M23 NI WACONGO SIO WARWANDA, SASA KWANINI IWE NI TATIZO KWA RWANDA - KAGAME, TUTAILINDA NCHI YETU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лют 2025
  • Vita ya Congo na M23 leo
    If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
    COPYRIGHT VIOLATION
    For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.

КОМЕНТАРІ • 372

  • @ymohammed963
    @ymohammed963 7 днів тому +8

    Uliishi kwa raha sana sasa unataka kujuta na kurudi nyuma...acha vita. Uishi na watu wako vizuri

  • @emmabrownmissana6996
    @emmabrownmissana6996 6 днів тому +8

    Kagame 👍💪👊😎🇹🇿

  • @samwelluhwago705
    @samwelluhwago705 5 днів тому +5

    Pamoja mzee.wetu

  • @JohnMacho-tn7tk
    @JohnMacho-tn7tk 2 дні тому

    I support you sir ❤

  • @DianahWawire
    @DianahWawire 2 дні тому +1

    Wee ni mjinga Sana 😊

  • @nenolauzima5281
    @nenolauzima5281 5 днів тому +3

    Well said

  • @jonathankessy9615
    @jonathankessy9615 7 днів тому +7

    NASEMA KWA SAUTI KUBWA
    NINYI VIONGOZI WA AFRICA MSIKUBALI KUCHONGANISHWA NA WAZUNGU
    HAWATAKI UMOJA WATAIBUA LOLOTE MKOSANE AFRICA IENDELEE KULIWA
    HEBU AMKENI BHANA
    KAGAME NAAMINI HUNA HATIA
    PLEASE LET AFRICA UNITE
    LET US HAVE THE UNITED STATE OF AFRICA
    GOD BLESS BOTH SIDES

    • @niyoyitajackson8105
      @niyoyitajackson8105 6 днів тому +2

      Uko sahihi Brother wasikubali

    • @bromanfexxaofficial935
      @bromanfexxaofficial935 5 днів тому

      Kagame ndie kirusi wanachotumia wazungu kutupiganisha ni muda si mrefu huyu mzee ataingiza Tanzania 🇹🇿 vitani ni vile atajaribu kuchukua maeneo jirani na tz itaingia vitani

    • @kelvinjoshua1503
      @kelvinjoshua1503 5 днів тому

      @@bromanfexxaofficial935 Kagame ni kaipambania sana Rwanda nenda Rwanda ukaone walivo organized fananisha na nchi yoyote Africa kule no corruption hata kuongeza maji tu kwenye maziwa kinakulamba hakuna alie juu ya sheria Miss Rwanda aliendesha gari akiwa amelewa aliwekwa ndani miez 6 na akatumikia kifungo

    • @bromanfexxaofficial935
      @bromanfexxaofficial935 5 днів тому

      @@kelvinjoshua1503 kuna wahutu kule kweli???

  • @innocentfortunatus725
    @innocentfortunatus725 7 днів тому +21

    Nakukubali mzee wetu be blessed

  • @Maduakanyamanza
    @Maduakanyamanza 14 годин тому

    You are clear the problem is UN force in DRC

  • @rodgersjuma633
    @rodgersjuma633 5 днів тому +3

    He's full of airs! Powersick leader, there he is

  • @earlybird8087
    @earlybird8087 7 днів тому +10

    I have no words to express my love and joy for! I am
    So grateful to have you as our president! Time will tell, they want us disappear, but guess what “ we will multiply!”

    • @AgustaZaile
      @AgustaZaile 7 днів тому

      @@earlybird8087 you will disappear no matter what

    • @earlybird8087
      @earlybird8087 7 днів тому

      @ you are already disposed, so I don’t have to worry about you, you are dead living with lotten mind and dead heart.

