JUSTIN KESSY:AHADI ZINAFANYA MECHI ZA SIMBA KUWA NGUMU,BOKA NI BORA ZAIDI ZAIDI YA LOMALISA YANGA!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лют 2025
  • #uchambuzi

КОМЕНТАРІ • 7

  • @AbdulikheliAmri
    @AbdulikheliAmri 7 днів тому +1

    Nakukubari mwamba

  • @mubatwalibo3745
    @mubatwalibo3745 7 днів тому +2

    Wachambuzi wa yanga bwana 😂😂😂😂😂

  • @mohdbest9488
    @mohdbest9488 7 днів тому +1

    Justin messy weee uchambuzi hujui ila ushabiki kibu kwa sasa hueezi kumfananisha na mshambuliaji yeyote tz a hili mbali mzize ndio mana yanga wanamlilia qamsajili kama hujui

  • @zachariamishai7258
    @zachariamishai7258 7 днів тому

    Nilichogundua kuna wachambuzi wanaoujua mpira afu kuna wachambuzi wenye mihemko tu kutaka kuonesha wanaujua mpira kumbe zero brain 🧠 ...Huyu bro Justin mpira anaujua 🙌

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 7 днів тому

    WEWE MWANDISHI NI MWONGO SANA HATA WAKIWEPO WACHEZAJI WOTE SIMBA ITASHINDA KWA UWEZO WA MUNGU
    HUYU MDADA C AULIZEKWA WAO WENYEWE? HUO NI UCHOCHEZE WA HUYU MDADA.

    • @dawayao2837
      @dawayao2837 7 днів тому

      huyu justine hajui kuchambua mpira yupo kiushabiki sana upande wa chura😂 hebu afanye akaangalie kina mkalaboko, chuma cha mjerumani alafu arudi tena

  • @dawayao2837
    @dawayao2837 7 днів тому

    huyu jamaa ni chura😂😂