JAMADA ALLAH ALIKUWA WAPI KABLA YA KUUMBA SEHEMU ? UST MOHAMED MZEE ASSUWFIYY

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 142

  • @HassanJamada-pf4jt
    @HassanJamada-pf4jt Місяць тому

    Alhamdulillahi msitu wa vibwengo tumeuchoma moto .
    Ninapenda sana kusikiliza hii video ya Ayubu kibwengo namna alivyokuwa akijifaragua leo kakimbia hadi viatu kavisahau hahahaha alhamdulillahi

  • @JuchonlineTV
    @JuchonlineTV 2 місяці тому

    Maashaallahi Wallahi umetusuuza nyoyo zetu sana

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 2 місяці тому

      Boc wangu soma wewe uambiwe الله موجود بلا مكان ولا نهاي hivi unajua mitandao kila mwenye Lake anasema 2 ila mim naona wenye mcmamo huu ni kutumia akili kwenda mbele na kucngizia wana wa chuoni

    • @FaridaSalumu-d2t
      @FaridaSalumu-d2t 2 місяці тому

      Namhurumia huyu kijana aliyeingia mabanoni na silaha butu zisizo na ncha Kali halafu akaizirusha zote kwa wakati mmoja , Sasa hakuna lililobakia kwake ila fedheha na majuto Kwa nini alijiingiza kwenye mapambano haya na silaha zote ashazimaliza na chumba Cha mapambano kishatiwa kufuli hakuna kutoka , Kila akikimbia ajikungwaa kwenye ukuta walillahilhamdu ,
      Na hiyo ndio dawa ya makhurafi wanaojaribu kuwachezea ahlussunna
      Sas wajificha kwa watu mpk waswalia chumbani kwa mkeo , msikiti wako mchungu na Bado

  • @abuuruwaydatvTz
    @abuuruwaydatvTz 2 місяці тому +1

    KASIKILIZE NONDO ULIZO PIGWA HUMU WEWE MZEE KIJANA
    ua-cam.com/video/EntPj3Psqhg/v-deo.htmlsi=WI5nf3EW8EusoOCG

  • @asrams
    @asrams 2 місяці тому

    Inalilah wainailayhi rajiun

  • @LichimbaAlly
    @LichimbaAlly 2 місяці тому

    Allah akuongoze maana hujitambua hata chembe

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c 2 місяці тому +2

    Soma kwanza ndugu yangu ucfanye haraka katika mambo kukufurisha watu ndugu yangu ucjikweze ALLAH ndie amjuae mcha mungu wala c wewe

    • @JuchonlineTV
      @JuchonlineTV 2 місяці тому

      WEWE USHASOMA KAMA UMESOMA WEEE PANDA MIMBAR KAMA MWENZIO

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 2 місяці тому +1

      Boc wangu mim hua c m2 wa kubishana ila dalili zinaonesha kua ALLAH yuko juu na cvyenginevyo ALLAH hajadiliwi kwa akili kwa kusema eti kabla ya kuumba alikuwepo wapi hili ni suala la kitoto

    • @shilingi-Ahmadi
      @shilingi-Ahmadi 2 місяці тому

      @@OmarSalum-y9c
      محليا أو حاليا؟

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 2 місяці тому

      Ndio nini sasa ama unakusudia nini boc wangu

    • @HamzaMakobanice
      @HamzaMakobanice 2 місяці тому

      ​@@OmarSalum-y9cnikweli kabisa hayo nimawazo ya shetani ata mimi huwa yana nitokea mawazo kama hayo ila nakumbuka kumlani shetwani yanaisha nakuomb istighifar kwa wing