  • @Princearriz258
    @Princearriz258 7 днів тому +16

    Nakukubali sana Mzee umefanya Mozambique mji wa Cabo delgado uwe na AMANI Sasa

    • @AbuuRuqaiyyah
      @AbuuRuqaiyyah 7 днів тому +2

      Alichemka ilibidi jeshi la tanzania 🇹🇿 likasaidie

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 7 днів тому +2

      ​@@AbuuRuqaiyyah mara ya mwisho rwanda ndo imefagia

    • @AbuuRuqaiyyah
      @AbuuRuqaiyyah 7 днів тому

      @@adamhashim3352 mpaka sasa jw ndio ipo mzigoni inawachakaza vibaya sana .ndio maana hata raisi aiyetoka madarakani filipe nyusi akija sana tanzania 🇹🇿 kwa watuliza vulugu nchi jirani.waulize Comoro na burundi tulivyowafanyia mission na amani kupatikana

    • @Princearriz258
      @Princearriz258 7 днів тому +1

      @@AbuuRuqaiyyah hapa kk jeshi la Tanzânia alijawai kuingia msituni kupigana na wale jamaa ripo namatili na nangade

    • @sharifumgwassa-oq3uj
      @sharifumgwassa-oq3uj 7 днів тому

      hujui usemalo kaka, kwataarfa yako kagame mwenyew anavoseema POWERFULL COUNTRIES OF OURS unazan hapo anamaanisha nchi gani katika ukanda wetu...?? fuatilia vzr
      . ​@@Princearriz258

  • @YollandeMukantabana
    @YollandeMukantabana 7 днів тому +21

    Kwa kweli M23 ni wakongo si wa Rwanda Kagame anahusikaje ?

    • @sebastiancharo4247
      @sebastiancharo4247 7 днів тому

      Kwa nini anataka awe kwa mazungumzo na RAIS wa KONGO ndo vita viishe?

    • @GerardMurenzi-p4l
      @GerardMurenzi-p4l 7 днів тому +2

      Its because u dont know,about history of Rwanda

    • @GerardMurenzi-p4l
      @GerardMurenzi-p4l 7 днів тому +2

      We salute you Mr President,we proud of your our Hero

    • @khamisjinnah9857
      @khamisjinnah9857 7 днів тому +1

      Acha ujinga wewe kuwafadhiri waasi hakuhitaji kuwa raia wako
      Bado hupo mbali sana

    • @khamisjinnah9857
      @khamisjinnah9857 7 днів тому

      Umoja wa mataifa unathibitisha Hilo la ufafhiri

  • @reubenhebron2506
    @reubenhebron2506 7 днів тому +5

    Hekima ya kujieleza unayo, stay blessed Mr president

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix 4 дні тому +2

    kagame wakijichanganya fyeka ote usicheke na kima

  • @yeyaboy8045
    @yeyaboy8045 5 днів тому +2

    Huwavimbia wanyonge huyu aje ajichanganye Bongo akimbie kama Idi alafu hii vita ikiamishiwa kwake ndio ataelewa vizur ana fadhili slaha

  • @kavakurejeanBaptist-nk7jz
    @kavakurejeanBaptist-nk7jz 7 днів тому +8

    Hongera raisi wetu

  • @oliviermpumuro6669
    @oliviermpumuro6669 7 днів тому +1

    Asante sana Sir your message is very clear
    Tchisekedi and alliers must understand very well.

  • @ayii779
    @ayii779 7 днів тому +5

    Uwiteka akuturindire, arinde abanyarwanda, ukomeze utube imbere HE PK❤

    • @asrymohd6690
      @asrymohd6690 7 днів тому

      Fala nyinyi guseni kwetu muone

  • @mombasa534
    @mombasa534 7 днів тому +12

    This man is a madman

    • @Mashami-w5
      @Mashami-w5 7 днів тому +6

      Mad is your mother

    • @AngeliqueMuhorakeye-k5i
      @AngeliqueMuhorakeye-k5i 7 днів тому +1

      You share medication with him and his getting better your is just stard

    • @JulixYung-kw2tr
      @JulixYung-kw2tr 7 днів тому

      If you know history shut up. Rwanda was worse than Congo and Congo remain because of stupid leaders who are selling Gold and financed individually to destroy their country

    • @YustinaNemes
      @YustinaNemes 7 днів тому

      😂​@@Mashami-w5

    • @ernestsinje9700
      @ernestsinje9700 7 днів тому

      So M23 is financed by Kagame because of stilling minerals and on back of it must be big nation who is supporting Kagame ....now I understand

