UJINGA UMASKINI NA MAGONJWA NIMAPACHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 вер 2024
  • #GRC kwa mzee wa upako (Athony Lusekelo)
    Follow our Social Media:
    FB: / mzeewaupakotzz
    IG: / mzeewaupako_tz
    TIKTOK: / mzee__wa__upako
    Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda.
    Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia runinga ya channel ten na zaidi ya watu milioni 1.7 wanaungana na Mzee wa upako kupitia majukwaa yake ya mitandao ya kijamii ulimwenguni.
    Mzee wa upako anaweza kusikika 24/7 kwenye channel zake za UA-cam Mzee wa upako na TUTASHINDA CHURCH. Ungana na Askofu Antony Lusekelo kwenye Instagram Mzeewaupakotz.

КОМЕНТАРІ • 2

  • @johnbuya1003
    @johnbuya1003 13 днів тому +1

    Ni kitu gani kitakachotutenga na upendo wa kristo?je dhiki,njaa,au upanga.Siwezi kumuacha Yesu harafu nifuate imani za majini

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 13 днів тому

    Mzee jua linazama tena mm naamini ww msomi na unajua yesu sio mungu silimu mzee kabla hujafa huna njaa mzee ukoka ukiristo sio dini ya kwel ila ushaur wa bure tu