VURUGU: GARI YACHOMWA WAKIDHANIWA WANATEKA WATOTO, WATU WANNE WAKATWA MAPANGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 301

  • @simbamaduhu1600
    @simbamaduhu1600 8 днів тому +3

    Poleni sana. Cha muhimu tujitahidi kujitofautisha na wanaotenda maovu. Pipi hizo ndo shida zinatumiwa na watu waovu hata watu wabaya wanaitumia sana pipi na vyakula, ukisafiri jitahidi kutogawa vyakula kwa watu ni hatari. Msingegawa pipi hakuna ambaye angewashambulia

  • @aganolamotoeliya2027
    @aganolamotoeliya2027 15 днів тому +9

    Msiwape watoto wa watu pipi maana hatua ya kwanza ya kuwateka watoto ni kwa pili.

  • @wilfredyhumphrey918
    @wilfredyhumphrey918 11 днів тому +4

    Ila nanyie kuna kosa huezi pita barabarani tu ukatoa pipi kwa mtoto usiye mjua ukizingatia Hali tuliyo nayo sasa

  • @Nghomano
    @Nghomano 15 днів тому +8

    Pole sana,tanzania sasa hakuna kukalimiana ubaya ubwela utakuta mtu anasema kusaidia hata ukikuta mtu anaomba msaada usijalibu kimbia mbali msaada wako ni chukizo kubwa sana

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 15 днів тому +10

    Saiz kuwa makin sana yaan huyu jamaa Rasta na mtandio huo kama waasi tuache kuiga vitu vya nje saiz watu wanahasira kali kutokana na matendo mabovu yanayoendelea😢😢😢

    • @user-cv7vm1mx9d
      @user-cv7vm1mx9d 15 днів тому +2

      Njiwa wa nini sasa hapana kuna jambo hapa nyie sio watu wazuri

    • @user-tb5bt8lq8j
      @user-tb5bt8lq8j 14 днів тому

      Una akili zingine au unazo hizo tu sasa njiwa si ni mfugo😂​@@user-cv7vm1mx9d

    • @eggysulle7988
      @eggysulle7988 12 днів тому +1

      😂😂😂😂

  • @barutiboniphace4335
    @barutiboniphace4335 15 днів тому +26

    Sicial psychology. Usije ukampa mtu chakula, pipi au kituchochote cha kula. Ikitokea akafa, au kawekewa sumu na mtu mwingine harafu wewe ukampa chakula akafa ni msala. Usimpe kitu mtu akala. We mwache.

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 15 днів тому +8

    Poleni Sana..Ali sio nzuri. Wananchi wapewa Elimu kuhusu ili.

    • @SeifSalim-x5k
      @SeifSalim-x5k 10 днів тому

      😢😢😢huko kwetu watoto wanatekwa sana kwahiyo lazima wangefanya hivo...watoto wanapewa pipi na nyama choma ....ila ndugu zangu wairaqw duh

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 8 днів тому

    Poleni sana hawana makosa mnachotakiwa sasa hivi nikutambuwa alama za myakati watu wana hofu ya kupotelewa na watoto kuweni makini sana

  • @jafetzani8568
    @jafetzani8568 15 днів тому +14

    Asee hali ni mbaya sana nchini

    • @KelvinMtavangu-ow8yo
      @KelvinMtavangu-ow8yo 9 днів тому

      Je,sababu ni nini? Hakuna wa kukemea undamaged huu? Ee Mungu tusaidie. Amina

  • @user-hq5mo3dx7l
    @user-hq5mo3dx7l 15 днів тому +4

    Na hawa wasanii wetu hawana mchango wowote katika jamii hawakemei mauvu mauwaji,nk zamani wasaanii ilikuwa ni kioo cha jamii kukitokea jambo wanapaza sauti kwa kuimva nk wao wako kwenye mahusiano mapya kila siku wanatangaza ngono tu halafu wala hawajihusishi na jamii ila jamii ikisikia msanii kafanya hv utakuta followers kibao ijinga tu