  • @makameally1962
    @makameally1962 2 місяці тому

    وأشهد أن من ساواك بشيء من خلقك فقد أخذ مثلك، ومن سابك بك فهو كافر، على ما جاء في محكم آياتك، وبينته الآيات. حججك الواضحة. (وأشهد أيضًا) أنك أنت الإله الذي لا يمكن تقييده في (سلاسل) العقل لقبول تغيير الوضع بالدخول في أفكاره ولا في أغلال العقل لوضع حدود وتغيير شيء.
    Nasimama shahidi kwamba aliye kukusawazisha na chochote katika viumbe vyako amechukua sawa na Wewe, na anaye kufananisha na Wewe ni kafiri, kwa mujibu wa yale yaliyo bainishwa katika Aya zako zisizo na utata na zilizo bainishwa kwa dalili za hoja zako zilizo wazi. (Pia nashuhudia kwamba) Wewe ndiye Mwenyezi Mungu ambaye huwezi kufungwa katika (minyororo ya) akili ili ukubali mabadiliko ya hali kwa kuingia katika fikra zake wala katika pingu za akili ili uweke mipaka na kitu cha kubadilishwa.

  • @abuumansoor
    @abuumansoor 2 місяці тому +1

    Amekuzidi hadi Firauni ..Anajua Allah yuko Juu

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 2 місяці тому

      Hayo ni maneno ya kufru unayosema ati firauni ajua Allah Yuko juu kabla yakuumba juu Allah alikuwa wapi

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 12 днів тому

      ​kufru kivipi

  • @zaharanituwano6615
    @zaharanituwano6615 2 місяці тому +1

    Watu kma hawa waachie Bwana Abuu Ruduud. Yeye ndie kiboko Cha Majahili kma hwa wanastahik Taaliiqat 2..

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 2 місяці тому

      C abuu ruduud unatakiwa na wewe ujue

  • @shilingi-Ahmadi
    @shilingi-Ahmadi 2 місяці тому +1

    يوم نطوي السماء كطي السجل للكتب كما بدأنا أول خلق نعيده
    Hii siku atakua wapi?

    • @khatwabhamid9398
      @khatwabhamid9398 2 місяці тому +1

      Atakuwa anapojua yeye hilo Allah kuna mengi Allah hajatuambia kuhusu yeye tosheka na yale aliyoyaeleza ndani kisha fuata na uitakidi hayo mengine usijiulize sbb huwezi kuyadiriki kwa akili huu ndo msimami sahihi wa wema waliotangulia
      ولا تقف ما ليس لك به علم

    • @fikratulmuhibbonlinetvismail
      @fikratulmuhibbonlinetvismail 2 місяці тому

      هههههه😂

  • @zuberimussa5508
    @zuberimussa5508 2 місяці тому +3

    Akili salama inajua Allaah yuko juu , mwenye akili salama akiomba dua anyosha mikono juu, akisujudu anasema سبحان ربي الأعلى ، anajua siku zote ukamilifu ni kua juu, akili mbovu niile inayo mleta Allaah kila sehem, kumjalia Allaah nidhaifu hawezi kusikia kuona kujua hadi achanganyike na viumbe,

    • @IBRAHABDY
      @IBRAHABDY 2 місяці тому

      Ss kama Allah hupo juu itakua anategemea kiumbe chake na mbona hadithi imekuja sehemu ambayo uko karibu na Allah ni wakati unasujudu ss unaweza kusema yuko chini nijibu

    • @shilingi-Ahmadi
      @shilingi-Ahmadi 2 місяці тому

      @@zuberimussa5508
      محليا أو حاليا

    • @ShabaniRashidi-d2v
      @ShabaniRashidi-d2v 2 місяці тому

      Ktk elimu Allah amewapa binadamu elimu ndogosana,kuna vitu Allah ajawafunulia binadamu ili wavijue sio kila kitu tukijue ,ardhi na mbingu ziligandana,ALLAH akaziachanisha,na ALLAH aliumba mbingu na ardhi sasa swali,kabla ajaumba mbingu na ardhi alikuwa anakaa wapi?idhasamaau nshaqati,siku mbingu zitakapopasukapasuka,swali mbingu zikipasuka kama ALLAH yupo mbinguni ?Mtume .S.A.W amesema aliuona ubawa wa jibril umefunika uwingu wote !na jibri Ana mbawa 600 sasa kama ALLAH anakaa juu atatosha?

