Assalam alykum naomba sheikh zungumzia madhambi kumi yatakayoingiza wanawake motoni na jinsi gani tu naweza kubadilika. Napwndekeza mada hio kwasababu wengi wetu tuko wazembe hatujui wajibu wetu ktk kujiweka km wanawake wa kiislamu na kulea watoto wetu
Ester kalama angalia uislam usiwaangalie waislam karibu katika dini ya hakki Alla akupe nguvu uweze kuitetea dini yako nakuomba usiingie ktk mizozo na malumbano yakidini
its good to take some good understanding of the holy quran and correct teaching of the prophet salallahu alaihi wasalam if we are really love islam and to gain mercy from allah. inshaallah.
Manshaallah
Sheikh yusuphu
Abdi
MWENYEZI MUNGU
Akulinde
Masha Allah
Allah akuhifadhi Yaa sheykh na akulinde adui zako umma unatoka usingizini kupitia khutba zako Alla atuwafikishe tuweze kusimamia majukumu yetu
Jazak Allah akher
Nakupenda
Kwaajili yaalaah
Subhannallah Allah akupe umri mrefu wenye manufa in shaa allah
Allah Akbar! tujaliye ya Allah tuweze kubadilika
Mwenyezi Mungu amlinde sheikh wetu azidi kutupa mafunzo jazak ALLAH KHEIR
Shukrani kwa kutuelimisha
ALLAH Atujaalie Tubadilike ...kweli kabisa maneno yako ...Allah akujazi kila la kheri
nimeipenda sana ile hutuba yake ya ujubu
MashaAllah Allah akulipe kila kheriy na umriy mrefu.
INSHALLAH M/ mwenyezimugu atufanyie waepesi
mwarobaini kp
M.muungu akuzidishie kheri
جزاك الله خيرا
Masha Allah sheikh Yusuf abdi
Assalam alykum naomba sheikh zungumzia madhambi kumi yatakayoingiza wanawake motoni na jinsi gani tu naweza kubadilika. Napwndekeza mada hio kwasababu wengi wetu tuko wazembe hatujui wajibu wetu ktk kujiweka km wanawake wa kiislamu na kulea watoto wetu
Masha Allah tabaraka Allah.
mada nzuri
Subhanallah😭😢asaekkayau💓👍
samahani, nilikua mkristo nimesilimu ninaupenda uislam, na haya mawaiza.
Mwenyez Mungu akuongoze dada
Tungekua tunaixhi kama uislam unavotaka watu wote wangesilm
Jazaka Allah kheir
Ester kalama angalia uislam usiwaangalie waislam karibu katika dini ya hakki Alla akupe nguvu uweze kuitetea dini yako nakuomba usiingie ktk mizozo na malumbano yakidini
Mashallah.
Maa shaa Allah
MASH Allah's
Mashallah
Njia ya kuelekea peponi shekh mselem bin ally ameelezea vizuri
Assalam alaykumu naitwa nurayna Nipo Ngara mkoa wa kagera nimesilimu naombeni msaada mnilipie nakahifadhi quruani
Inasikitisha kwakweli😢😢
Subhannallaaa
Mashaallah
Allah akbar
wallah billah subhanallah
in shaa Allah 2jitahidi ya rabby
Shekh nafrahishwa nakhutuba zako tufundiishe namna yakupangilia hukum zake ili ueneze ucha mungu ktk nafsi za watu
Maha Allah💗💗
jaza kallah kher
kweli kabisa mwanzo ni sisi wenyewe tubadilika na Allah ndio Atatutilia Tawfiq ndio tutabadilika
its good to take some good understanding of the holy quran and correct teaching of the prophet salallahu alaihi wasalam if we are really love islam and to gain mercy from allah. inshaallah.
.
Kweli kabisa tubadilik
Miongoni mwa madhambi makubwa yatakayowaingiza motoni watu wengi ni dhambi ya Unafiq.
Dhahiri tubadirike
Yaani duniani yote ww ndio mtu wa jihad nafsi
Omar Shaban 😀😀😀😀😀😀
Jazaka Allah kheir
Mashallah