MUSEVENI ATOA KAULI UVAMIZI WA M23 NCHINI CONGO DR, AMTAKA TSHISEKEDI …

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 30

  • @filberth_Mchilo
    @filberth_Mchilo День тому +1

    Mzee kachoka sana aisee hata fikra Zina download kwanza hizi nchi hata sielewagi aisee. Mungu saidia innocent people in Eastern Congo 😢😢

  • @wilondjacare
    @wilondjacare 18 годин тому

    Mwambie museveni hakutakuwa na majadiliaono, kagame na museveni ni sahani moja

  • @SimonKefa-lz1kd
    @SimonKefa-lz1kd День тому +4

    Aanze yeye kwanza azungumze na ADF? mseveni na kagame lao moja, lengo lao waipindue congo waweke utawala wa kitusi, wao wana amini ni watawala wa wabantu, kanda ya maziwa makuu, kupitia m23 wanaiba madini, kuifazili m23,

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 13 годин тому

    Museven ni mmoja wapo na Wenzake King king KAGAME ambao wapo chini ywa Wazungu wa Ulaya Museve ni kibaka kama king KAGAME

  • @JehhusRaoul
    @JehhusRaoul День тому

    Wezi wakubwa

  • @hashimuuhehwa4252
    @hashimuuhehwa4252 День тому +2

    Vibaka wanajadiri amani Congo wakati wao wenyewe hawapo kihalali kwenye uongozi wao haya ni maajabu kwakweli

  • @Allyiddsud
    @Allyiddsud День тому

    Ahana akili mtusi uyo

  • @ZahorSalum-h9q
    @ZahorSalum-h9q День тому

    Huyu Mzee mwizi tu wanatuulia kaka zetu .

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 День тому

    Mwehu si ni jambaxi mkuu

  • @BritonNdishi-g6o
    @BritonNdishi-g6o День тому

    Yeye mwenyewe ndio anaua askari wetu shetani huyo

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 17 годин тому +1

    Wa Tanzania, mnajua kwamba kuna watusi tupo Tanzania ni ni Watanzania? Acheni ubaguzi. Hao ni m23 na ni wacongo, siyo watusi ni wanyamlenge

  • @raxirafa
    @raxirafa День тому

    kesi ya shetani wunampelekeya shetani

  • @Allyiddsud
    @Allyiddsud День тому

    Museveni ni mtusi ndio m23 uyo mtusi.

  • @rumk-b3n
    @rumk-b3n День тому

    Museveni kamvaa popo hapo😂

  • @hamza-sq5es
    @hamza-sq5es 22 години тому

    Mbona Uganda na rwanda aikubali wazungumza nawahasi wao mseveni uko imbwa

  • @JeanBaraka-pu5xo
    @JeanBaraka-pu5xo День тому

    sasa waongeye nini ibrahim.faso ingiya kongo hawataweza bongo.yao

  • @BritonNdishi-g6o
    @BritonNdishi-g6o День тому

    Mseveni adui wa tanzania anafadhiki uasi huku amijifanya mwema mafarao hao na maherode , mimi mtu akionea mtu naumia sana wanaua waafrika wenzako, kaka zako, baba,mama, jirani,na mambo kana hayo haikubaliki tukemee kwa maombi MUNNGU aingulie kati

  • @ShebylovSuphiani
    @ShebylovSuphiani 22 години тому

    Yeye mwenyewe anafazili waasi wa edifu nalu ww utasema nn pumbavu waku wa nchii za kusini musiogope vita lisio budi litendwe a Kuna jisi😂😂😂 kagame afundishwe eshima kwa mataifa mengine

  • @elirehemasallu5372
    @elirehemasallu5372 День тому

    Museveni are you talking to rebels in your country ? Am convinced that you have an agenda behind what you advised Tshseked.

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni День тому

    Huyu mzee mpuuzi tuu hana lolote

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 День тому

    Wanafiki tu ote

  • @KwetuuPazurii-l5b
    @KwetuuPazurii-l5b 11 годин тому

    Huyu mzee nae ni mpuzi Yani wanamuomba raisi wa congo akae mezani na wasi km yeye angeweza mtu ni sawa na mwizi anakuibia harafu uje ukae eti mjadiliane kuhusu Nini yule ni raisi kachaguliwa na wananchi kapewa Kisha leo aje akae na maharani's hii inawezekana

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 10 годин тому

      Zelensk wà Ukraine amekuwa na Mtazamo huo leo watu wanaisha, Taifa linamegwa. Mazungumzo kwa hali yoyote yataleta mwafaka. Viburi ni upumbavu sio hekima.

  • @piussogoye
    @piussogoye 10 годин тому

    yeye mbona hajawahi kukaa pamoja na waasi wanaomsumbua, huyu ni rafiki yake kagame na ndie aliyemuweka madarakan, hawez kua na jipya, kwa nin asiseme rwanda iache kuisapot m23, aseme at congo ikae na m23,, hapa ndipo wazungu walipotupiga kichwan, africa hatusaidiani,wanafanya wanachotaka wakijua kabisa, tumetawaliuwa na unafiki, em fikiri, yaliyofanyika kule libya, somalia, sudani, nchi zingine zinaangalia tu, angalia hiki kinafanyika congo, viongozi wapo to bize na vikao vya kikanda waka tsheked anaitaji msaada na ni rais mwenzao,, africa jaman ni lini tutakua na ule umoja wetu wazama..read more.....

  • @BritonNdishi-g6o
    @BritonNdishi-g6o День тому

    Mseveni adui wa tanzania anafadhiki uasi huku amijifanya mwema mafarao hao na maherode , mimi mtu akionea mtu naumia sana wanaua waafrika wenzako, kaka zako, baba,mama, jirani,na mambo kana hayo haikubaliki tukemee kwa maombi MUNNGU aingulie kati