    • @ShabaniRashidi-d2v
      @ShabaniRashidi-d2v 2 місяці тому

      Ktk elimu Allah amewapa binadamu elimu ndogosana,sio kila kitu tukijue,vingine ameficha tusijue,mbingu na ardhi ziligandana ALLAH akaziachanisha,,ALLAH aliumba mbingu na ardhi sasa swali kabla ajaumba mbingu na ardhi alikuwa anakaa wapi? Idhasamaau nshaqati,siku mbingu zitakapopasukapasuka,,sasa mbingu zikipasuka kama ALLAH yupo juu?mtume anasema Aliuona ubawa wa jibril umefunika uwingu wote,,na jibri Ana mbawa 600 sasa kama ALLAH anakaa juu atatosha? Jibu ALLAH yupo sehemu ambayo yupo kabla ajaumba mbingu na ardhi,,atutakiwi kujua utakuja kukufru

    • @HassaniMzeeassuufiyy
      @HassaniMzeeassuufiyy 2 місяці тому

      Hapo hapo hadithi IPO inasema Allah yuchin ya ardhi ya mwisho je VIPI mtume aliisahau aarshi ama laa??

  • @HassanJamada-pf4jt
    @HassanJamada-pf4jt 2 місяці тому

    ua-cam.com/users/liveQWdcfd0Ig-E?feature=shared
    NA HAYA NDIO MAJIBU YETU NO 1.B
    HALAFU MUANGALIE JE KASHAZIJIBU HOJA TULIZOMPA ,
    NA INSHAALLAH TUNAKUSUDIA KUZIYEYUSHA SHUBHA ZAKE HIZI ANAZOZITOA BAADA YA MAJIBU YETU HAYA

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 2 місяці тому

      Kwa hiyo una majibu namba 2 3 na 4 badala ya kusoma maana hapa naona umetumia akili hebu jambo la ALLAH tumia dalili uckurupuke tizama suratul HAJJ aya ya 8 mimi naona tabu kuona jambo kubwa kama hili kua wa2 wanatumia akili 2

  • @zuberimussa5508
    @zuberimussa5508 3 дні тому

    Ndugu yangu Nikuhusie wewe Akida bado hujailewa, ukikataa Allaah hayuko juu maanayake 1 -unakataa qur -an haijateremshwa kutoka kwa Allah نزل به الروح الأمين +تنزيل من رب العالمين kwa ufahamu wako kinacho shuka huwa kinatoka chini? 2 -حديث الله كتب كتاب فهو عنده فوق العرش ،صحيح مسلم ukiwa hujui lugha fundishwa عند ni ظرف مكان maana yake kitabu kiko kwa ALLAAH JUU YA GHARSH 3-تعرج الملائكة والروح إليه hujui maana ya تعرج nikupaa au kupanda kuelekea juu, inawezekana hujui hata miraaji wanayo iadhimisha masufi kila mwaka,PIA HUJUI maana ya neno إليه kwenye Aya MCHE ALLAAH USITUMIE AKILI YAKO KATIKA SIFA ZA ALLAAH NA MAJINA YA KE WALIYAELEWA MASWAHABA KABLA YAKO.

  • @LichimbaAlly
    @LichimbaAlly 2 місяці тому

    Allah akuongoze maana hujitambua hata chemb

    • @HassaniMzeeassuufiyy
      @HassaniMzeeassuufiyy 2 місяці тому

      Amuongoze mara ngapi Tena ?
      Sema Allah azidi kumuimarisha mahala hapa palipo sawa

    • @HassaniMzeeassuufiyy
      @HassaniMzeeassuufiyy 2 місяці тому

      Kama unaona hajitambua nizipi hoja zako zakupinga juu ya hili ??? Nasubir hoja.....