  • @sabrabeka1975
    @sabrabeka1975 7 днів тому +7

    Yetu macho😅

  • @Mitama49
    @Mitama49 5 днів тому +2

    Fact

  • @nyinarukundoautoninette732
    @nyinarukundoautoninette732 7 днів тому +3

    Ndagukunda papa Uwiteka akongerere imbaraga

  • @MaestroDavid-j5m
    @MaestroDavid-j5m 7 днів тому +6

    Hahaha anaogopa vita tena 😂😂😂😂 Kagam mwisho wako unafika 😂😂😂

    • @MukarusineEsperance
      @MukarusineEsperance 7 днів тому

      Utafika lini ndugu yangu

    • @lotilembrayan9524
      @lotilembrayan9524 7 днів тому

      @ maestroDavid..what are you saying??

    • @isaacpatron7428
      @isaacpatron7428 7 днів тому

      Mutapiga marufuku mpaka kwa mama zenu you idiots. Are you relying on South Africa's speech?????? Come quickly.

    • @endayishimiye97
      @endayishimiye97 6 днів тому

      Anaogopa vita?😂sasa wewe huogope mbona ulikimbia Goma😂

    • @endayishimiye97
      @endayishimiye97 6 днів тому

      Anaogopa vita?😂sasa wewe huogope mbona ulikimbia Goma😂wewe FDLR😂

  • @DumbaYassin
    @DumbaYassin 4 дні тому +1

    Kagame akankanye

  • @JohnsonMushi-n4g
    @JohnsonMushi-n4g 7 днів тому +3

    Hongera sana Kagame,tunakuunga mkono,banyamulenge wapiganie nchi yao

    • @jacksonsilaa415
      @jacksonsilaa415 6 днів тому

      Banyamulenge ni nani na mnyaruanda ni Nani kama huwajui hawa utaamini maneno ya Kagame JASUSI mzoefu

  • @amisimtambala12
    @amisimtambala12 7 днів тому +10

    Wewe sio mungu wahii ndunia marahii utapigwa.

    • @Mashami-w5
      @Mashami-w5 7 днів тому +1

      Pumbafu

    • @stefanomasolwa8979
      @stefanomasolwa8979 7 днів тому

      Yani kanajingamba sana acha siku yako ipo utajuta na kusanga Meno

    • @stefanomasolwa8979
      @stefanomasolwa8979 7 днів тому

      ​@@Mashami-w5 ni Mkosa Akili kweli kabisa

    • @MbeleciMukandama
      @MbeleciMukandama 7 днів тому

      Basi karibu ujaribu kijana utapew dawa

    • @cyusajohn6513
      @cyusajohn6513 7 днів тому

      nawewe pia utakufa nazani utafariki kama umbwa halafu yeye ni kama bwana kwa matendo yake

  • @yapukahassan
    @yapukahassan 7 днів тому +15

    mimi naona mchongo wa wazungu wataka kutuchonganisha, huyu jamaa yupo straight

    • @raphaelkessy7360
      @raphaelkessy7360 7 днів тому

      Zaidi yaku uwana wenyewe naku uwa Raiya wa Congo DRC Rwanda ili pigana vita wapi?😂

    • @issalyanali4119
      @issalyanali4119 7 днів тому +3

      Kagame nchi take inatumika kusafirisha madini ya Kongo ,,,awamu hii Bora vita waihamishie nyumbani kwake alafu alone adha ya wanainchi kuwa wakimbizi.u!bwaaa huyu

    • @Muba-Gucci-TV
      @Muba-Gucci-TV 7 днів тому

      ​@@raphaelkessy7360fatilia majeshi ya Rwanda yako inchi ngapi yanapigan?

    • @RichardRutembesa-ns1kn
      @RichardRutembesa-ns1kn 6 днів тому

      ​@@issalyanali4119acha kubwekea kwapani!!Rwanda wanajijua wenyewe

  • @MgayapAthumani
    @MgayapAthumani 4 дні тому

    Umeshafika ngoja akutane na makombora ya masafa merefu Africa kusini hiyo kigari mda mchache jivu na unajua maisha ya kinafiki