    • @AminaKazumari
      @AminaKazumari 9 днів тому

      Haswa hawana msaada katika jamii kazi kubwa ni singeli, nyimbo za malovelove na ujinga mtupu ila kuelimisha walaaa

  • @JohnMhogo-hd3fs
    @JohnMhogo-hd3fs 10 днів тому +1

    Poleni kweli sasa Hali ni mbaya sana lkn
    Haya yote serikali isifumbue macho kwakweli sasa Iv kweli hatuaminiani Imani hakuna kbsaa

  • @RebecaMackenzi
    @RebecaMackenzi 15 днів тому +23

    Poleni ila kwanini na nyie mnawapa watoto pipi wakati mnajua kabisa sahivi hali siyo nzuri nchini? Tujifunze kusoma alama za nyakati jamani

    • @user-vx3sc6eh7j
      @user-vx3sc6eh7j 12 днів тому +1

      Yaan wema wako unakuponza iviivi

    • @Clex-f5s
      @Clex-f5s 8 днів тому

      Hawako serious unatoaje pip au chakula kwa watoto bila ufahamu wa wazazi au walezi wao.HAMNA wa kumlaumu kwa trend hii unatoa pipi serious 😢😢

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 12 днів тому +1

    Hakuna kitu kibaya kama kujichukulia Sheria mkononi, ndio maana mimi nikikuta mwizi anapigwa huwa sishiriki kabisa maana unaweza jikuta jela maisha yako yote

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 15 днів тому +3

    Sasa unawapaje watoto wa watu pipi,kila mtu na tyme zake sa hv ,mi nikipita barabarani siongei hata na mtu wala mtoto yoyote ,wanapia nami napita

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 15 днів тому +2

    Na ndio mkome kwakuwa nchi imeharibika tuone hao police watafanya nin kwakuwa wakipewa taarifa watt wanapotea hawashtuk

  • @KelvinMtavangu-ow8yo
    @KelvinMtavangu-ow8yo 9 днів тому

    Huu ni ukatili wa hali ya just sana. Hivi ni sisi waTanzania wa enzi za Baba wa Taifa kweli? Haya maisha yanatisha. Tulizoea kusaidiana katika kila hali Chini ya Balozi na NYUMBA KUMI. Hata kama mtu ni mgini aliitwa ndugu! Jambo kubwa WaTanzania tudumisha imani na Amani. Poleni sana Watanzania wenzetu.

    • @OscarKasalile
      @OscarKasalile 8 днів тому

      Kweli kuilinda amani ni jukumu letu lakini wanaotuuwa hatuwajui shida ni hiyo.

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 15 днів тому +2

    Poleni sana ndugu zetu

  • @OscarKasalile
    @OscarKasalile 8 днів тому

    Kazi imeanza

  • @ElishaOisso
    @ElishaOisso 15 днів тому +24

    Wachunguzwe vizuri,,

    • @timetravellor5367
      @timetravellor5367 15 днів тому +3

      Wewe mwenyewe uchunguzwe

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 15 днів тому +5

      Haya ni madhara ya wananchi kujichukulia sheria mkononi. Watu wengi sana wameuawa bila hatia

    • @simonmalegesi414
      @simonmalegesi414 15 днів тому +4

      @@rumdeesonsoa1811 soma nyakati hata mimi nikikuta unampa mtoto wangu pipi nakuzingua wewe huoni hali ilivyo kwasasa binadamu tumekuwa wanyama.

    • @user-cv7vm1mx9d
      @user-cv7vm1mx9d 15 днів тому +1

      Kwanini wampe mtoto pipi gari yenyewe tinted rasi mwenyewe macho yanatisha ku kitu hapa

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 14 днів тому

      @@simonmalegesi414 Hata mimi, mim nikimuona mtoto wa mtu au mtoto wako anakimbilia barabarani, motoni, kisimani, shimoni, au chooni au sehemu yoyote yenye hatari simuokoi kabisa. Kwa sababu unaweza ukamuokoa wakaja kusema ulikuwa unataka kumuiba.