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 12 днів тому

      Mh mzee soma kidogo tu ucsome sana utafahamu huyu katumia akili tupu kumjadili ALLAH soma suratul hajj aya ya 7 kwa faida

  • @HassanJamada-pf4jt
    @HassanJamada-pf4jt Місяць тому

    SASAHIVI UMEBAKI NA KUTAHAYARI NDANI YA MJI WAKO HUOHUO ULIOKUWA UNAJIFAKHARISHA NAO KUWA NI MZAWA , HAYA UWENYEJI UKO WAPI SASA

  • @sheikhyusufdiwan2489
    @sheikhyusufdiwan2489 2 місяці тому +1

    Mujarrab Ahsante sana Maashaallah

    • @jumanneissa8226
      @jumanneissa8226 2 місяці тому

      abuu jahal na masih dajar wakisapotiana ktk upumbavu 😂😂😂

    • @SaidSeif-d4y
      @SaidSeif-d4y 2 місяці тому

      ​@@jumanneissa8226wewe ni kibwekeo chenye kubweka 😮😮😮😮 .

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 2 місяці тому

      Wewe ndo mbwa kabisaaa

    • @mohammedykijazi1060
      @mohammedykijazi1060 2 місяці тому

      Wendawazimu wengi

    • @hassanmzandy1421
      @hassanmzandy1421 2 місяці тому

      Yusuf diwan kwadalili gan unasapot ujinga?

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c 2 місяці тому

    Kwani ukisema ALLAH yuko juu umemfananisha na nini kwani nyinyi hamujui kama ALLAH ana sifa nyingi za kibinadamu kama anaskia, anaona,mfalme,ana nguvu yuko juu au hamujawahi kuckia hilo mimi nasema dini c ushabiki na wala jambo la ALLAH halijadiliwi kwa akili soma suratul hajj aya ya 7 na umejuaje baada ya kuumba yuko pale pale umejuaje au umeona wapi

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 2 місяці тому

      Ukitia kama ndio umefananisha na wala c kusema yuko juu
      Mfano
      Ukisema ALLAH ana nguvu hamna tatizo
      Ukisema ana nguvu kama jini ushakufuru
      Ukisema yuko juu c kosa
      Ukisema yuko juu kama malaika ushakufuru
      Kwa huo mcmamo wako itabidi ukatae cfa zote za ALLAH c ya kua yuko juu tu

  • @naasibabuu
    @naasibabuu 2 місяці тому +1

    vichaa mmekuwa wengi Sana mitandaoni

  • @abuumansoor
    @abuumansoor 2 місяці тому +1

    BANGI MBAYA ....

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 2 місяці тому

      Teh teh

    • @HassaniMzeeassuufiyy
      @HassaniMzeeassuufiyy 2 місяці тому

      Nikwel bangi mbaya kama unadai nibangi sawa lakin bangi hiyo haimtoi mtu ktk uislamu ila wewe unaempa Allah ukazi wa juu sio muislamu nikafir ten mkubwa

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 2 місяці тому

      Kivipi na umemfananisha na nani kwani unajua maana ya maneno haya wewe
      1 tashbiha
      2 tash hisi
      3 sitiari
      Hebu nifahamishe na unipe mfano wa kila 1 halafu uniambie mtu akisema ALLAH yuko juu amekufuru

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 2 місяці тому

      Atakua amekufuru kivipi mimi nimekuuliza kwa kiswahili ili tufahamiane

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 12 днів тому

      Kapewa makazi kivip ndugu yangu mbona unazungumza habari kama c msomi

  • @mwambashiiddi9295
    @mwambashiiddi9295 2 місяці тому +2

    Miongoni masalafi waliotangulia waliosema Allah yuko juu ni huyu Tena mshaafii
    قال سعد بن علي الزنجاني الشافعي (ت. 471 هـ) في شرح قصيدته في السنة: (ولكنه مستو بذاته على عرشه بلا كيف كما أخبر عن نفسه، وقد أجمع المسلمون على أن الله هو العلي الأعلى، ونطق بذلك القرآن بقوله تعالى: {سَبِّحِ اسْمَ رَبِّكَ الْأَعْلَى} [الأعلى : 1]، وأن لله علو الغلبة والعلو الأعلى من سائر وجوه العلو لأن العلو صفة مدح عند كل عاقل، فثبت بذلك أن لله علو الذات، وعلو الصفات، وعلو القهر والغلبة.) (12)

