI 2023 JAN TO 2023 DEC.
    TUNASHUKURU MUNGU.
    2024 TUNAINGIA NA BARAKA TELE❤❤❤❤

  • @emmyngira9433
    @emmyngira9433 Рік тому +15

    Tears in my eyes mbali nimetoka na watoto wangu after their fathers death ni Mungu anaweza yote continue being a blessing to all

  • @nyargot3149
    @nyargot3149 3 роки тому +4

    Hakika tumetoka mbali,much love from kenya🇰🇪

  • @JLM001KE
    @JLM001KE Рік тому +10

    In as much we r here to serve the lord,the fact is,no other choir can surpass this one❤❤❤❤ they r talented.

  • @lucyjune1354
    @lucyjune1354 3 роки тому

    Second lock down in Nairobi kenya,weka likes.Its such a vibe

  • @LightnessHondi-p7k
    @LightnessHondi-p7k Рік тому +1

    Hakika mungu ni mweza wa yote pia hakiwahi kushindwa na jambo lolote unaponyenyekea mbele zake

  • @michelenedesormeau2960
    @michelenedesormeau2960 3 роки тому +126

    All these beautiful people with no heavy makeup, no jewelry, very simple but, elegant singing for our Lord and Savior, thumbs up. Keep up the good work. God bless!

    • @tsitsindaba8519
      @tsitsindaba8519 3 роки тому +4

      Mind you, Somali and Rwandese women are naturally beautiful . So dont compare them with other mermaids 😂😂😂. I do same as them. I dont relax my hair nor put on make up at all. I wear dresses not pants. But its just me.

    • @bethmainagakunga4017
      @bethmainagakunga4017 3 роки тому +16

      @@tsitsindaba8519 are you by any chance calling us mermaids because we are not rwandese or somalis? ..am from kenya and a sda ..every man and woman was created by GOD ...

    • @tsitsindaba8519
      @tsitsindaba8519 3 роки тому +1

      @@bethmainagakunga4017 Dont pick an offence, you should ask me what do I mean. I was simply saying they dont do make up too much. Being a Seven day Adventist does not mean you going to heaven. You call yourself a christian and get offended easily. I dont even care where you come from . What I know is you my sister thats it. Infact I will be coming to Kenya. You better cook the best food.

    • @bethmainagakunga4017
      @bethmainagakunga4017 3 роки тому +2

      @@tsitsindaba8519 am not offended dear ...was just wondering what you mean by mermaids🤔🤔

    • @bethmainagakunga4017
      @bethmainagakunga4017 3 роки тому

      @@tsitsindaba8519 are you coming to krnya for rea?

  • @ValaryQchieng
    @ValaryQchieng Рік тому +14

    This far The Lord has brought us,,,🙏🙏we thank Him so much

  • @misikanawa4941
    @misikanawa4941 Рік тому +3

    The way I like this song, ♥️♥️ , ambassador of Christ may God bless you, when it comes to music you are the best I love your songs, from Zambia

  • @lynnfavor6058
    @lynnfavor6058 2 роки тому +1

    One thing I don't doubt is that He cannot bring me this far if He had evil plans to harm me.
    I therefore will testify before nations that God is able.

  • @berinemuhamiriza2135
    @berinemuhamiriza2135 3 роки тому

    Nawapenda sanaaaa Ambassadors of Christ choir

  • @shirogitari8477
    @shirogitari8477 3 роки тому +11

    Have gone through comment and most of them are from my mother land KENYA .guys be blessed all. my favorite choir mungu azindi kuwainua

  • @brendatom4337
    @brendatom4337 3 роки тому +47

    Playing this song on my wedding day rembering all the obstacles we have experienced with my partner,God has been faithful

  • @Seth4449
    @Seth4449 3 роки тому +10

    Big Love from Kenya. Hakika tumetoka Mbali, mbali sana....

  • @MamieTshisola
    @MamieTshisola 11 місяців тому

    C'est vrai, nous venons de très loin et ce n'était le Dieu d'amour ❤❤❤❤❤

  • @GrahamMose-m3v
    @GrahamMose-m3v Рік тому +1

    Like it pia wenye wayuko sda mukuje karibuni kwasababu ya hii choir amen be blessed❤

    • @GrahamMose-m3v
      @GrahamMose-m3v Рік тому +1

      kama unaona wewe sio mgonjwa ingia choir God is loving you

  • @Roselyne-o5y
    @Roselyne-o5y 4 роки тому +19

    Hakika tumetoka mbali..Ni Mungu Tu..Amen 👏 Happy December to all viewrs baraka tele👏

  • @carolynesyombua3606
    @carolynesyombua3606 2 роки тому +5

    I worship in A.I.C ,but this choir blesses me alot ,I must say their songs are way more great,🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @marynzisa3082
      @marynzisa3082 Рік тому

      Me too. AICKenya, but I feel am on my way to Adventist!

