Obadiah Ni mse funny manze😂. Cheki Ibra, make one video mahali mnakaa na Obadiah alafu talk about your journeys to America kila mse, so far how life is and hope for the future. Tafadhali
Kwani contrucror na mtu wa mjengo whats the difference. Mtu uanza somewhere hata ndio afike level za juu. Wacha kujifanya . I smell so mch pride in this guy sijampenda
@Ibrahim Onami hebu fafanua kuhusu kuokota gari,utajuaje kuwa hiyo gari imetupwa?manake unaweza kuichukua kumbe ni ya mtu kaiweka hapo,halafu ukiichukua issue ya vibali imekaaje history ya gari utajuaje?labda mwizi kaitumia kwenye ujambazi akaitupa hapo,utajuaje ipo salama?how to prove?
They say if someone disposes something that needs papers,they dispose together with them or either if not so;you can go claim that kuma kitu umeokota...Utaandikiwa huko huko majuu makaratasi bora ikuwe ni ukweli
That's not the case you can see it but he's isn't that way when you go to these 1st world countries even for aday you change without knowing just automatically..
Inaitwa Skid steer loader,Please im also a heavy equipment operator too now in gulf kuwait,excavator,loader,roadroller hopeful to win green card.what are the step for me to get license of driving these equipments??plizzz
Ibrahim santi sana manzee ,i almost watched all your videos in a single day atleast nimelearn,manze,mi niko hapa Egerton nangoja nimalize kusoma nikose job hii kenya siiamini you know😂,magreen card nimeapply haziingiani,alafu gotea huyo jamaa beshte yako , ni wa kwetu nyumbani nishamsikia
Nikiwa US nilipea mzungu BMW yangu free. Nilikuwa narudi Kenya na nilikuwa na stress mob. Hiyo BMW ilikuwa na shida ya gear automatic ya reverse. Saa zingine ilikuwa inakataa ku-reverse. Niliona kuitengeneza ndio niuze ingekuwa kazi mob, na nilikuwa na haraka. Saa hii niko Kenya naona hiyo pesa ingekuwa musur sana.
Daaah brow nimewakubal huwa mna faiti sana maish ya uko japo wana sema maish kuaza nimagum ss mm nilikuwa na swal mli wezaje kufka uko kaka zangu na mkafait vp kufka uko
Always following your channel to get well informed, educated and inspired as am praying and believing God to help me win the green card with my family to relocate to USA to successfully change our lives positively, Amen
Obadiah Ni mse funny manze😂. Cheki Ibra, make one video mahali mnakaa na Obadiah alafu talk about your journeys to America kila mse, so far how life is and hope for the future. Tafadhali
I like this guy. You are telling us what is normally hidden to us by those relatives there. I agree yues ni Canaan
You have to workhard to make it Canaan.
@@marypatrick6667 opportunities in yues are there ..here we lack opportunities and there are lots of corruption
@@rosethumbi40 my sista I absolutely agree
US never be a Kaanan.
@@rubefabi8366 tell them
Jamaa ya nyumbani ako really yy ni contractor, haringi na accent mch luv from us. Obadiah
Good job Ibrahim you showing us the real things kwa ground America nasija soon
Thanks
I just love venye una describe vitu, smart
Asante
Huyu jamaaa aisee
Mungu ambariki sana,
thank you for this video, and your friend for telling as it is when you are a newbie
This guy is very frank . Than you. We love the spirit of this channel
I just love the way trees are all over
😅thanks
Kenya meanwhile we're cutting down the few remaining trees we have
we are jokers we can't plant we thinks ni ushamba kupanda miti
Cc pipeline Embakasi and kileleshwa
Onami you can make one be addicted to your channel ebu describe process ya kû own gari after kuokota🤣🤣🤣
Mi ni contractor bana, Sio mtu wa mjengo🤣🤣
It's true in the US getting abandoned cars are very many
What about paper work
You're so wonderful person, very simple, nikupatia msichana muwache kuboeka😂
Content itaishia hapo 😆 Atachoka sana bana..
Lakini tujenge huku kwetu kukuwe caanan pia, nobody will do it for us.
Thus true
Jenga kwako
@@HukuYues172 link ya green card
Word!
Very true my brother.
Gusii to the world 🌎
Wow! Porsche imetupwa? Wow! Georgia sijawahi ona..nice!
Wah thanks dear 4 representing us
Ni kama hiyo area wakisii ni wengi ama?
😂😂😂it's Minnesota what do you expect wako adi na SDA church huko
Plumington😂😂🤣🤣🤣🤣
hujuagi Minnesota ni kisii ya u.s.a
It's raw and real thanks man bro.