    • @HassaniMzeeassuufiyy
      @HassaniMzeeassuufiyy 2 місяці тому +1

      Mrongo wewe😂😂😂 nakama yapo maneno hayo mpe jamada Ili yamsaidie kujinasua

    • @JuchonlineTV
      @JuchonlineTV 2 місяці тому

      Hayapo maneno hayo hujaelewa njoo usomeshwe

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 2 місяці тому

      Hayapo kivipi ndugu yangu kwani icho kitabu wewe umekisoma

  • @iddirashidi133
    @iddirashidi133 2 місяці тому +1

    Nafikiri ust. Jamada achana na huyu mpiga porojo!!
    Ni dhahiri Kwamba Ayoub anatafuta kiki na umaarufu.

    • @JuchonlineTV
      @JuchonlineTV 2 місяці тому

      Wacha ushabiki wewe kwani huyu azungumza yeye ama anatumia wanawachuoni

    • @أبوعبداللهآدم-د3ج
      @أبوعبداللهآدم-د3ج 2 місяці тому

      Ndio huyu ni wakuachana nae

    • @أبوعبداللهآدم-د3ج
      @أبوعبداللهآدم-د3ج 2 місяці тому

      Hamna kitu hapa
      Kaa kitako usome kwanza
      العلم بالتعلم

    • @HassanJamada-pf4jt
      @HassanJamada-pf4jt 2 місяці тому

      Mimi nikimjibu huyu nawakusudia makhurafi wote wenye mrengo kama yeye , lkn yeye kama yeye .....

    • @JuchonlineTV
      @JuchonlineTV 2 місяці тому

      @@HassanJamada-pf4jt VIPI UKIANGALIA HAPO SHEIOH ANAETUMIA WANAWAZUONI NA ANAETUMIA KICHWA NANI ANAJIBU KWA ELIMU?

  • @HajiHija-od2db
    @HajiHija-od2db 2 місяці тому

    Uyu atakiwa kujibiwa na mikarrara ya mutawassitwa , bado sanaaaaa.

  • @rushu1232
    @rushu1232 2 місяці тому

    Sawa sawa hawa wanajidai masalafi ni mawahabi tu hivyo ndivyo utawaweza hawataki upole kabisa.

  • @salumhamed5074
    @salumhamed5074 2 місяці тому

    Umepinda

  • @KhalfanSaleh-e7l
    @KhalfanSaleh-e7l 2 місяці тому

    Kwanza sio mwenyezi mungu ni Allah la pili izo ndevu viache ziote wewe sio mwanamke usizipunguze punguze kama bustani za makumbusho.

  • @UsamaDzumbe
    @UsamaDzumbe 2 місяці тому

    Bba kauze supu utie nguvu lkn mmbo na elimu waharibu

  • @Santana-vu1dn
    @Santana-vu1dn 2 місяці тому

    Khawaraj ww

  • @mohammedykijazi1060
    @mohammedykijazi1060 2 місяці тому +1

    Qaida au aqiida!?

