🚨C.E.O Simba kuondoka, Ahmedally Afunguka sababu ya kuondoka Imani kajula,alifeli?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • #football #alikamwe #simbatanzania #yangafc #yangasc #yangatv #youtube #ahmedally #simba #simbaislive

КОМЕНТАРІ • 5

  • @theodorylucian7499
    @theodorylucian7499 Місяць тому

    Kwa majina naitwa theodory lusian msisi,mm naungana na alichokisema ndg hans apo studio,simba inatakiwa kuwa na watemdani wawili,mtu wa uwanjami na mtu wa biashala,hilo ndio litakuwa jibu sahh kwa club kubwa kama ssc,

  • @RevocatusSungura
    @RevocatusSungura Місяць тому

    Me wa kwanza leo😅😅

  • @ibrahimally8073
    @ibrahimally8073 Місяць тому

    Arudi zake tu kwenye mabenki akaajiriwe.. huku kwenye club yetu ya Simba Kwa Sasa hakuna Tena janja janja ya kupiga maokoto.. mo tajiri kabana Chocho zote za upigaji hela..

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Місяць тому

    Aende tuu tumtakie safari njema

  • @Khmediy3241
    @Khmediy3241 Місяць тому

    Mangungu je?