  • @akilimalinjau4464
    @akilimalinjau4464 3 дні тому

    Huyu mzee mwongo mwongo sana

  • @MalamboSelijus
    @MalamboSelijus 7 днів тому +19

    ipo siku utapigwa tulia

  • @Aidakaino-y4j
    @Aidakaino-y4j День тому

    Acha upingwe ndo useme ukwl😂😂😂😂

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix 4 дні тому +1

    congo msimsingizie kagame hiyo vita ni yenu m23 ni wacongo wenzenu sasa mkimgusa kagame atawamaliza

  • @ansethkasereka7611
    @ansethkasereka7611 7 днів тому +8

    Mungu Ana ku subiri kwenye kiti ya hukumu damu mingi ume mwanga,kwa nini u tese bina damu Kama wewe

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 7 днів тому +3

    Mwl Nyerere amewah kusema Masai wa Tz waende Kenya au Mzee Moi awez kusema Masai wa kenya waende Tz je ukisema ivo utawahamisha na Aridh Yao ya asil?

  • @rommyshabby3959
    @rommyshabby3959 7 днів тому +3

    Kama ni wacongo man why uingize jeshi lako kwenye ardhi ya watu waache m23 wapambane wanyewe kama ni wanaume kwel, pia tunakujua ww ni kibaraka, ulimuua comrade Fred gisa rgweyma, Fred alikuzidi kila kitu

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 7 днів тому +2

    Ya zamani hio video

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 3 дні тому

    Bora umeongea nana wa east Afrika tulianza kukuona ww mbaya kulingana na wanavyo kuchafua ukweli umeuweka wazi haiwezekani hao UN majeshi yapo kwa miaka zaidi ya 30 na hawajaleta suluhu, hivyo vikundi zaidi ya 120 vya kigaidi vinawezaje kuwepo ndani ya nchi wakati ilitakiwa vifwekelewe mbali, pia siraha zinaingiaje kuwafikia wahalifu hao hiyo serikali pamoja na wazungu nadhani wana ajenda zao za wizi wa madini na hiyo aibu wana msingizia kagame wa watu😂😂😂

  • @FredPhillipo
    @FredPhillipo 7 днів тому +2

    Haya yote munayoyaona tyari wazungu Njia za Kwenda kuiba madini hazipitiki Sasa wanasingizia huyu Mzee Kagame Yani mzungu atoke uraya aje kuhangaika Africa Bure haiwezekani kamwe

    • @jacksonsilaa415
      @jacksonsilaa415 6 днів тому +1

      Mwizi ni Kagame Rwanda imejengwa na property toka Congo,madini yote yako Congo

  • @sommnetengineeringltd6117
    @sommnetengineeringltd6117 7 днів тому +5

    Njoo uungane nawezako kuwachapa m23 ndo tukuamini

  • @PAULZACHARIA-l8u
    @PAULZACHARIA-l8u 7 днів тому +4

    Kagame yuko sahihi Wakongo wajitafakali kwa kina waelewe mambo yalvyo na watatue matatizo yao waache kuisingizia Rwanda na Kagame kiongozi mzuri Namkubalii

    • @achawanunetv1167
      @achawanunetv1167 6 днів тому

      Kiongozi gani mzuri na wakati anawanyanyasa wautu?

    • @RichardRutembesa-ns1kn
      @RichardRutembesa-ns1kn 6 днів тому

      ​@@achawanunetv1167hujui kitu !! Wivu ni Ugonjwa! Rwanda msituchukulie Poa!! Tunajijuwa sehemu tumetoka !! Nyie bwekeni tu

    • @deohabi
      @deohabi 6 днів тому

      ​@@achawanunetv1167arinyanyasa nani unamjua wapi? Murikutania wapi?

    • @RwamoIdi
      @RwamoIdi 6 днів тому

      ​@@deohabi tzd jeshi lenu kimia wamekimbia kitambo!!! Hahhhh

    • @TwizeyimanaAssuman
      @TwizeyimanaAssuman 2 дні тому

      Wewe ni kicwa maji tu,mbona akili zenu zimecemuka ,kagame Hana tatizo lolote ,wahutu walio wuwa watu,ndio noma kwake,na Kuna wengine wengi huko Rwanda wanaishi kwa Raha na Amani ,kwa Sasa Leo Rwanda hakuna wa Hutu na hakuna watusi wote ni wanyarwanda alafu nyinyi hamjui kinacho endelea Rwanda ya Leo, ndugu zangu wa Tanzania mbona mnazidi kumcukia Mheshimiwa Raisi Kagame amewakosea nini?? tulieni​ muache ujinga kwa jirani yenu @@achawanunetv1167