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 15 днів тому +5

    katika story imeniuma toka mwaka uanze nii njoo nikigoma niwape kitu serikali hapo haina msaada itaishia kusema hasira kali na kukamata uongozi tu wa eneo ila kuna kitu nataka niwape kwa kila aliewagusa

  • @annamashauri7421
    @annamashauri7421 15 днів тому +2

    Poleni sana mungu wa mbinguni awaponye

  • @btechie04
    @btechie04 15 днів тому +1

    Hali ni mbaya sana mtaani asee, hili tukio tulilishuhudia, tulikuwa Manyara kufanya kazi za ufundi hospitalini na kuna mama mmoja kati yao alituomba msaada ila tulishindwa kuwasaidia kwa wakat ule kwa sababu hata sisi gari letu wananchi walikuwa wanalitilia shaka na kuna sehemu hadi wananchi walitufatilia na boda boda kwa bahati nzur waliona tunaingia hospitali, tukaamua tugeuze gari twende polisi kutoa taarifa😢

  • @saimonseleka8792
    @saimonseleka8792 15 днів тому +11

    Kenya hizi hasira kali wanazitumia kupambana na selikari haini sisi tunashindwa kupambana na matukio ya utekaji ambayo polisi haioneshi msaada tunaogopa polisi tunaumizana sisi wenyewe 😢

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz 15 днів тому +1

      Serikali siipo ina kusubiri uelekeze hizo asira kali zako. Ukumbuke hapa sio kwa wapumbavu Kenya. Wanaumia serikali bado inaendelea madarakani nani mjinga hapo.?

    • @HamisiJob
      @HamisiJob 15 днів тому +1

      ​@@MrishoMindu-zq7mzkwel kabisaa wakenya wanapenda kusifiwa fujo na hawabadilishi chochote rais bado ni Yule Yule njaa hiko pale pale Zaid wamepoteza ndg zao tu kwa kuuwawa kijinga

    • @user-ly2tv5og1n
      @user-ly2tv5og1n 15 днів тому +1

      Kuna fahari gani kufanya vurugu na kuondoa amani? Iwe kwa Serikali au mtu yeyote? Ni upumbavu tu. Njia yenye kujenga Amani ni mazungumzo.

  • @JJKitomary
    @JJKitomary 15 днів тому +1

    Nchi hii jamani tutashindwa kusaidiana pia hata kumsaidia mtt wa mtu, yaani hii nchi Bora ukutane na mnyama anaweza kukusamehe Ila binadamu atakumaliza .😢

  • @margarethasway8450
    @margarethasway8450 8 днів тому

    Poleni lkn hata mimi simwamini mtu aliye jifunika km huyu rasi waasi ndo wanajifunika vitambaa.

  • @simonmalegesi414
    @simonmalegesi414 15 днів тому +5

    Kwanini wawape pipi wakome hawajui hali ilivyo kwa sasa ama nawaho nishida???

    • @user-vx3sc6eh7j
      @user-vx3sc6eh7j 12 днів тому

      Unajuwa watoto unapokula kitu wanavyokushangaa unatakiwa uwe na roho ngumu kumnyima

  • @user-wj6zj1ly4e
    @user-wj6zj1ly4e 15 днів тому +7

    Spka wa bunge haskii hii taharuki,

  • @AbubakariBausi-zd6xf
    @AbubakariBausi-zd6xf День тому

    Mngeuwawa nyinyi ndo mnaofanya mauwaji ya watoto pipi za nini na uku watu wana hasila yani ningekuwepo ningekuchinja kabisa mana tuna hasila kabisa mnauwa watoto wetu

  • @julianamasato5655
    @julianamasato5655 14 днів тому +1

    Poleni sana ndugu zangu ,hili hiro kabira hawanaga elimu kabisa yani wao nikuhisi hisi tu

