Pozee you're on point keep producing more hits hao watanzania wanadhani we can't do with out them,keep us busy there albums ziwe a no go zone hapa Kenya 😀😀😀🤛❤️❤️❤️
Willy paul tafuta collabo na tecko Wizkid ama joeboy..na ukifanya Ivo wewe ndie utakua unarepresent EA MUSIC .. diamond atakua nje..wakikuitisha 1m tutachanga
Ningekuwa na uwezo ningelike ata Mara mia moja 100🔥🔥🔥for sure this is the first song nimeskiza nikakumbuka my kasimple gurl wacha nikamsake😂😂😂💥💥💥🔥🔥meanwhile weka kalike hapo from @avenueparkniccur
Who realized pozze has changed even how he nowadays speaks?? Pozze you don't have to use harsh language when speaking or singing...tunakupenda kwa kutambua hio...big up my king
Mimi huccoment but sijai pata like,,si leo nipewe kamoja
Ndio hiyo❤
🎉😢
After vita ya Diamond ndo nimependa Pozze hata zaidi
Ndo nimeland from Germany!! I have missed alot but this brought me back
kwanza maliza shule otherwise you will dropout due to this song.
Ume feel hio song?? Its fire walai
Ausio
Hahahaha wewe
Quarantine bro
Hiii ni kubwa sana💥
Tupewe cover sasa 😆😆😆😆😆
Dogo charlie fanya mambo
Tupe kitu Sasa 😜😜😜😜🤣🤣
Pia hii tunamit trending ama
fanya ile mambo yako sasa
Nyimbo nzuri mwanafunzi wangu🔥🔥
Ile upuzi iko kenya hii ni mingi sana....😂😂
Kiboko imefanya kazi 🤣🤣
Lakini hakufanya shairi yako Mwalimu😂😂😂
Huyu c Kioko🤣🤣
Lemaooooo
Huwa na like comments za watu but sijawahi pata like...si zicome😊
wapi likes za miss p... juu huyu dame weeeh!!!!!!!!!! NAPENDAAAA
Naomba likes 100 Tu
1st viewer🥺
I can feel it 😍😍
You have killed it boy .u are the best Willy Paul .l am from Zimbabwe
Secular music inakupeleka poa sana 💥💥...This is a banger ...kama una agree piga like zifike 50
*"Hata Kasimple Boy Kana Kasimple Girl Sehemu Fulani!"* I hope *Stevoh Simple Boy Amesikia Hii.*
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂si una overthink bro
Ndo maanake
This is deeper than people understand 💯
😂😂
Inabidi turudi kwa willy pozee
Noma sana.... Npee like za kijana wetu wamathare.....,, Dikene white
Pozee wah, mnanimada. Gonga like ya Kijana wa Salome na katoto ka Jambi
SO FAR SO GOOD! GOOD CONTENT IS BACK,
Twende nalo simple boy
Tired can't wait for that' video🔥🔥🔥🔥
And we are trending at #1
Pozee you're on point keep producing more hits hao watanzania wanadhani we can't do with out them,keep us busy there albums ziwe a no go zone hapa Kenya 😀😀😀🤛❤️❤️❤️
True
Hii itagonga 1M views haraka...Miss p mama lao.. nipeni likes tukimove
This is a must Listen.
Golden Miss P voice. Nipewe likes zake hapa
Always brand new in my mind.kazi safi mkuu
Miss p is gonna grow faster like zuchu kindly willy put more effort in her we do appreciate your work ❤️❤️❤️much love from Uganda 🇺🇬
Pozzzeeeee. a great mentor 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Fall in love
The only effort he put was seksual .. Miss p got bamboozled seksually
Little did you know you are recommending a hypocrite 😂
@@MartohKioko He introduced to the music world though
Yeah thats true even more than zuchu
Mtoto wa mathare anaimba na bado anaproduce😉🎯..likes za pozee zikam
banaa
Unaesoma comments huku una watch naomba mwenyezi mungu akuzidishie maishani na akupe mpenzi mzuri mka fall in love 😍😍😍🥰😘❤️❤️❤️❤️💋
Miss P, huyu ni mtoto Pozee iko saidia ☺️🤩🤩
MISS P amerudisha willy paul trending.