  • @yvonnemangana4668
    @yvonnemangana4668 Рік тому +13

    Anyone still listening to this song???it doesn't get any older for me it's always new ....the love I have for Adventist music is beyond mention❤.. Always blessed

  • @valentineonsarigo9205
    @valentineonsarigo9205 2 роки тому +1

    Hakika nimetoka mbali, mbali San, hata nashangaa nilivyo fika hapa. Hakika we ni Mungu wangu, Amen. Much love from Kenya, Nairobi

  • @lydiahann1737
    @lydiahann1737 3 роки тому

    Very true tunashangaa kwa uwezo wako mungu kwa umbali huu mungu azindi kuwabless

  • @nancymwangi9438
    @nancymwangi9438 3 роки тому +18

    Ooh Lord I can't get enough of this song, thank you Lord for the far you have brought me and my children 😭😭😭😭

  • @karanjavinny2086
    @karanjavinny2086 4 роки тому +86

    He is the God of mercy..indeed he will not dissapoint. From Kenya-thika

    • @magretelia7814
      @magretelia7814 3 роки тому +1

      Jamani kweli mmetoka mbali mungu azidi kuwapigania naonahadi huyo mzee anamvi kibao kipindi nakuwa nawajua nilikuwa bado mko vijana vijana

    • @ashumtamuturi3924
      @ashumtamuturi3924 3 роки тому +1

      Neighbor

    • @karanjavinny2086
      @karanjavinny2086 3 роки тому

      @@ashumtamuturi3924 u from thika?

  • @reubenkariuki6637
    @reubenkariuki6637 3 місяці тому +1

    ❤❤❤❤❤❤I love the song

  • @sophiabenjamin7264
    @sophiabenjamin7264 3 роки тому +1

    Asante mungu wangu

  • @YOMYSTUDIOS
    @YOMYSTUDIOS 4 роки тому +5

    Mbarikiwe sana kazi makini sana

  • @jannetsolacee8076
    @jannetsolacee8076 4 роки тому +130

    All the way from Kenya..I'm blessed.

  • @rophinamuluki964
    @rophinamuluki964 4 роки тому +19

    Amazing!!! Hakika sina budi kushuhudia,Mungu amenitoa mbali na hii Corona

    • @thaddeusmakori8017
      @thaddeusmakori8017 3 роки тому +1

      Really God Ametutoa mbali blessed from Mombasa Kenya

  • @carrennekesa3890
    @carrennekesa3890 3 роки тому

    Hakika nimetoka mbali sana,,asingekua wewe Mungu wangu pokea tu sifa na shukrani zangu.Asante Kwa Wana ambassadors wamekua wenye baraka katika maisha yangu
    Endelea kuwatumia kama chombo chako kueneza injili na Kubadilisha maisha ya wengi.

  • @priscahpk
    @priscahpk 3 роки тому +2

    Nawapenda sana...... kweli nimetoka mbali..sana....atanashagaa nimefika hapa.... kweli Mungu ni mwema...... from Kenya

  • @stephenf.sikolia7588
    @stephenf.sikolia7588 2 роки тому +26

    My dear wife, Florence, you are our blessing for the worldwide preaching the gospel of God. God help us to maintain peace.....
    Let us be obedient to the word God.

  • @shukranjulius5910
    @shukranjulius5910 4 роки тому +12

    Ameen nawapenda sana Mungu awabariki kwakujitoa kumtumikia yeye japo Yapo mengi yanatukuta lakini kwaneema yake bado tumefika hapatulipo hakika Mungu aweza yote🙏❤❤❤

  • @nasrinasri1782
    @nasrinasri1782 4 роки тому +5

    Hakika nimetoka mbali bila wew nisingeweza asant MUNGU🔥🔥🔥🔥

  • @judithoguna8265
    @judithoguna8265 2 роки тому +2

    Kenyans suppoting this choir to visit us like the comment please they know we mean sense

  • @stromontz3658
    @stromontz3658 3 роки тому

    Mungu aweza yoteeeee.nafarikaga Sana na nyimbo zenu

  • @kiruikipkoech8990
    @kiruikipkoech8990 3 роки тому +135

    This songs gives me the hope to live each an everyday.
    Truly mungu amenitoa mbali, I was once in ICU bed and now I can walk around in good health🇰🇪🇰🇪
    All glory to God 🙏🙏

  • @emmanuelhyera6452
    @emmanuelhyera6452 3 роки тому +3

    From 🇹🇿 kwa kweli huu wimbo ni mzuri sana unabariki sana

  • @evelorena3961
    @evelorena3961 Рік тому +14

    Starting 2023 with this song.. I thank God for everything for always protecting and supporting me... Also thnk God for my challenge ❤️❤️

  • @gloriousreturnministry6936
    @gloriousreturnministry6936 2 роки тому +1

    What a glorious 🎵 🎶 🎵 🎶 🎵 🎶 🎵 🎶 🎵 🎶 🎵 🎶

  • @MarthaAbuto
    @MarthaAbuto 11 місяців тому +2

    Woow hakika tumetoka mbali kwa nguvu za Mungu👌❤️❤️💯🔥🔥

  • @reemamwangi9192
    @reemamwangi9192 4 роки тому +95

    The founder of this choir had a real calling in this mission... Thank you all for the great songs and messages not to go without mentioning the sweet voices

    • @wiliminajustin7636
      @wiliminajustin7636 4 роки тому +1

      Asante

    • @timothyindeche6788
      @timothyindeche6788 3 роки тому +1

      Truly Rehema this Choir is very unique. It makes me Love this group called SDAs or otherwise called Adventists...