    • @hadijamshimbula7616
      @hadijamshimbula7616 13 днів тому

      Wamburu?? eeh😢

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 13 днів тому +1

      Wambulu ndio walivyo. Hawana elimu kabisa hasa wale wanaoongea kikwao tu

    • @hadijamshimbula7616
      @hadijamshimbula7616 12 днів тому

      Yaani we achatu mi hukunakaa nao nikuwavumilia waswahili sana​@@rumdeesonsoa1811 mitihani hili kabila linashida jmn😢😢

  • @NtamamiloGibson
    @NtamamiloGibson 15 днів тому +3

    Kutokana na huu ujinga eti usimsaidie usiyemjua leo kaja mama na mtoto mlemavu aliniomba hela nikamwambia ninazo lakini naogopa naweza kukupa huyu mtoto akafa usiku nikatafutwa yawezekana wakahisi nimewapa Jini. Kwahiyo kila mtu ajipange😂😂😂

    • @WilsonEmmanuel-bs6op
      @WilsonEmmanuel-bs6op 15 днів тому

      Polen sana Uyu Dada alivaa kofia nyeusi namuonea uluma sana mpole

  • @emmanueltillya2017
    @emmanueltillya2017 15 днів тому +3

    Kwa nini muwape watoto ugenini pipi,na sio kijijini kwenu? Wachunguzwe kwenye mawasiliano yao angalau ya siku ya tukio na kurudi nyuma mwezi 1.

    • @dianavictor6861
      @dianavictor6861 14 днів тому

      Acha upumbavu ni vile aijakukuta wewe na familia yakoo mbwa wewe

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 13 днів тому

      Hao ni majambazi walitumia mtoto kama kisingizio ili wawaibie hao wenye gari. Kama nyama walisema ni za binadamu kwnn wazichukue na kugawana? Wanazipeleka wapi sasa kama ni za binadamu? Kwn wao wanakula nyama za binadamu?

  • @gideonmichael8757
    @gideonmichael8757 11 днів тому

    Pole sana tunaomba serekali itusaidiye kwasababu tasisi tulifika sehemu hiyo tukasema tule chakula tulipomalisa tukato tukaigia kwenye gari letu akaja kijana anaye hendesha baskeli akago gari akapasua taa ya nyuma ya gari kusama tukamta wanachi wakajawegi watakatakutupiga bati mzuri mtendaji akatokea akatusaidi

  • @messiasulleydidy2585
    @messiasulleydidy2585 15 днів тому +5

    lakini kwann umpe pipi?

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 15 днів тому +2

      Wewe una akili kubwa.
      Mtu hawezi kumpa mtoto wa mtu mwingine zawadi bila taarifa ya mwenye mtoto kwa sababu wanaweza kuua au kuteka mtoto

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 15 днів тому +1

      Shida ya rasta wanapenda kujali watoto hata kama sio wa kwao

    • @frankmfuse6990
      @frankmfuse6990 15 днів тому

      Arusha BANGI sana
      Sasa hapo hakuna akila kabisa wote akili kama makonda

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 15 днів тому +1

    Hadithi za pipi zimeenea kila mahali. Kwamba watoto hutekwa kwa kugawiwa pipi na wewe rasta unatisha bora mngekaa kimya kwenye gari lenu pipi imewaponza

  • @shanifesto9037
    @shanifesto9037 9 днів тому

    Poleni sana ,,why watu wa kwetu wamekuwa wakatili hivi,dahh mmetuangusha sana

  • @pantaleolaurentlaurentkavu2011
    @pantaleolaurentlaurentkavu2011 15 днів тому +2

    Matukio ya wananchi kutoheshimu sheria.na kujichukulia maamuzi ya kikorofi.ni matokeo ya wanasiasa wachache wanaojaza chuki wananchi na serikali.na kuamini ndio njia sahihi.hebu tubadili.mitazamo.walao viongozi ngazi ya mtaa.wapatikane walio na elimu ya kiwango.kikubwa..isiwe.umaarufu TU.jamii ikielimishwa huku chini.serikali inakuwa.kwenye nafasi nzuri ya kuleta maendeleo.