  • @Jgjgjggjaieifhfv
    @Jgjgjggjaieifhfv 7 днів тому +5

    Mzee upende usi pende hauta maliza umwaka uko raisi uta pigwa anytime wewe njiandae tuh macho tuna kupa you are hypocrite bad father in World

  • @sadikiaji2003
    @sadikiaji2003 5 днів тому

    Kagame unazingua goma wewe ndio sababu mimi shuda

  • @bahatimuzerwa
    @bahatimuzerwa 7 днів тому +5

    Kalame ana ogopa vita inafika mwisho

  • @abdallahissammeta241
    @abdallahissammeta241 4 дні тому

    Usijitetee kwa kusema M23 ni wa Congomani na kwa maana hiyo eti una husikaje? Usi tufanye cc watoto , wewe una biashara nao Una wapa mahitaji ya wao kutaka kuipindua serikali yao na wao wana kuletea Madini Usituigizie bhaaana Mzee, Acha kuwa fadhili na uache biashara nao

  • @YehudabanYerushailēm
    @YehudabanYerushailēm 7 днів тому +3

    Huu mzozo unahitaji ufahamu mkubwa sana kama kagame ni mwizi kwanini wazungu wampinge nina mashaka na serikali ya kinshasa uenda ni kibaraka wa wazungu na eneo lenyewe lina mali sana

  • @twalibkoga8901
    @twalibkoga8901 4 дні тому

    Kagame ukizingua tunamrudisha kikwete akunyooshe 😂😂😂

    • @Mutako-ig1ik
      @Mutako-ig1ik 4 дні тому

      Haaaaaa munazani kama aliweza kumuuwa Magufuri anaweza kila mtu kikwete wenu aliye weza kuiuza nchi yenu munazani anaweza kuiuza na Rwanda 🇷🇼

    • @frankhoffa8356
      @frankhoffa8356 3 дні тому

      Muulize mmalawi​@@Mutako-ig1ik

    • @frankhoffa8356
      @frankhoffa8356 3 дні тому

      Huyu mzee ni msenge anatamaa sana na mali za majirani huyu

  • @hamishatibu699
    @hamishatibu699 7 днів тому +1

    Kwa nin kamfukuza msemaji wa jeshi lake jana baada ya kusema FADRC wameingia rwanda kisenyi na yeye alishasema hii vita watapigana ndani ya congo na sio Rwanda, Kishedi ameamuru jeshi lake livuke mpaka baada ya jeshi la Rwanda kuingia goma sasa vita vinapina kwenye Nchi zote mbili kila mmoja raia wake waonje tamu na chungu

  • @MosesIsack-e6q
    @MosesIsack-e6q 7 днів тому

    Mnyarwanda bado anacheza sisi uku wakimuashia dude sisi uku tanapata faida make hanajipya kagame kanajinadi nini wakati ukubwa wanchi yake sawa namkoa mmoja wakagera😅

  • @muhsinmpakatika8242
    @muhsinmpakatika8242 7 днів тому +2

    Hii chanel inatumuka kufanya propaganda za rwanda apa tz.

  • @shinwakilimbi4359
    @shinwakilimbi4359 7 днів тому +1

    Wazungu wata kugeuka sasa hivi tu uta juta

  • @vokealutah4675
    @vokealutah4675 7 днів тому +5

    He's talking confidently coz he knows his fellow warmongers are backing him but time will tell...you will run but won't find anywhere to hide! Mark my words p.k!
    Mimi mkenya na am very sure ruto and museveni and their funders the west are supporting u...kile unatafuta utakipata buda boss!

    • @ngaboabdullatif384
      @ngaboabdullatif384 7 днів тому

      Wewe nyamanza wanayo yijua history ya chanzo ndio wa ongeye

    • @Hardykhaly
      @Hardykhaly 7 днів тому

      We’re Rwandans dear ..! We ran for so long , maybe you don’t know.