Vice versa
So true
Sure
@@musamutinda2725 It's true
Willy paul tafuta collabo na tecko Wizkid ama joeboy..na ukifanya Ivo wewe ndie utakua unarepresent EA MUSIC .. diamond atakua nje..wakikuitisha 1m tutachanga
I think pozee is the best artist in Kenya walai endelea ivo bro alafu ka unakubali miss p gonga like yake ata moja jameni
Wapi likes za huyu dem kama unapenda sekete😁❣
Nimefall in love with this song si nipewe ata likes mbili jameni
Congrats by Shirleen wangari maina
@@susangathoni3126 Thanks
hazi come mbili xaa nifanye
Congratulations
Huyu dame wanyeri ako tu sawa .. Pure talent .. Thenks willy for the support
Hio sauti ya miss P,,,,,Mnipe likes za hip sauti. much love
Watu wa NYERI tuko wapi,nilijua haka tuu ni Gaceri ama gaciku ama gaciru🔥🔥too cute
Tuko hapa beautiful princess😘
@@lisalove8172 absolutely beautiful ❤️
tunataka hits kaa hii,pozee the king miss p the finisher nomaa sana,wapi likes zao kama umekubali kenya tumepata queen of vocals💪💪💪💪
Sure 🙌🇰🇪
Ningekuwa na uwezo ningelike ata Mara mia moja 100🔥🔥🔥for sure this is the first song nimeskiza nikakumbuka my kasimple gurl wacha nikamsake😂😂😂💥💥💥🔥🔥meanwhile weka kalike hapo from @avenueparkniccur
Sauti ya miss p inaweza mbaya ,,pure talent
Mimi ata nimefall in love nahii ngoma❣️💥💥
There can be only one King.... Ule WA kuwapeletea mazishi🔥🔥one Pozeeeee.... Nice song 👌
Mapenzi hayachagui kweli. Nimependa mkisii mkristo
Mtoto wa Salome amefall in love. To all those looking for love. May the the best come your way
Wale wanataka collab ya willy Paul na bahati nipeeni likes hapa🔥
Now I know kwa Nini diamond alikataa collabo willy atampoteza walai willy wewe ni mnoma❤❤❤
First viewer,,,nipewe likes aki,,,,this song is sooooo liiiiit
Nomaaa Sana'a👍👍👍👍
Big up pozee already interñational . Am your number one fan ...
Nomaaa 🔥 🔥 🔥 🔥 ata mimi nimefall in love with the song
I can't get enough of this sweet sautis😫😍 nipate likes za pozeee na Miss P💕💞
the only superstar who makes timeless songs. hii ata ukuje 2050 itakuwa hit
Kaschana ka nyeri kamefall in love with this song......legit
Are you from there bby fire fire
Eeeeeeish🔥🔥🔥🔥who else is waiting for miss P singles???
If you're from Rwanda, Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi, South Sudan, Sudan, Comoros, Seychelles, Mauritius, Democratic Republic of Congo, Congo-Brazaville, Nigeria, Ivory Coast, Madagascar, Angola, Niger, Senegal, Ghana, Gambia, South Africa, Somalia, Ethiopia, Eritrea, Djibouti, Botswana, Guinea, Benin, Cameroon, Cape Verde, Togo, Burkina Faso, Gabon, Chad, Sierra Leone, Mauritania, Namibia, Lesotho, Zambia, Malawi, Mozambique, Zimbabwe, Liberia, Egypt, Tunisia, Morocco, Swaziland, Algeria, Equatorial Guinea, São Tomé & Principe, Central African Republic INLOVE WITH THE MUSIC
King mwenyewe 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Willy Paul is so talented 🙌🙌 👊💯🇰🇪🔥🔥🔥. I wish angejiamini vile me huwa nimemuaminia. Shine
Akii miss p sauti kako...akiii soo cute.
Pozee amemtengezea miss p career,heshimu talent ya pozee
naomba likes 200 nimefall in love💕
Nategea ngoma ya huyu dem solo🤩🤩🤩🤩😍
Inlove with this song Yani ...am falling in love...wapi likes za Willy po.....