  • @RosemaryShilla-dr6kp
    @RosemaryShilla-dr6kp 9 днів тому

    Ningekua namlaka ningeua kijiji kozima icho kilowavamia watu wametoka kwenye shughuli zao

  • @BM_Smart2-6
    @BM_Smart2-6 14 днів тому

    Janga limezua majanga.. poleni sana wahanga wa tukio

  • @AbdillahSalimu
    @AbdillahSalimu 15 днів тому +4

    Haya nimadhara yakutokana na ile kauli yakusema kila mtu ajilinde mwenyewe. Ila poleni sana wahanga innshaallah molla atawalipa msife moyo

  • @emmanicko1535
    @emmanicko1535 12 днів тому

    Kwa akili yangu naondoka zangu na makovu yangu baada ya kupona ntarudi na sumu ya panya ☠️

  • @eddytheophil7626
    @eddytheophil7626 15 днів тому

    Polen sana ndugu zetu..

  • @tabithalimo2399
    @tabithalimo2399 7 днів тому

    😢duh

  • @mtabevilaini6527
    @mtabevilaini6527 15 днів тому +2

    Yaan barabaran unampa mtoto wa mtu pipi?

  • @Dik770
    @Dik770 15 днів тому +1

    Jamani wkt huu usithubutu kusaidia mtu hasa mtoto ktk mazingira ambayo watu hawakujui bora utoe taarifa kwanza kwa watu walio karibu

  • @DaudyMlaule-b1m
    @DaudyMlaule-b1m 15 днів тому +4

    Kwann mpe mtoto usiye mjua pipi

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 11 днів тому

    Yaani huko tunakoelekea hata ukimkuta mtoto wa mtu anakufa barabarani tutashindwa kumsaidia sababu unawezaambiwa ni ww umpe dawa ya usingizi umbebe.Mungu atusaidie.

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 12 днів тому

    Watu wanaiba watto kwa kuwapa pipi so kama sio watekaji hacheni kujifanya wasamaria mwema nchi imeingia vitan ssi kwa ssi hatuaminiani sasaiv watto wanatekwa na kuriwa,,,ivyo wananch wanamaumivu sana,,,mnajua kabsaa pipi ndio chanzo kinacho kamatisha watto ivyo mkiwapa pipi watajua kabsaa ndio ware ware aisee nchi imearibka hii

  • @RosemaryShilla-dr6kp
    @RosemaryShilla-dr6kp 9 днів тому

    Poleni sana ndugu zetu ulimwengu huu jamani

  • @bahatadof5543
    @bahatadof5543 13 днів тому

    Pipi za Nini,na alipata wapi pipi,kidhibiti gani kwani ukiteka unatakiwa uwe na kidhibiti gan

  • @AsungaSteven
    @AsungaSteven 11 днів тому

    Kweli kabisa wachunguzwe vizuri kwani hali siyo nzuri kabisa

  • @neemajohn9024
    @neemajohn9024 13 днів тому

    Pole sana shemela wangu

  • @user-nh9pp8xe2g
    @user-nh9pp8xe2g 14 днів тому

    Ukifika kwa watu uliza wanaishije wairagw hawatoei chakula kwa mtoto wa mtu hata kama ni jirani yako.sasa hamulizi hawa wanaishije

  • @BaadayazkFalaja
    @BaadayazkFalaja 3 дні тому

    Pol

  • @user-to2co7qm2k
    @user-to2co7qm2k 15 днів тому +3

    Mhh hii mbona mm siamini

    • @siaammo1104
      @siaammo1104 15 днів тому

      Hiyo habari niya kweli kbs

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 15 днів тому +1

      Utaamini tu siku ikikutokea. Mim kuna siku tulikuwa kwenye daladala tumebanana nikawa natoa simu yangu mfukoni kwa shida kuna mzee alikuwa tumekaa siti moja akasema nampapasa nataka nimuibie

