Wandani wa naibu rais Gachagua wakashifu njama ya kumtimua Gachagua afisini

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • Vita vya rais William Ruto na naibu wake Rigathi Gachagua, sasa vimechukua mkondo wa vilivyokuwa kati ya rais mstaafu Uhuru Kenyatta na naibu wake wakati huo William Ruto. Wandani wa naibu rais hii leo wamemtolea makucha rais Ruto kwa kile wanachokidai ni yeye kupanga njama ya kumtimua Gachagua afisini wakisema sasa wamechoka na "mbwa wanaobweka" na badala yake wanamwendea "mmiliki wa mbwa hao" . ibrahim karanja anaarifu
    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

КОМЕНТАРІ •