    • @wazirihamisi6484
      @wazirihamisi6484 2 місяці тому

      Mweupe tu ww alafu anakufurisha subhanallah

  • @AbuwNibras926
    @AbuwNibras926 2 місяці тому

    Usitegemee Sheikh atakujibuu sheikh awezi kukujibu ww kikojozi masheikh zako wakina Samir, Muhamady Iddy mpaka leo awezi kujibu oja

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw 2 місяці тому

      Samir sadiki yaani apoteze muda kwa mwanafunzi wake qasim mafuta

  • @YakubuMursal
    @YakubuMursal 2 місяці тому

    Pia imamu Shafi anasema anae dai kua mungu yupo kwenye arshi Huyo ni kafiri

    • @shilingi-Ahmadi
      @shilingi-Ahmadi 2 місяці тому

      Hiyo qauli iko wapi

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 2 місяці тому

      Kitabu gani cha imam shafi na mlango gani hii ni dini ndugu yangu ucmcngizie imamu bora kukaa kimya

    • @shilingi-Ahmadi
      @shilingi-Ahmadi 2 місяці тому

      @@OmarSalum-y9c
      Hawezi kujibu

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c 2 місяці тому

    Soma kwanza ndugu yangu na naomba utoe katika ushahid wa imam shafy ila nakuuliza ndugu yangu umesoma kitabu cha imam shafi cha alrisala hebu tumia muda kidogo halafu utaona kama hata imamu shafi kwa mcmamo wako huu hutasema kafir

  • @myonlineteacheracademy8207
    @myonlineteacheracademy8207 2 місяці тому

    Huyu jamaa huenda hata skuli ua secular ilimshinda

    • @HassaniMzeeassuufiyy
      @HassaniMzeeassuufiyy 2 місяці тому

      Shule so hoja kaka weka adilla

    • @HassaniMzeeassuufiyy
      @HassaniMzeeassuufiyy 2 місяці тому

      Sawa wew umeenda shule haya leta hayo shule tuelewe basi

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 2 місяці тому

      Ndio shule muhimu ukipita shule utajua maana ya tashbiha,tash hic na sitiari na mifano yake hutapata tabu hata kidogo hiwezi kumkufurisha mtu kwa swali la kitoto kama hili ALLAH hujadiliwa kwa elimu soma suratul hajj aya ya 7

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 2 місяці тому

      ALLAH yuko juu na hili liko wazi na ukisema yuko juu hujakufuru toa dalili kua umekufuru

  • @AbuwNibras926
    @AbuwNibras926 2 місяці тому

    Ukiangalia utazani kunawatu wengi yupo na vitoto viwili

    • @HassaniMzeeassuufiyy
      @HassaniMzeeassuufiyy 2 місяці тому

      Akili zilizo feli na husda ni hizi .. hata awe mmoja shida kubwa ni kuongoka .. na wallah nimegundua Mawahabi ni makafiri ... Alhamdulillah Ustadh wetu Mohamed Mzee Anazidi kutuelimisha kuhusu ukafiri wenu waja wa laana nyinyi

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 2 місяці тому

      Kwa hiyo huyu kaongoka umezickiliza lakini izo hoja

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 2 місяці тому

      Dini c kutumia akili sayyidna Ali anasema ingekua dini kutumia akili ningeona kuosha hufu chini ni bora bulughu al marami mlango wa udhu hadithi ya 3

  • @suleimancheo2776
    @suleimancheo2776 2 місяці тому

    Hadi watoto wako wadog wamekuzid akili!!! Kweli ww ni mwehu haswaa

  • @hassanmzandy1421
    @hassanmzandy1421 2 місяці тому

    Kichaa huyu kaokotwa wapi

  • @ahmedrage9664
    @ahmedrage9664 2 місяці тому

    Wewe ni pimbi sanaaa, mm mwenyewe nikiwa mdogo najua allah yuko juu, mpka sahi, yani bora ungefanya jambo la maana kuliko kupoteza time hapa fala wewe

  • @MahadBedui
    @MahadBedui 2 місяці тому

    Mwmbaa hizoo ndio hojaa

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 2 місяці тому

      Hoja zipi za kutumia akili soma suratul hajj aya ya 7

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl 2 місяці тому

    Hili porojo tupu kwa masufi

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c 2 місяці тому

    Wewe ucmfuate hata m1 tafuta watu walokua kama wewe tu ila mimi hata uswalishe wewe unaejiona uko sahihi na mcmamo wako nakufuata

  • @abuumundhir1858
    @abuumundhir1858 2 місяці тому

    kwahiyo wewe Ayubu unawaona hao wahabi ni makafiri?maana unasema swala yako nyuma yao ni batili,duu kumbe unawakufurisha masalafi?!!!!

