Kwa ii tanzania baada yakufaliki mzee Maputo kabaki mfalume kingi kingwendu kigwendulile pekeyake uyumzee anaitwa fundi inginia wakomedi ao wenngine wanakopi
Kingwendu ushauzeeka rudi kwa mungu wako Kama hujapata hupati Tena umri ushaenda mzee ila ushauri wa bure Kama huna hela ntafute sio kuingiza sinema Kama hizi mzee ila sory Kama nimekukera %
King kinguendu bado uko juu brother .. tuko nawe mpaka mwisho Babu .
Wewe ndo humkubali, ila kingwendu ni star na katutoa mbali kwenye comedy, kumbuka hata wimbo wake mapepe mape
Nikwer kingwendu unavo tongoza ongea swager zako so umkandie mwezio
Hiii Kali hatari jamani kingwendu anaweza
Kwa ii tanzania baada yakufaliki mzee Maputo kabaki mfalume kingi kingwendu kigwendulile pekeyake uyumzee anaitwa fundi inginia wakomedi ao wenngine wanakopi
Maputo😂😂
Congratulations kingwendu
Ssa ww unamfananisha kingwendu na kicheche nikumkosea adabu kingwendu
True
Kingendu zilizopendwa😅
Kingwendu katafuta kiki kwa Jina la KICHECHE😅
Ni mimi mwana mziki ras edu napenda stori zako zote natamani ni kuje huko tz Niko kenya kumbuka ni mwana mziki ras edu 😂😂
uko sawa sana bro.nikiwa Kenya
Kicheche umepoa juu ya sifa zako habar ya mjin ni clam vevo 😂😂😂😂ufik sahii
Kingwendu apewe maua yake🎉🎉🎉🎉
Kingwendu mtan wang hauna hela ya kwenda salun izo ndev ka unakunywa maziwa mtindi😂😂😂😂
Mxhamba ww
😂😂😂 hawa wa zee wenye vitambi ni Noma sana😂😂😂
fisi zilikulana zenyewe🤣🤣🤣😂
Kicheche mbonatukukuona
Siri kubwa ya kukatia ni kochomea wengine ili wewe upewe nafasi
Aaaai hii ni ya kingwendu sio kicheche
kicheche achana na kingwendu ameishiwa huyo
Kingwendu ushauzeeka rudi kwa mungu wako Kama hujapata hupati Tena umri ushaenda mzee ila ushauri wa bure Kama huna hela ntafute sio kuingiza sinema Kama hizi mzee ila sory Kama nimekukera %
Kngwendu mshamba anataka awe km zaman ila mda umempta
Kwani wewe nijiwe autazeeka? Mbona mzee majuto ameenda kaburini akiwa anaigiza?Fata maisha yako
Asa uyo kicheche mbn mume andika tyu hayumo
Kingwendu uko matata saana. Mbavu zangu zinavunjika kwaku kucheka.
KINGWENDU ANAPENDA WANAWAKE SANA.
😂😂😂
😮😊😊
Kingwendu bado upoo juu baba tuko nawewe ata kicheche
Angalia Channel Rusakaza Tv
Acha ushamba kingwendu Ni mkongwe hap0 kicheche anasoma
Wewe ni master
Kak kua na adab hat kidog bac
Kingwendu king kwa sound nooma
Mimi nashanga mtu anaposema Kingwendu kazeeka aache kuigiza, kwani binadamu akizeeka na mahitaji ya kulea au kutunza familia yanazeeka?
Nimeipenda❤❤❤❤
Nini ngewendulile samahani panga ilo
Kingwendu.unawezaaaaa.sana.tu😅.unabaya.j.mwewe
Kingwendu unatisha😂😂😂
Kingwendu ungepelekewa moto😅😅😅😅
Aaaaaah swar jamaa😅😅😅mmeuwa😅
Kinguwendu mwenyewe🙏💯
uyo mtu mbaya xana anajua xio pw
Heshimu ofisi ya Kila mmoja,wako sawa.
Sahihi kuwashauri sio kuwavunja nao wana malengo makubwaty
Jambon wanduzangu iyi mov ni sawa
Hadi nimezimiya nacheko😂😂😂
Nimeikubali🎉
Simba 2pambane mungumkubwa 2jitambue manakunawa2 wanaumia kama2meipatahiyo nafas 2i2mievema
Oulala kingwendo ameisha kabisa siyo kama ule wazamani 😢
Ivo. Kweli hamna kitu au vp jaman mbojna yupp vvzrr kinge
Nice
Bonge la comedy safi
Huyo mzee kanenepa kama nguruwe 😂😂 halafu anarusharusha mikono kama mwanamke😂😂
Mm wananikera hawa kicheche na kingwendu video zao zote mambo ya kutongoza na uhuni uhuni hawana nyengine
Ila kwa kweliii ❤❤❤
Kali
Nakukubalii kingwendu
King we'd u hapsaw nimussa kutok songwe
Kingwendu babu,Bado unatrend tuko nawe had mwisho
Nakumbuka kwenye muvi yajenezalangu
kingwendu ❤❤🎉🎉🎉
Kicheche yukowapi mimi sijamuona
Oyaa kicheche ukipiga kollabo na huyo kingwendu unajishushia cv,hana moya huyoo
Haïseee
Kwani kama hungeweka kicheche hatungetazama weeee mweu nini😂😂
Unamsakama mwizi mpka anafaliki mwenyew😂😂😂😂 kingwedu baraaaaaa
Muzange
,............,..
Tomandjeli
Eti bwege huyo mpotezee
Apo umesema kaka
Weee😅😅😅😅😅😅
Jamaaa noma
Kingwendu mwamba
Gd
Uyu mze wa kingwendu ako sawa 😅😅
Kingwendu unanipunga sana
Kimeumana
Hem kuweni Kama clam
Wote ni wakali
Kwani kuigiza ni zambi
Yuko pow
😅😅😅duh
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😅
why lie?must you lie that Kicheche is among the actors only to waste my bundles?umezingua sana ila sawa.
Wazee!! Na hayo matumbo yenu jamenii!!
Mutego huo
😂😂😂😂😂🎉
😂😢😂🎉😂❤
Kingwendu utakufa😅😅😅😅
😢
😂
Ayo ndo maisha kushilikiana
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
Oyaa kicheche ukipiga kollabo na huyo kingwendu unajishushia cv,hana mpya huyoo
We kweli umenichekesha kweli kigwendu ana jipya na iyo bebi nangu
Respect legend
Angekuja kupiga na ww mwenye mpya ingependeza sana
Chakudharau watu kumakigege kigos ww
Fanya nae wew tukuone
Oyaa kicheche ukipiga kollabo na huyo kingwendu unajishushia cv,hana moya huyoo
Huyo kicheche Hana anachokijuw et yy ni Matus t
Usimfananishe kingwendu Na vtu vya ajabu huyo n legend anaeshma yake kwenye tasinia ya comedy
kingwendu ni star mkubwa,kicheche ni mtoto
Kama hauna comment na uache kunia hapa
@@djshaggyofficial-lt2xq kwenda kunguru ww