Tafsiri aya 10 - 11 Haamiim sajda - Sheikh Ameir Tajo (Mdogo)تفسير من سورة فصلت للشيخ عمير بن تاج
Вставка
- Опубліковано 16 вер 2024
- As salaam aleikum Warahmatullahi Wabarakaatuh..
Mpendwa mtazamaji Karibu kuangalia na kusikiliza darsa ya tafsiri ya Qur'an Tukufu....kwanzia aya 10 - 11 suratul haamiim fuswilat (sajda) na Mfasiri ni Almarhuum Sheikh Ameir Tajo (Mdogo)
Allahuma ighfir lahuu wanafanana bihii
Allah amlaze mahali pema amiiin
Naomba uturushie darsa nyengine za tafsiri za sheikh wetu
Inamaana huyu nimtoto wa Amer tajo mkubwa au Masha Allah mungu ampe kherizake
Mashaallah mngu awape wepesi ishaalla
Kigogo hicho mashallah
MashaaAllah
Mash'allah
Maashaallah Allah akubariki na ajaalie kabri lako liwe bustani miongoni mwa mabustani ya pepo.
Maasha Allah tunaomba kujua darsa Kama hizi tutazipata mitandao gani..
Vigogo hao sio mashekh wa Sasa ubishan mwingi elimu chache
Hapo sheikh alitanguliwa na ulimi thulathai ni jumaane na arbiai ni jumaatano sio jumaatatu na jumaanne
Awo ndo wat wenyew
awo
Vipi bado yuko haiuyu shekh
Huhu ni amer tajo mdogo nduguyake
Amekufazamanisana nadhni mwishoni alishiriki mjadala wa mwezi mwaka 1/9/91 uliofanyika Ecrotanal zanzibar
Mashalh shehe