Jinsi ya kupika Biskuti za Kahawa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • Biskuti za Kahawa
    Mahitaji
    Unga wa ngano 1 cup (tumia vikombe vya kupimia jikoni)
    Sukari 1/2 cup
    Kahawa 1 Tbsp
    Siagi gram 90
    Baking powder 1/4 tsp
    Maji ya moto 1 Tbsp
    Kitabu cha Mapishi ya Biskuti za biashara kinatoka tarehe 31/05
    √Ukilipia kabla ya tarehe ya kutoka ni sh 5000
    √Kikishatoka kitauzwa sh 10,000
    Kulipia👇
    Lipa Namba: 56709571
    Jina: LILYANAPIKA
    Mtandao: M-PESA
    Kisha tuma screenshot ya muamala wako WhatsApp 0718553999

КОМЕНТАРІ •