    • @sommnetengineeringltd6117
      @sommnetengineeringltd6117 7 днів тому +1

      Kwaushauri wangu kwa kagame.kuionyesha dunia kua hayupo nyuma ya m23 .aungane na wezake kuwapiga m23 nakuwaondoa kongo.

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 7 днів тому +19

    Strong leader Africa Paul kagame

  • @evansogutu4167
    @evansogutu4167 7 днів тому +1

    Vita avina mwenyewe....wewe utaenda wanainchi waumie

  • @Ba63828
    @Ba63828 7 днів тому

    Kagame jeuri sana acha mkwara Kasenyi imevamiwa

  • @AhmednasirMohamed-le3ht
    @AhmednasirMohamed-le3ht 5 днів тому

    Every prospering African country like libya sudan nigeria syria Iraq...

  • @DawaMrisho
    @DawaMrisho 5 днів тому +1

    Kuma weee

    • @Mutako-ig1ik
      @Mutako-ig1ik 4 дні тому

      Mama yako anayo ungeiheshimu bila kuma mama ako asingekuleta Duniani

  • @Henry-m8o
    @Henry-m8o 4 дні тому

    When the super power coughs, Rwandan military won't even shut a single bullet.Be humble and deal with the affairs of your country

  • @QaahtaQaahta
    @QaahtaQaahta 7 днів тому +1

    Is this the Pan-Africanism we are going for?

  • @kelvinfussi5210
    @kelvinfussi5210 6 днів тому

    Muda wa kuiacha dunia umekukaribia. Nenda kwa amani acha wengine waishi kwa amani pia

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 2 дні тому

    Huyu mzee Anaroho mbaya sana.Yaani congo imekutana na Jirani Muovu na kibaraka hatari sana.Umri huo Mrudie Muumba wako.Na uache Tamaa propaganda na Uongo.Kamba hukatikia pabovu huwezi kutajwa tajwa kama huusiki kivyovyote.Huo sio ujanja bali nikuacha historia mbaya katika historia ya Maisha yako.

  • @aksantimushagalusa96
    @aksantimushagalusa96 6 днів тому

    Utakufa vibaya mzee

  • @sammpaka9977
    @sammpaka9977 7 днів тому +1

    Pride goes before destruction, and a haughty spirit before a fall.” proverbs 16:18

  • @Kizigira
    @Kizigira 6 днів тому

    Asante Kagame. Thank you sir ❤❤❤❤. Kenya will support you. Chisekedi is a fool a tribalist trying to alienate Congo minorities in oder to take their land and reasource. Eastern Congo is very rich and Chisekedis home in Congo doesn't have much. So He is forcefully taking what belongs to them and neglecting the social and economy of the inhabitants. Shame on Chisekedi.

  • @jacksonsilaa415
    @jacksonsilaa415 6 днів тому

    Tuna ukuta ulijengwa Mirerani Simanjiro ile ni plan ya Kigali na ulinzi ulikuwa wa Kigali so Kigali akisikia mahali pana Mali ni hatari sana kwa Banyamulenge

  • @faizaannassir2568
    @faizaannassir2568 7 днів тому +3

    Good question. If m23 are not ruanda why is the ruanda problem. He is war mangers tusi tribalism mind nothing else. Congo brother wake up . Man .this war is about tusi and bantu. . We are crying to c our bantu family swahili speaking suffer on the hand of tusi .our bantu nations Tanzania. Kenya. Malawi. Zambi .extra S a wake up is peep than u think. This kagama has to be removed

    • @RAMPA_Dee
      @RAMPA_Dee 7 днів тому

      The government of Congo they don't know exactly their enemy because the enemy of Rwanda is FDRL not Congo, let Congo stop supporting FDRL and realize them to Rwanda where they come from everything will be good, Congo should handle their own issues

    • @janethfelicie6782
      @janethfelicie6782 7 днів тому

      @@RAMPA_Deeperiiiiooodd👌

    • @RAMPA_Dee
      @RAMPA_Dee 7 днів тому

      @@janethfelicie6782 that's the truth

    • @MihigoJohn-cb8cw
      @MihigoJohn-cb8cw 6 днів тому

      Why you do you stop putting swahili subtitle? And you @faizaannassir2568 you still believe in history written by colonial to divide africans about Nilotics and bantou theories. All Rwandans, burundians and people in eastern congo are bantou inclunding those you so called tustis.

