Sahihi kabisa , watu wengi hawajatambua kwamba wanga ndio tatizo kubwa , kwa maana nyingine chakula chochote kinacho pandisha sukari kwnyw damu nikina nenepesha kwa kuweka mafuta mengi yanayo badilishwa na Insuline, hivyo ile dhab ya kusema. Nineacha kula vyakula vya mafuta na nakula vya wanga ili nisinenepe sio sahihi , Vyakula vyenye a good fat havinenepeshi sababu fat ina almost asimilia zero kwnyw kupandisha sukari , ikifuatiwa na protein , ila wanga ni ina pandisha kwa asilimia kubwa sana
Mboga za majani,kutegemea na nature ya kaz yko.kama ww ni wa kushinda kwenye Ac,kula mboga mboga,na matango,wanga kidogo sana ila mboga za majani ziwe nyingi.kula vyakula asilia,acha processed food
Kweli kabisa. Hoja kuu ni kwamba , baada ya kula ni kazi ipi waenda kufanya?, ili kuzichoma hizo calories nyingi. Pia akina dada msidanganywe ati kuwa mnene kwenye sehemu za viuno , makalio ni fashioni, la hio ni hatari sana katika afya yako.
Neno la Mungu linasema, nyakati za mwisho watatokeya manabii wa uongo, wakisema wajitenge na vyakulu ambavyo Mungu aliviumba ili vipokew kwa shukulani, Sasa nayeye na nabii wa uongo au, maana Mungu kaviumba vitu vyote tu imiliki, au mnasemaje wadau.😜😜
Ukimwelewa Dr Sebi ..pia utamwelewa Nini anaongelea hapa
Sahihi kabisa , watu wengi hawajatambua kwamba wanga ndio tatizo kubwa , kwa maana nyingine chakula chochote kinacho pandisha sukari kwnyw damu nikina nenepesha kwa kuweka mafuta mengi yanayo badilishwa na Insuline, hivyo ile dhab ya kusema. Nineacha kula vyakula vya mafuta na nakula vya wanga ili nisinenepe sio sahihi ,
Vyakula vyenye a good fat havinenepeshi sababu fat ina almost asimilia zero kwnyw kupandisha sukari , ikifuatiwa na protein , ila wanga ni ina pandisha kwa asilimia kubwa sana
I really like you🤗😄😆it's very true what your saying,Wow!!!
Magonjwa ya moto apo mmmm ahaaaa
Bongo Tukiacha kula Ugali na Wali bhs itabd tukae na Njaa.
hahahahahahaha
Uko mwalimu mzuri sana! Wa Africa wengi tunahitaji hiyo elimu!😊
Mtu sa 4 uck ugali huo,na supu juu,then unaenda kulala.jmn tunaisha wanadamu.
Ahaaaaaaa uwongo bwana
Broo shukrani kwa somo lako, umenigusa
Uko vizuri sana
Docto usiku inatakiwa rule nini?
Ni muhimu kuzingatia afya.
Sasa vyakula vipi in vizuri kula Mara kwa mara
Mboga za majani,kutegemea na nature ya kaz yko.kama ww ni wa kushinda kwenye Ac,kula mboga mboga,na matango,wanga kidogo sana ila mboga za majani ziwe nyingi.kula vyakula asilia,acha processed food
Wewe unakula nini tukufuate hasa
Mbona unafoka sasa mmmh
😂Usitufokee😆
😃😃😃😃 anaongea kwa msisitizo.
Ndo utugombeze sasa😳
😂
Wee acha bwana, doctor asije kasirika 😂😂😂
Kweli kabisa. Hoja kuu ni kwamba , baada ya kula ni kazi ipi waenda kufanya?, ili kuzichoma hizo calories nyingi. Pia akina dada msidanganywe ati kuwa mnene kwenye sehemu za viuno , makalio ni fashioni, la hio ni hatari sana katika afya yako.
Kuna main dish,side dish.mais dish inaweza kuwa samaki ikisindikizwa na mboga za majani na tunda.basi
Apo kwenye Wali na Ugali siachi kbs😅
😂😂😂😂
Neno la Mungu linasema, nyakati za mwisho watatokeya manabii wa uongo, wakisema wajitenge na vyakulu ambavyo Mungu aliviumba ili vipokew kwa shukulani, Sasa nayeye na nabii wa uongo au, maana Mungu kaviumba vitu vyote tu imiliki, au mnasemaje wadau.😜😜
Eeeeeeiimeeeen
Kabisaaa
Sasa kipi kinafaa kula???????
Mazoezi ndio kikubwa simple
Mbona Una paniki.ongea kawaida tuta kuwelewa.inabaki tuw tunakula hewa
🤣🤣🤣ewa tena
Tulia uelewe
Hhhh
😂😂😂😂
Mmmh jamani Sasa mbona kila chakula kina mazara tule nini Sasa
Unakula hvohvo vya wanga lakin iwe ni kidogo sana uzidishe mboga mboga na matunda kwa wingi
ua-cam.com/video/FAJunBxUYpY/v-deo.html njoo tujifunze sasa