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 15 днів тому +4

    Hao njiwa nao mnapeleka wapi Tena majogoo nao nihitihani sana harafu wewe Rasta unauliza unakotoka hatamkoa wenyewe umeusau mbona havieleweki uchunguzi ufanyike zaid sikuhizi Dunia imeharubika sana usimuamini mtu hata kidogo sio kwamba namhukumu mtu laaa mungu ndio mjuzi wayote🙏🙏🇹🇿

    • @user-cv7vm1mx9d
      @user-cv7vm1mx9d 15 днів тому +1

      Kuna jambo hapa

    • @stephenrwaich1078
      @stephenrwaich1078 15 днів тому

      kwa ufupi ni kwamba rasta alipigwa hadi amesahau hata alipotoka.siyo kosa lake.tusiwe wepesi wa kulaumu na kuhukumu.tumwachie muumba

    • @charleskibiki217
      @charleskibiki217 15 днів тому

      Mnajibu comenti kifara sana imajin ungekua wewe Hawa walikodiwa kwenyeshuhuli yaupishi kwenda kupika nyumbani sio kwaajili ya kusave Hawa walienda kupika kwahiyo vituvyote walivikuta Kyle huwez jaji mtu, et mbona hawakuwa wamebeba masufuria ,, coz Hawa wamehama mkoa mmoja kwenda mwingine ,,acheni kuwatia doa

    • @user-xl4ik1pj1p
      @user-xl4ik1pj1p 15 днів тому

      Acha ukuma ww

    • @user-xl4ik1pj1p
      @user-xl4ik1pj1p 15 днів тому

      Iko iv ili tukio lilio tokea mm nimpo shida ya wilaya ya mbulu kua ukabila Sana alafu na watu wauku wako nyuma Sana wauwelewa kichani awo watu awako kosea ata kidogo ila uku watu wako nyuma Sana japo kua kana baazi yao niwaelewa Sana Ila wengi nawana uwelewa naata Kiswahili atujuh sasa mtu kama uyo utamueleza nn akuelew wakati uelewa ana na Kiswahili ajuh

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 15 днів тому

    WATEKAJI HAWAWEZI KUA HAO INATAKIWA WANANCHI TUNUNUE MISHALE WATEKAJI HAWAKOSI RISASI YANI TUKIONA TUKIO MTU ANACHUKULIWA NA GARI ISIYOJULIKANA NI MISHALE KAMA YOTE WATAACHA TU UJINGA WAO

  • @MngwaliAllykizangwa
    @MngwaliAllykizangwa 15 днів тому +13

    Hakuna haja ya kuwa mkalimu saaana hapa duniani ,zama za mwisho hizi.

    • @stephenrwaich1078
      @stephenrwaich1078 15 днів тому

      Zama za mwisho kwako na kizazi chako.umeshakata tamaa ww na kizaz chako

  • @EmmanueliZani-ur9bi
    @EmmanueliZani-ur9bi 15 днів тому +1

    Laiti mambo kama haya yangemkuta ndugu wa Tulia Ackison, ndipo Tulia angejua kwamba hii Nchi imefika pabaya.
    Huwezi kuumiza watu hivi kwa hisia zako zisizo na uhakika.
    Poleni sana ndugu.

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 13 днів тому +1

      @@EmmanueliZani-ur9bi Hao ni majambazi walitumia mtoto kama kisingizio ili wawaibie hao wenye gari.