  • @timothymakafu2848
    @timothymakafu2848 5 днів тому

    Bitter truth

  • @AnzoMtebwa
    @AnzoMtebwa 7 днів тому

    Kagame kila kina mwanzo kina mwisho umepora vyakutosha umetengeneza inchi yako masikini yakutupa sasa huyu ndo mwisho wako.

  • @mwakilamwaki7308
    @mwakilamwaki7308 7 днів тому

    Uyu mzee mwongo uyu sijawai kuonana

  • @maase2023
    @maase2023 7 днів тому

    Huyu kagame nguvu hana basi tu mdomo tu anao! Rwanda una jeshi 4000 tu ndege mig 21 zipo 6 tu lkn mdomo wake kama vile anamiliki nuclear😊

    • @JosephChrisant
      @JosephChrisant 7 днів тому

      Ana mikwala sana huyu mzee lkn moto ukiwaka atajua madhara ya uchokozi.

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 5 днів тому

    Huyu ni shetan aliyevaa ngoz tunapaswa kumuangusha

  • @MisheckMukanwa
    @MisheckMukanwa 7 днів тому +2

    Protect your country but not enter to defend ethnic groups.

  • @bakaribakari167
    @bakaribakari167 6 днів тому +3

    Wew leta siasa utapigwa kinchi kidogo alafu kimdomo tu

    • @RwamoIdi
      @RwamoIdi 6 днів тому

      Kimdomo? Ki vitendo wese!!

  • @JacquesTsongo-w3q
    @JacquesTsongo-w3q 7 днів тому +10

    Paul kagame shetani mkubwa, subiri siku si mingi, vita saitaingiya Rwanda ! Utadjuta

    • @NezaMerry434
      @NezaMerry434 7 днів тому +2

      Mungu akulaani pia

    • @stefanomasolwa8979
      @stefanomasolwa8979 7 днів тому

      ​@@NezaMerry434 huyu Mungu wetu anajibu kwa wakati wake Mungu halali

    • @GerardMurenzi-p4l
      @GerardMurenzi-p4l 7 днів тому

      Forget that

    • @GerardMurenzi-p4l
      @GerardMurenzi-p4l 7 днів тому

      Never never dont expect that

    • @msatibongonyuzi14
      @msatibongonyuzi14 3 дні тому

      Ww nae umekurupuka kagame hapo hana kosa lolote sema hao wanamsingizia kagame kuficha makucha yao, jiulize hivi kagame anapesa gani yakuweza kutawala nchi nyingine,pili ww kama raisi unawezaje kuacha kikosi kama hicho M23 kwa miaka zaidi ya 10 kikusumbue tena unaacha hadi kina toza ushuru wananchi, kinaingiza siraha na ww unaangalia tu kama sio kuna njama za kutorosha madini ya kongo

  • @JacksonJohn.
    @JacksonJohn. 5 днів тому

    Nchi 😂😂ndogo rais mzee mtapigwa mpanka mkome

  • @Jehhus_06
    @Jehhus_06 7 днів тому

    Umoja wa ulaya na rwanda ni wezi

  • @SalumKasala-lk1vv
    @SalumKasala-lk1vv 7 днів тому +1

    Mmmm uyu mzeebona ivoo

  • @OmyCrez
    @OmyCrez 7 днів тому +1

    Ukipigwa usitafute msaada japo nimekuelewa Kuna taifa kubwa linawagombanisha

  • @GroliaOdeth
    @GroliaOdeth 5 днів тому

    Faza wamekuchoka kuwa mpole sababu zinaanziapo kuwa makini mdomo uponza kichwa unaobishana nao ni maraisi wa awamu wewe wakudumu jiangalie watu wamesha choka😅😅😅😅😅 watakao kutafuna awoawo wanaokupigia makofi

  • @JacksonKivuyo-b1v
    @JacksonKivuyo-b1v 7 днів тому

    Wewe unashrikiana na wazungu kuiba madini ya congo na nchi Yako ndiyo njia

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 6 днів тому

    Jambazi hilo limeua raia wake dikteta sana hilo jamaa mtu ukileta maneno wanakumaliza chap hayo ni maneno ya kupooza tu lakini atachapwa tu kibaraka wa wazungu huyo mtutsi

  • @ELPHAZJAVANAMONAMON
    @ELPHAZJAVANAMONAMON 7 днів тому +2

    Unaanza kuhara tena

  • @isdorchuvu6280
    @isdorchuvu6280 7 днів тому +1

    Anaongea tu kujifurahisha ka nchi kake ni kama kamkoa tu...

