Mwigulu ivi uyu jmaa anajionaj kwanza anadhan tunaomsikiliza hatuelewi Sana kuhusu uchumi au akili zetu kashika yye uyu jmaa mbona ka nchi yake vile yaan katiba mpya inahitajika Sana Tena mno
Amna tumepigwa me binafsi sikukubali hata kidogo,kwan hii nch haina rasilimali, ndomaana ww cy mchumi nimwanasheria ,uwez kuongea kitu Kama icho, mwananch lazima apewe kipao mbele na sii mwekezaji
Katoa, katoa, hizo ni pesa zake? Hizo ni pesa zet yeye Hana hata sent Tano hapo maana maisha yake yote ni bule, kula, kulala, kusafir, ulinz, kuvaa, posho ,kunya, na ikitokea amekufa msiba wake nao tunaugharamia wananchi.. so mwigulu acha kusema tumushukur mbona unakuwa kama hunazo
Mnaweza mkaona umuhimu wa katiba mpya hapa, pamoja na vilio vyote vya wananchi kuhusu kupanda kwa gharama za maisha, Mwigulu amekaza shingo kumtia moyo Rais, ina maanisha hana mpango kuwasikiliza wananchi kwa lolote , kwani Rais amekata tamaa kwa lipi...? Si ni wananchi ndio waliokata tamaa ??
Serikali takataka kabisa hii inaongozwa na genge la majambazi,Mawaziri vilaza vilaza kama haya unayawekaje kwenye sector nyeti kama hii, kama siyo maelekezo ni nini?
Hao wanafunzi si dharura. Takwimu za shule zipo. Mnafahamu ni wanafunzi wangapi watamaliza shule.
Mwigulu ivi uyu jmaa anajionaj kwanza anadhan tunaomsikiliza hatuelewi Sana kuhusu uchumi au akili zetu kashika yye uyu jmaa mbona ka nchi yake vile yaan katiba mpya inahitajika Sana Tena mno
Sijui tutaendelea mpaka lini kupongeza pongeza wanadamu yaani kuna unafiki mkubwa sana ndani yake
Mkuu lengo lenu liwe kutowakatisha tamaa wananchi, sio Rais... Mbona uchawaaaaa, kwani nchi hii ni ya Rais au wananchi ?? Ovyo sana
Huyu ndyo anaharibu nchi
Amna tumepigwa me binafsi sikukubali hata kidogo,kwan hii nch haina rasilimali, ndomaana ww cy mchumi nimwanasheria ,uwez kuongea kitu Kama icho, mwananch lazima apewe kipao mbele na sii mwekezaji
Bilioni 160 madarasa mangapi,,
Kasema8000
Mwigulu tushakuchoka huna jipya
Katoa, katoa, hizo ni pesa zake? Hizo ni pesa zet yeye Hana hata sent Tano hapo maana maisha yake yote ni bule, kula, kulala, kusafir, ulinz, kuvaa, posho ,kunya, na ikitokea amekufa msiba wake nao tunaugharamia wananchi.. so mwigulu acha kusema tumushukur mbona unakuwa kama hunazo
Daaaa Hiki nacho ni kichwa
" that's how you broke a vicious circle "
Kila wakati anajifichia kwa raisi duhh
Baadhi ya wabunge siwaelewagi! Wao ni makofi mda wote.. Sasa me sielewi wako mrengo upi..
Wewe mwigulu unatuweka tuwe masikini ilimututawale kwa manynyaso
Huyu mwenyekiti kimeo
"Dependency theory of development"
Mnaweza mkaona umuhimu wa katiba mpya hapa, pamoja na vilio vyote vya wananchi kuhusu kupanda kwa gharama za maisha, Mwigulu amekaza shingo kumtia moyo Rais, ina maanisha hana mpango kuwasikiliza wananchi kwa lolote , kwani Rais amekata tamaa kwa lipi...? Si ni wananchi ndio waliokata tamaa ??
tusijifiche kwa raisi
Katiba mpya inahitajika kabisa, kwa hali hii!!!!!!!??.
Ambacho kipengele gani katika hy katiba mpya itatutoa ktk umaskini sisi vijana
@@mohamedsaid2882 husikii kinachoongelewa kuhusu uwazi wa matumizi ya rasilimali fedha za umma. We unaona pako sawa hapo.
Hiii timu ya Jk itaiangamiza hii inchi mawaziri vilaza kama hawa hawakutakiwa
Serikali takataka kabisa hii inaongozwa na genge la majambazi,Mawaziri vilaza vilaza kama haya unayawekaje kwenye sector nyeti kama hii, kama siyo maelekezo ni nini?
Lichawa Likubwa wewe.