  • @abduwahabi7019
    @abduwahabi7019 2 місяці тому

    Huyu nichiji kweli kweli

    • @shawwalmsati3405
      @shawwalmsati3405 2 місяці тому

      Jibuni hoja acheni matusi

    • @shawwalmsati3405
      @shawwalmsati3405 2 місяці тому

      Anaewatetea mawahabi atakuwa bado hajawajua

    • @HassaniMzeeassuufiyy
      @HassaniMzeeassuufiyy 2 місяці тому

      Unaenda kiushabik Bora utazame tu hay twaelewa kuwa we upo sawa tupe ushahidi wasawa

    • @JuchonlineTV
      @JuchonlineTV 2 місяці тому

      Chizi ni wewe unaemfananiza mungu na kiumbe

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 2 місяці тому

      ​kafanishwa vipi ndugu yangu ALLAH anasifa nyingi za binadamu ana nguvu,anaona,mfalme,yuko juu hivi tatizo lako nini ukafiri ni kutia neno kama ndio utakua umemfananisha na c vyenginevyo kwani wewe skuli hujasoma kwenye kiswahili tashbiha na tash hisi ama vipi unajua unanishangaza sana yaani kwa kusema ALLAH yuko juu ndio ushafanya tashbiha mh

  • @jumanneissa8226
    @jumanneissa8226 2 місяці тому

    ustadh jamada nafir unabushana na mwenda wazimu huyu hata akili yake sidhani kama ziko salama kwanza huyu sio shekh bali mtu wa pilau hiv radd elimu ipo wapi hapa hivyo tu

    • @SaidSeif-d4y
      @SaidSeif-d4y 2 місяці тому

      Umesahau ni shehe JANABA 😅😅😅😅. KAAFIR la kiwahabi.

    • @jumanneissa8226
      @jumanneissa8226 2 місяці тому

      @@SaidSeif-d4y wengi watoto wa zinaa ndo walivyo tabia zao hakuna jipyaa 🤣🤣🤣

    • @HassaniMzeeassuufiyy
      @HassaniMzeeassuufiyy 2 місяці тому

      Nini mlokole tulia let maneno yenye ushaidi Kwan padri waknisa gan wew

    • @SaidSeif-d4y
      @SaidSeif-d4y 2 місяці тому

      @@jumanneissa8226 huyu hapa mwana wa haramu,,, lazima mumteteee JANABA 🤧🤧

    • @jumanneissa8226
      @jumanneissa8226 2 місяці тому

      @@SaidSeif-d4y ibrisi nae analingania Dini jinalako tu masihi dajal akasome huenda pia hata janaba kweli toka uziwe hujui kulioga 🗝️🤣🤣

  • @Santana-vu1dn
    @Santana-vu1dn 2 місяці тому

    Ww ni khawarij

  • @salumhamed5074
    @salumhamed5074 2 місяці тому

    Unakurupaka wewe

  • @LichimbaAlly
    @LichimbaAlly 2 місяці тому

    Allah akuongoze maana hujitambua hata chembe

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 2 місяці тому

      Wewe ndio hujitambui nenda ukasome acha kurupukarupuka unampa Allah sehemu inalillahi wainnailaihi rajun ni msiba jee na ile hadithi ya mtume iliyoko katika sahih al bukhari isemayo mwenye ezi mungu alikuwapo na hakukuwa na kitu chochote Leo wewe unampa Allah sehemu jamanini hii SI kufru