Eish another 💥💥💥💥after liar .......wapi likes za miss p ❤️❤️❤️
Who's here in 2024 😢
Pozee u honestly released a banger with miss p
Do us justice !we need another track for real
mzito hii itasonga bro,nipeni likes, iyo comby imeweza
Sauti ya Miss P inatoa nyoka pangoni waaah!!! lv this song
Yani wimbo zote za pozzee ni hit song 🥰🥰 tamba pozzee
I love this song already😘😘❤❤❤ mtoto wa mathare amefall in love, katoto ka Nyeri kame fall in love. This song though🔥🔥🔥🔥🔥nawapenda❤
Pozee is Kenya's Tekno. Dancer, Musician, Producer. All-rounded talent
Teddy B built such a great talent nuh!!
💞💕
Mashallah imenirudisha hapa👌👏dope music😎
Bahati is a self claimed king but here is the King chosen by the people king willy Pozee........💥💥
Likes za Pozze ziko wapi? 🔥🔥🔥🔥
👇
Pozee msanii mpoa.punguza kiburi bro ubarikiwe
Pozee one of the biggest artist we have in Kenya.. biig tune 🔥🔥🔥🔥🔥 missP doing her thing
Mzoooooka💥💥💥💥🔥..naomba likes pia jameni😍
Kazi nzuri pose
Another hit 💥💥💥 gimme likes ya Queen Miss P kwanza tukisonga
No matter what pozee you will always be the best
For sure
Go Miss P
Always WILLY
Weh penda kwani iko nini weh penda anybody 2024
hakuna venye mtu anaeza like mara mbili aki 😍😍😍
Nimerudi Tena leo,,na bado Kesho nitarudi,,hii ngona Kali,,Wapi like zangu, 🔥🔥🔥🔥👌
Willy Paul shikilia Miss P umemwachilia sana and she's so talented.
Viiiibe mseee 🔥 🔥
Pozee na Miss P likes zao hapa,💥💥🇰🇪💯
Wependa ,,,, miss p love you dear
Wapi likes ya first viewer
Samidido faaaaiyaaa🔥🔥🔥🔥🔥.unaweza fall in love with any wan en i mean any wan💜❤.
Nadai likes pia😋
Mziki munene 🔥🔥🔥
Miss P to the world, likes za Pozzee🔥🔥🔥🔥
Tulikuwa tumengoja sana Willy ...it is lit 💕💕💕💕
❤ eti mapenzi Haina hodi Kali sana
Wapi like ya hio dance manze🤗👍👍thumbs up
Motoooooo saaaanaaaa Pozze🥰
Willy Paul huyu dem ulimfanya vituko . Mkunaji wewe
First viewer,,bro wa willy paul🤣🤣🤣pedi wa kisumu
aaah noma Willy Paul na miss P,combination yenu inaimpact fiti sana...keep it up guys...gud job
Gotea MissP
Nimefall in love na song 😍😍😍wapi likes za miss p kwa sauti tamu
Wangapi wanaona miss p is a Kenyan zuchu ngoma imetulia sana nipeni likes leo
Who realized pozze has changed even how he nowadays speaks?? Pozze you don't have to use harsh language when speaking or singing...tunakupenda kwa kutambua hio...big up my king
Watu wa Nyeri pigeni like hapa na ikiweza mkoment😂
Students at karatina university graduated in 2017 your in my heart karatinaians
Liking the song, super collabo.. katoto ka njambi
kwanu wasichana wa nyeri tuko???
@@alicemuthoni7158 we here!!
Kai mwagithaka
the way she says "katoto ka njambi" kills me💯💯🔥🔥🔥🔥🔥
Bro kumbe siko peke yangu...
😂😂😂 this gender katoto ka njambi 😂😂🥰
inahit different
💯💯
me 2 kwanza hapo ata kupa mwenyezi
Aki mapenzi hayachagui lakini...u can just fall in love. True
Pozeeee king and queen in one project Yani international standards
🔥🔥
Wuiii 36min at 6k views🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥wapi likes zao tafadhari ..song iko on fire
Baddest duo in kenya
Wololo 😍😍😍 Nomaaa ♨️💯