  • @RahayirwaCelestin
    @RahayirwaCelestin 6 днів тому

    I❤kame you are Solomon rebirth in process of reincarnation sciences book

  • @guelordmuyenga8365
    @guelordmuyenga8365 7 днів тому +1

    kuma lamamako dunia ya leo unaona sisi ni wa jinga uli danganya kitambo siyo leo umbwa wewe umeuwa ndungu zetu miaka mingi sana

  • @DenisAntony-z7h
    @DenisAntony-z7h 6 днів тому

    Jamani tuache propaganda m23 ni wanajeshi wa congo waliyo asi serikali yao mbovu siyo wa Rwanda bhana Africa tuamke tuache blaa bllaaa

  • @halfaningatwanga3776
    @halfaningatwanga3776 7 днів тому +1

    jambo lolote lile ukilipa au ukiachia kitu kinachoitwa Muda HAPO ndiyo hutoa jibu sahihi, hivyo tusubili muda ndiyo utaamua ktk hii vita . Mungu ibariki Africa and Africans

  • @NezaMerry434
    @NezaMerry434 7 днів тому +1

    Awa wa m23 nikama wazungu wanao ishi south Africa walijikuta ni wazalendo wa south Africa🤔 sasa inci ikiwafkuza wataelekea wap???

  • @kavakurejeanBaptist-nk7jz
    @kavakurejeanBaptist-nk7jz 7 днів тому

    Tatizo ni vyongozi wa congo na sdc

  • @lilyabel2320
    @lilyabel2320 7 днів тому

    KAGAME MWISHO WAKO UMEFIKA UTAKUFA KAMA MBWA NA KUKUMU YAMUNGU INAKUSUBIRI

  • @rahimsadru-ct4ot
    @rahimsadru-ct4ot 7 днів тому

    Kagame mtu wa misimamo

  • @KaydahuranMchecheto
    @KaydahuranMchecheto 7 днів тому

    Wazungu wanatumia akili nyingi sana na nguvu nyingi kuwagombanisha na kuwagawa waafrika,ili iwe rahisi kwao kulitawala bara labafrika na waafrika wenyewe,na kujichukulia chochote kile wakitakacho.this is a new colonialism,onyo viongozi wa Africa msipokuwa makini mkaendekeza njaaa Africa itatawaliwa milele na milele.

  • @JacksonKivuyo-b1v
    @JacksonKivuyo-b1v 7 днів тому

    Jaribu kuchezea Tanzania uone moto siku moja tunachukua Rwanda

  • @taifakali1981
    @taifakali1981 3 дні тому

    Tandika. Hii watu Wacha upuzi yao

  • @MgayapAthumani
    @MgayapAthumani 4 дні тому

    Hayo maneno tu watu watapambana nawewe hakuna anaekuogopa na utaondoka tu

  • @MWAKASAGULE
    @MWAKASAGULE 7 днів тому

    Hivi huyu Mzee Kagame, ni kigugumizi kinamsumbua, au hajui kingereza vizuri? Maana naona ana scratch sana.

  • @alexmusambya5612
    @alexmusambya5612 7 днів тому

    The day the International community will decided to let you show your power is the day that you will know what you are nothing

  • @EnickoSanga-z8b
    @EnickoSanga-z8b 7 днів тому

    Yaan huyu mzee hyu

  • @MadjanguCallixtusManegu
    @MadjanguCallixtusManegu 7 днів тому

    Ujanja,Udanganyifu ,utumiaji wa wake watusi kuwaingilia kimapenzi na ujyasusi(intelligence) viongozi kazaa(hats wazingu) ndizo silaha za kidiplomadiya za Kagame

  • @DumbaYassin
    @DumbaYassin 4 дні тому

    Nkulamusiza konyo mukwano gwewena anonya okumanya