    • @user-lt1bi5nr1x
      @user-lt1bi5nr1x 13 днів тому

      Utawajuaje

  • @johnymelkiory5451
    @johnymelkiory5451 15 днів тому +1

    Watu wa arusha bana mnawapa pipi watoto wa wenzenu kwa sababu zipi embu kuweni kama watu wa dar watoto wa wenzetu kwanza ukimkuta njian na gar unamgonga

  • @lucypeter7804
    @lucypeter7804 14 днів тому

    Mungu rehema zako ziwe juu yetu Tz😭😭

  • @user-yv7xg4em4s
    @user-yv7xg4em4s 15 днів тому

    Mh Rasta pole maana kunyolewa rasta tena na panga kweli .poleni

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 13 днів тому

    Ukiwa na gari usishangae shangae mitaani mtakufa unagawa pipi mtoto kakuomba pipi mtakufa

  • @antonychitara5707
    @antonychitara5707 13 днів тому

    Hao jamaa ukichunguza kwa makini utaelewa kitu,,, 1, cm zote haziwez kuzima kwa pamoja,, hyo cm walimpgiaje mleta tairi,,,, 2, haiwezkan husielew lugha inayoongelka kijiji cha jilani yako😂😂 hao ni wenyewe

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 15 днів тому

    Nimependa maana tumechoka na matukio nchi hii,Wenda wakiona hv wataogopa

  • @NestoryMgaya-wr7zn
    @NestoryMgaya-wr7zn 15 днів тому +1

    Sasahivi hatupaswi kuwapa watoto chochote hata kwa upendo kwamaana kuna taharuki kubwa

  • @DeoAnney
    @DeoAnney 14 днів тому

    Poleni ndugu zangu ilikuwa hatari

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 15 днів тому

    Hiyo.yooote ni vile serikali inakaa kimy kuhusu utekaji watu wataumizwa sana i seeee😢😢😢😢

  • @HamdanAmli
    @HamdanAmli 13 днів тому

    Takuwa nikweli mnateka watoto kwanin uumpe pipi mtoto?? Kwan alikuomba ??

  • @wilfredyhumphrey918
    @wilfredyhumphrey918 11 днів тому

    Jamani poleni sana huyu kaka hananga makuu kwanini watu wajichukulia Sheria mkononi
    Na diwani ni mlizi waamani iweje asimamie uvunjifu wa sheria

  • @davidmalisatv7031
    @davidmalisatv7031 12 днів тому

    Nyie wairak acheni ushamba mnapiga watu wasio nakosa yani uzeni ng'ombe watu wapone na jela muende

  • @DotoS12
    @DotoS12 13 днів тому

    Poleni

  • @elizabethnelson583
    @elizabethnelson583 14 днів тому

    Mnawapa watoto wawatu oili za nini momeshwe.

  • @patrickalfred3680
    @patrickalfred3680 15 днів тому

    Hii yote inasababishwa na uongozi unaposhindwa kuweka usalama kny maeneo yetu
    Kwahiyo watu wanaamua kuchukua tahadhari wenyewe ili hali sio sahihi

  • @lilianwaflotina1288
    @lilianwaflotina1288 15 днів тому +1

    Mi ndo maana sipendi kutenda wema kabisa

  • @user-ty2kc5jy7s
    @user-ty2kc5jy7s 15 днів тому +1

    Wema umewaponza ndugu zangu mimi kuna siku nilimuita mtoto albino kule bukoba mjini tukasalimiana nae vzr yupo na mwenzake na nilikua na gari la ges tunrboy akampa elfu moja ila sintorudia tena 😢

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 15 днів тому

      Tena husirudie😢,tena huko bukoba ndo MTOTO wetu mzuri ASIMWE,walimuuwa huko,yani acha kabisa😢

  • @barikibenson4678
    @barikibenson4678 14 днів тому

    Leo ndio nimejuwa kuna neno (kushangaliwa)

  • @annaandrea2812
    @annaandrea2812 14 днів тому

    Na hizo pipi kuna nyingine wanachanganya na madawa ya kuleva mtoto akipewa tu anaanza kulewa kwa hiyo inakuwa raisi kumbeba kama vile amelala tuwe macho hakuna cha mwanamke wala mwanaume hii biashara inafanywa na mwanaume na mwanamke kuweni machooooo