Mtu wa mjengo si ni contractor tu😂😂😂
Nice mogaka. Keeping tuned bro.
Huyu Mkisii anajichocha😂😂😂mimi ni contractor.
Hukua kawaida yao kujichocha.
Yaani msee ako stato na anashrub hivo😂😂😂,woah, omogusii yaaaa! Noma sana onami , great content
The brotherhood is awesome.. Huku kwa Ruto pia tunaacha kuzozana kiujinga
Kwani contrucror na mtu wa mjengo whats the difference. Mtu uanza somewhere hata ndio afike level za juu. Wacha kujifanya . I smell so mch pride in this guy sijampenda
Hawa lazima ni wakisii
Alisoma shule hajui jina🤣🤣🤣🤣
Sometimes majina kama io ni ngumu
My good people from Kenya 🇰🇪😂😂😂
Huko USA fom ziko sawa sasa mtu wa mkono ni , $35 per our or per day
Per hour na amesema hao wa IT ni 120 per hour
Very rare kupata hivo.
Your content is inspirational
@Ibrahim Onami hebu fafanua kuhusu kuokota gari,utajuaje kuwa hiyo gari imetupwa?manake unaweza kuichukua kumbe ni ya mtu kaiweka hapo,halafu ukiichukua issue ya vibali imekaaje history ya gari utajuaje?labda mwizi kaitumia kwenye ujambazi akaitupa hapo,utajuaje ipo salama?how to prove?
That guy was funny 😂..but i love your content bro 💯
Love you guys
Naomba unifanyie vefa nikuje nifanyeko kazi yeyote😊😊
Gotea huyo mkisii😂😂
Niaje Onami me u like venye umejitolea kutuonyesha how yues kuna poles mko hardworking Sana then huyo engineer(contractor) naweza mpata aje
Its good ukiwa na Kenyan friends in the US
Kazi ya mjei anaikataa 🤣
huyu jamaa hajui shule alisomea......🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wacheni Hiyo bangi mnavuta uko majamaa 😂😂😂😂
Sasa ukishaokota how do you get the car papers
They say if someone disposes something that needs papers,they dispose together with them or either if not so;you can go claim that kuma kitu umeokota...Utaandikiwa huko huko majuu makaratasi bora ikuwe ni ukweli
Hewa watu wanauziwa 😆🤣
Na cop akikusimamisha na gari ya wenywe
Could you guys invite me there, am suffering here in kenya.
Mimi na apply very soon. Siwezi tesekea Kenya tena. Halafu kiongos(Ibrahim) process ya application ya green card ni how brathe?
Beautiful place 👌
Enyewe wakisii ni wakisii hata uwatoe nyamira uwapeleke yues bado ni wakisii 😅 anyways much love from keroka abana baminto 😂😂
I'm always following u.
Mkisii wetu...hiyo accent yake Iko sawa
Love your videos, I've just subscribed to your channel
Hulu kwetu tunapenda wizi sana hatuwezi make. Wananchi wajinga....Viongozi wezi....ukabila...na ubinafsi..
Uko yues 💯💪
Minnesota imejaa gwakiree😂
😂😂😂😂😂
Bwakiree
Uyo jamaa wa porsche kiburi tupu
Kwani unaishi dunia gani hujui jokes nkt
That's not the case you can see it but he's isn't that way when you go to these 1st world countries even for aday you change without knowing just automatically..
@@dennismabuka6798 😂😂😂
@@mokta_pappi Shenzi
Obadiah must a Kisii. Muulize if anajua Embarambamba
Uyo msee obadaya tu na chapanga na yeye mjeyi, uku us, wacha hizo😂
Unachomea mwenzako.unfair.
😆🤣😅
It also depends on city and state
True
Planning to move to the US, Uttah. Huko kuna vitu kama hizo kweli?😂😂😂😂😂
@Jon B vitu za US achia watu wa US. We shughulika na Githurai
🤣🤣🤣🤣 huyo mse wa mjei bana ameninice tu
😂😂😂 huyu jamaa hataki tujue anafanya kazi ya mjengo 😂
Ati ni contractor😂😂🤣
@@ms.wangui 😂😂but US kazi ni kazi awache kuogopa 😂
😆😆😆
Hello Ibrahim
Unajua any job mtu anaeza fanya online ya usa ata akiwa kenya. Kindly.
huko yues maisha ni nyororo 😁
Kabisa 😂
Good job 👍 bro
Wakisii in minnesota
Hongera sana mnaokota magari hiyo Babu kubwa
From tiktok to you tube hello
Hiyo accent ni ya kikisii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hao ndio wamejaa usa
Question.... Sasa mtu aokote gari, badae mwenye ku dump haezi ifuata..??... Logbook??