  • @FridaNjambi-ps3os
    @FridaNjambi-ps3os 7 місяців тому +2

    Kenyans where are you 🏠...I really love❤❤this song

  • @annnyawira5663
    @annnyawira5663 4 роки тому +30

    From kenya,can't get enough of this song,blessing

  • @joelmogunde
    @joelmogunde 3 роки тому +1

    Kutoka Kenya na nasema bila Mungu sisi ni Bure tu.
    God uniting Africa. Swahili uniting east africa and Africa as a whole. Mungu kweli ametutoa mbali na bado tunayo hamu kufika nyumbani kwetu ambapo hatutengana. Mungu aibariki Afrika!

  • @masimasi8175
    @masimasi8175 11 місяців тому

    Hakika TUMETOKA mbali....asingekuwa Mungu hatungeweza kitu...Jan-Dec
    Thank you Lord. Such a blessing song,be blessed Christ Ambassadors

  • @jonathanofficial2367
    @jonathanofficial2367 4 роки тому +152

    Who is in love with this lovely song?

    • @annabelleanna307
      @annabelleanna307 3 роки тому

      I want stop learning to it

    • @annabelleanna307
      @annabelleanna307 3 роки тому

      Sorry I can't stop listening to it

    • @penceke2389
      @penceke2389 3 роки тому

      hakika tumetoka mbali na ni kwa neema yake Bwana. This song is so timely.

    • @danielmutava8655
      @danielmutava8655 3 роки тому

      Hae, songs by ambassadors are very enjoyable, entertaining & spiritual.kindly help,I have tried to download via vidmate & tubidy invain.

    • @hezronborngony1362
      @hezronborngony1362 3 роки тому

      Can't stop listening this song

  • @joannjue
    @joannjue 4 роки тому +18

    My awesome favourite SDA choir. Much love from Kenya 🇰🇪

  • @w.i.l.l.i.a.m7502
    @w.i.l.l.i.a.m7502 4 роки тому +35

    Blessed Sabbath brethrens from kenya 🇰🇪

  • @pierre-louistamara4088
    @pierre-louistamara4088 3 роки тому +1

    I love you ambassadors

  • @stejosstoursandtravels
    @stejosstoursandtravels 3 роки тому

    Hakika tumetoka mbali sana. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 4 роки тому +4

    Hata mimi nashangaa nimefika aje December 2020. Ni Mungu

  • @ireneogutu8091
    @ireneogutu8091 4 роки тому +57

    Very true....I'm blessed and thank you God for how far you have brought me and my family .....waaaah!!!! Thank you God... Continue blessing Ambassadors of Christ Choir...love from 🇰🇪

  • @Carjes254
    @Carjes254 4 роки тому +65

    You never disapoint.much love from Kenya.

  • @oliviaflorian9010
    @oliviaflorian9010 3 роки тому

    Ni kweli tumetoka mbali,asingekuwa yeye mungu wetu tungeweza nini...penda sana haya maneo.mbarikiwe.fromTz

  • @mercyleneetambo1124
    @mercyleneetambo1124 3 роки тому

    Hakika Mwenyezi Mungu ametutoa mbali hatuezi simulia.
    I love ambassador choir.

  • @kawirafridah6353
    @kawirafridah6353 4 роки тому +26

    Since you released this song...it has become my daily bread😊😊😊😊i love it..may God always bless you Ambassadors....lets give them likes from Kenya🥰🥰🥰

  • @timolineodhiambo454
    @timolineodhiambo454 3 роки тому +14

    My favourite choir 😘😘
    Kenya all the way 🇰🇪🇰🇪

  • @juliuskinyanjui9450
    @juliuskinyanjui9450 2 роки тому +7

    Can't get enough of this!! So deep message. As I reflect this (2021) ending,😪😪😪😪😪 alot has happened. Indeed God is able.

  • @RoselineOndieki-g8d
    @RoselineOndieki-g8d Місяць тому

    Hakika nimetoka mbali hata nashangaa vile nimefika hapa baada ya changamoto katika ndoa yangu,Nikiwa yatima bila kazi lakini Mungu aweza yote kitinda mimba wangu atamaliza kitando Cha nne mwaka ujao.Glory be to God in the highest

  • @MoraaMaurine
    @MoraaMaurine 4 місяці тому +2

    My little daughter used to sung to me this song back 2022 when I was in so much trouble and pain it give me hope everyday.... may God bless her🙏🙏🙏

  • @colebainamatsiko5431
    @colebainamatsiko5431 2 роки тому +17

    those who love Ambassadors of Christ drop here more likes