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 15 днів тому +1

    Hayo ni majizi hakuna cha kuteka watoto wahuni

  • @alluminiumexperttz.12mview13
    @alluminiumexperttz.12mview13 15 днів тому +1

    Kwaiyo walimpa mtoto pipi sio? Na simu zote zikazima chaji sio? Basi hamna shida

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 15 днів тому

    Allah atustiri yaarab siku hizi watu wana ogopa mambo yame haribika

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 15 днів тому

    Na Arusha Kwa laana tue mbk taarifa zao nishazichoka kabla ya kuendelea na habar

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 15 днів тому +7

    Tunataka hiyo arusi.ambayo.mlienda kupiika

  • @user-nu6ge7rg7n
    @user-nu6ge7rg7n 15 днів тому

    Ww kaka umewaponza wenzio kwa kumpa mtoto pipi wakati unajua hali ilinvokwa Sasa

  • @delsonandrea5223
    @delsonandrea5223 15 днів тому +2

    Mm nasema kwel huyo Rasta ndo kawaponza mpaka mnapigwa ni mcheza mpira au ni msanii unafuga Rasta huna kipaji chcht unaonekana muhuni tu😅

  • @user-bl1tx8fc9v
    @user-bl1tx8fc9v 15 днів тому +1

    Hizi zama jmn mi sishangai haya kutokea , kila cku watu wanachukuliwa na watu wasiojulikana , watt wanapotea ko watu hawana amani

  • @CatherineMbatta
    @CatherineMbatta 15 днів тому

    Ubaya ubwela poleni Sana ndugu zangu kila mtu anageuka polisi jamii

  • @user-rl8ft3cu2q
    @user-rl8ft3cu2q 15 днів тому

    nchi sasahiv inatakiwa iwe ivii bado wale walawiti na wabakaji

  • @BarakaKimambo-u6g
    @BarakaKimambo-u6g 14 днів тому

    Duuuh mama Samia wasaidie Hawa wananchi wako wasaidie uwape hata gari nyingine

  • @user-nh9pp8xe2g
    @user-nh9pp8xe2g 14 днів тому

    Muwe mnasikiliza mitandao wanaoteka watoto wanawapa pipi kwa nini mnawapa pipi watoto msiowajua? Poleni sana

  • @DotoS12
    @DotoS12 13 днів тому

    Kw. Nn muwape watoto pipi? Hali imeshakuwa mbaya ,

  • @user-oo1vz3zi1t
    @user-oo1vz3zi1t 13 днів тому

    Mh poleni sana kwasasa hatuaminiani jamani Mungu saidia

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 15 днів тому

    Kwann mnampa mtoto pipi? Usirudie tena, hata kutoa lifti ni dhambi kubwa

  • @user-fj4kj8xc5x
    @user-fj4kj8xc5x 15 днів тому

    Saizi haitakiwi kumwamini mtu kutokana na matukio yanayo endelea tanzania ,kwasababu saizi kila mtu ajilinde mwenyewe .

  • @salamasefu5494
    @salamasefu5494 15 днів тому

    Poleni sana

  • @davidmalisa8043
    @davidmalisa8043 8 днів тому

    Washamba tu hao

  • @chadtandiko7688
    @chadtandiko7688 15 днів тому

    Njiwa....daah sasa njiwa kwenye gari mnapeleka wapi hzo pipi si mngewapelekea watoto wenu

  • @mirajiabdallah1339
    @mirajiabdallah1339 15 днів тому

    poleni sanaa

  • @cydrahope5251
    @cydrahope5251 15 днів тому

    Huyo kaka akacheck afya ya inni

  • @annaandrea2812
    @annaandrea2812 14 днів тому

    Yaani hata mimi mwenyewe ukimpa mtoto wangu pipi sitakuelewa maana hizo pipi ndo zinatumiwa kuteka watoto

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 15 днів тому

    NA NYIE MLIKUWA MNAWAPA PIPI ZANN?HAO WACUNGUZWE HY ARUSI KM NI KWELI.