Kazi ya kulinda mshosho🤣🤣 yall are too much.
Huyo ni Mukisii original eti Erora 😂😂😂I love my home Kisii
Huyu anakaa mkisii😂 wakisii hoyeee🙄😅
Yaani US msee wa mjei ako na Porsche...kenya ule mdosi sana ako na TVS
Huyo jamaa anakataa mjei ni mkisii walai 😂😂💔
Salimia huyo mkisii mshow Nyasimi ememgotea 😂
7000 USD is quite steep pia in repairs. But its still better than Kenya
For a 7 million shs car that's fair
Hiyo ni 700k sio 7 million
@@rosethumbi40 the car repairs is 7000 dollars ie around 700k the car costs 70000 dollars which is about 7 million kenya shillings
I think your friend is a comedian
Inaitwa Skid steer loader,Please im also a heavy equipment operator too now in gulf kuwait,excavator,loader,roadroller hopeful to win green card.what are the step for me to get license of driving these equipments??plizzz
America ni kubwa especially specific place niwapi Missouri state or......
Mkisii amekataa mjengo kabsaa😂😂😂
Ibrahim santi sana manzee ,i almost watched all your videos in a single day atleast nimelearn,manze,mi niko hapa Egerton nangoja nimalize kusoma nikose job hii kenya siiamini you know😂,magreen card nimeapply haziingiani,alafu gotea huyo jamaa beshte yako , ni wa kwetu nyumbani nishamsikia
Same bro. I hope tutapata chance ya green card. Hii mambo ya kukosa job after school is frustrating 😢
That Nice Ibrahim big up
Nikiwa US nilipea mzungu BMW yangu free. Nilikuwa narudi Kenya na nilikuwa na stress mob. Hiyo BMW ilikuwa na shida ya gear automatic ya reverse. Saa zingine ilikuwa inakataa ku-reverse. Niliona kuitengeneza ndio niuze ingekuwa kazi mob, na nilikuwa na haraka. Saa hii niko Kenya naona hiyo pesa ingekuwa musur sana.
Erore,kisii Kenya....😂😂😂😂
Huyu jamaa ni mkisii,contractor
Uliokota log book?
Owners usually leave it inside and leave a note that says car is free. At least I know a guy who got a car roadside huku yues and thats how it was.
Am home now getting back to the states January ,see you n Manhattan folk's
Marekan wanajal sana miti,hapo ingekuwa bongo miti yote ingekuw imekatwa
Bro Niko na truck USA naeza taka uniconnect na beshty yako mwenye anaeza kuwa ananisaidia kupata loads ,how can I reach you
kenyan owned business looking for owner operators
Loads kunakua site ya brokers za mizigo.Uko which State? Naeza kulink na boy wa Mine
Very authentic content ! Wazi !!
Aki vile natamani kufika USA,
Niko hapa na Clinton Mururi. amekugotea sana
Daaah brow nimewakubal huwa mna faiti sana maish ya uko japo wana sema maish kuaza nimagum ss mm nilikuwa na swal mli wezaje kufka uko kaka zangu na mkafait vp kufka uko
kazi ya mjei😅😅
Please try to speak English so that I can understand what you are saying thanks 🙏 By the way amazing 🤩 videos keeps it up ⬆️ 👏👏👏
Hasa baba ata come huku ku run prezzo Kaanapali huku ni Canaan.lol
America hakuna kazi hailipi hio mnaita ya maguka 😂😂😂imenunulia watu manyumba huku na kufungulia wengine biashara maana haikosangi.its an open market
Thus true 😅
It's true especially if you get a good paying one
Bunda natamani sana mdogo wangu umfanyie mpango natafuta sana contents zako
@@HukuYues172 i
Yooh ibra mtu hujua aje akicalliwa up for interview after kushinda lottery card
Eti nkaona maguka wanafanya poa ....nkaendelea😄😄
Ati maguka 😅😂😂
Daaaah na sio kawaida kuokota nn gari duuuh that cant emagn kbsa
Uyu jmaa ame upgrade kukuliko bro
Mpe time. Kila msee na path yake kulingana na God
Huyu Obadaya hataki kukubali yeye ni wa mjeii??? 🤣🤣🤣🤣
Always following your channel to get well informed, educated and inspired as am praying and believing God to help me win the green card with my family to relocate to USA to successfully change our lives positively, Amen
Nice content bro
Kwani bro mi siwez pata mishe huko mi nipo bongo