MUNGU NI MWEMA. By. N.Z Blackman, Kwaya ya Mt. Antonini - Molla, Moshi (Official Video)
Вставка
- Опубліковано 13 гру 2024
- Karibu kutazama wimbo unao tukumbusha wema wa Mungu kila siku na kilaiitwapo leo. Hakika Mungu ni Mwema.
Audio & Video By: GFM Production
Organist: Eligy Tenges
Sound Engieer: Maximillian Mashamba
Video Director: John Nestory
Ass. Video Director: Patrick Mndeme
#kwayakatoliki #Mungunimwema #thanks #gospelmusic #catholicsongs #catholicchurch #vatican #godisgood #Jimbokatolikimoshi #kilimanjaro #MoshionlineTv #Barazalamaaskofu
Mungu kweli ni mwema
Mko vizuri hongereni
Hongereni sana
Mungu ni Mwema🥰🥳🥳🥳👌
Asanteni tumebarikiwa 🎉🎉🎉
Hongereni sana kwa utumishi huu, team Mjohoroni😅
Hongereni sana kwa uimbaji mtulivuuuu👋👋
Mola my home church mmetisha sana tena sana sio sauti sio video sio mavazi 🔥🔥🔥
Daaaa AMINA MUNGU awabariki mnoo
Mungu ni mwema siku zote
Kaz nzur mno🎉🎉🎉🎉
Kakitu katamu hatarii ❤
Hongeea sana wadogozangu Deodatus na Patrick pamoja na waimbaji wote hakika minebarikiwa sana na uimbaji wenu mungu awabariki sana kuimba ni kusali mara mbili barikiweni sana.
Hongereni sana kwa uimbaji mzuri. Bwana awabariki na kuwalinda.
Hongeren sana wote, hingera bro Patrick endelea kumtumikia Mungu
Waoooooh kazi nzuri sanaaaààaaaaaaaa
Ahsee mmefanya vyema sana....Mbarikiwe hadi mshangae
Hakika Mungu mwema sana🙏🙏🙏
Wauw u did it mah family December ifkeeee jmn tuwe pamoja😉😉😉
Hongera sana 🥰🌹🌹🌹🌹
duuu!! umeniburuzia kinanda hadi raha, hongereni sana
Barikiwa sana sana wana kwaya nyie n tunda la kanisa... Barikiwa aseee.....
Kazi nzuri sanaaaa🎉
Kweli, MUNGU ni Mwema.
Kwa kweli Mungu ni mwema😅😅😅😅😅
Raha ya milele umpe Ee Bwana Na Mwanga umwangazie Apumzike kwa amani Amina.
Amina😭😭😭😭
❤hongeni sana mungu awabariki❤❤❤❤
Congratulations on🎉
Wimbo mzuri sana tumebalikiwa
Good job, Congrats
Mzee wa kazi Elligy Tenges💫💫
Rest in peace Mwl. Blackman Zacharia
Mungu ni mwema🙏 Hongereni sanaa❤❤👏
Hii nyimbo inanibariki sana
I was blessed today morning on radio waumini ❤❤❤ God bless you for making my day
que maravilla! asante sana
Lovely ❤❤❤
🔥🔥🔥❤❤❤
Aisee mbona hii kitu mmeiketisha sana,,,big up sana kwaya ,studios, na Eligy Tengez kama hutaki vile safiiiiii mnooooo
many thanks
❤️❤️❤️❤️
I like the song ....congrats right from Nairobi ...❤
Kazi nzuri. Mungu aendelee kumjalia pumziko la milele, ndugu yetu na mtumishi wake, N.Z.Blackman.
Amina mkuu mzidi kumuombea baba yangu pumziko la milele na siku moja tutafufuliwa pamoja nae aminaa 😢
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥰
My CHOIR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wooow ❤
🫣
@@mashambamaximiliankapesa4266 nini wewe
Incredible song and hongera kwa waimbaji mmeimba vizuri mno❤️
Mungu ni mwema🙏🏽
🔥🔥
This has beeeeen on non-stop repeat to🎉😊❤ date!
💯💯💯💯💯💯
❤
Jamani mtuimbie ule wimbo wa siku moja zakayo alimwambia Yesu bwana sikiliza mimi NITAWAPA masikini nusu ya mali yangu yote
What a song🔥🔥 hongereni saana wanakwaya hakika mmeitendea haki hii nyimbo,, pia bro wangu tengesi hujawahi kuniangusha👏👏keep it up master.
Amen
Lovely
🔥
Kweli wema wa mungu hauna mipaka
Always God is good
Mungu ni mwema kwa wote
Nice song 🎉
Rest in peace ......mtunzi wa wimbo huu mwalimu Blackman Zacharia.....😢
Amina tuzidi kutuombea apumzike kwa amani 😭
❤❤❤❤
❤
❤❤❤❤