MAZISHI YA MCHUNGAJI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 10

  • @rachellyimo6339
    @rachellyimo6339 15 днів тому +1

    Pumzika kwa amani Baba yangu Mchungaji E.lyimo,, upendo wa pekee tutaumisss. U re still live in our memory😭😭,,,. Poleni sana ndugu zangu .

  • @GoodluckGodfreyNgomuo
    @GoodluckGodfreyNgomuo 13 днів тому

    R.i.p nitakumbuka Sana mwalimu wangu wa kipaimara na mchungaji wangu uliyejitoa kwetu Mungu akurehemu😭

  • @yesseanase4779
    @yesseanase4779 15 днів тому

    Utukufu kwa Mungu kwa maisha ya huyu Mchungaji Babu

  • @DorothNgomuo
    @DorothNgomuo 15 днів тому

    R. I. P poleni Sana familia Mungu awe faraja yenu

  • @WilfredMsechu
    @WilfredMsechu 15 днів тому

    Usharika

  • @HappyUrassa-v8h
    @HappyUrassa-v8h 13 днів тому

    Nitamkumbuka kwa ukarimu wake kwa wadogo, na wakubwa mpaka kwa wanyama. Raha ya Milele umpe eeh Bwana.

  • @WilfredMsechu
    @WilfredMsechu 15 днів тому

    Anazikwa wapi

  • @WilfredMsechu
    @WilfredMsechu 15 днів тому

    Anazikwa wapi