This guys wanapendana....... eagle ww😅😅😅 Musa akubali hakuwa anabuyia caro nguo zina onyesha figure, but he still cares🤷🤷🤷, na babygirl treatment ni a must ka unataka kutembea na dem mrembo lakini ka unataka kukuwa watchman then atakuwa cute bila dooh zako
Musa tunajua unampenda😂😂bado
unafikiria hapa ni giddy na ghost killed me 😂😂
eeeh my lord aki musa anaeza aiibisha mtu proper
Walaii mamanzi kama Wambrianga are few,humble kapole daaamn mungu kama huyu akih😢😢
I love this lady ❤ very humble and honest
Tumia akiliiiiiii😂😂😂😂
😂😂
Hawa Bado wanapendana walaai 😢😢❤
Musaa😂😂😂jamanii wire ya stimaaa...Luhyaas❤
This guys still love each other
Mnafaa kurudiana guys 😢😢
ua-cam.com/video/yqTIY2UbOyI/v-deo.htmlsi=opvFlTRG_SLz5yke
Kumbe wametoka mbali❤.warudiane bana
hawa warudiane tu😂❤..hii ni mapenzi si kuheal😂
Aiiih Musa si mwanaume akona ufala sana ata sijui caro n Dem mrembo sana
Huyo dem bdo anampenda musa,,mbna musa amemshow akunywe soda akakunywa😂😂😂
Ety dem anajibu maswali kama Ruto😂
Ety alikuwa anamiss mechi 😢😢😂😂😂😂
Kunywa hadi soda na anakunywa caro anaskia Musa snaaa😂😂😂😂
Walai😂😂😂
𝐽𝑜𝑜ℎ❤😅
Joooh😂
Banaaa 😂
Big up @MUSA💯💯
Aki caro is so humble juu weeeh mimi mtu hawezi shinda ametajataja budangu and am that calm
Wambriaga is such an understanding gal I like her personality
She accepts the complains 😊
Niko huku mnipee like bana
This guys wanapendana....... eagle ww😅😅😅
Musa akubali hakuwa anabuyia caro nguo zina onyesha figure, but he still cares🤷🤷🤷, na babygirl treatment ni a must ka unataka kutembea na dem mrembo lakini ka unataka kukuwa watchman then atakuwa cute bila dooh zako
"huoni amewaka,,, sionii Sioniii" 😂😂Musa ni top G
Waambie warudiane,,,they still love each other
Kabisa
Mawaya za stima😂😂😂😂😂
Hawa watarudiana ngoja uoneee😂😂😂😂
Bado mnapendane😂😂
Mnatuona kama matakoo yenyu😂😂
Translate it 😂😂😂😂😂
I always thought this wambrianga thing was something that never existed 😂😂😂😂😂
They still love each other
Huyu ndio wambrianga ule alienda tao bila haga na kazi ilikua kuenda na vikombe makwao 😂😂na kuenda na boxers
Hawa watu wanapendana vibaya sana😂😂
Bro vile ulimuacha alipata msee wa kumutreat poa than you hyo c swali bro
Kwani wambrianga haezi glow😂😂
These pple love each other ❤
😂😂Hapa wazazi wataona moto drama 😅
😂hapo amna ishu kwa hao wawili😂 watarudiana tu wote awaja heal kbs😂 nimeipenda hii interview 😅😅😅😅
Kijana bado una starehe.. Ukitaka uwe responsible nyoa hyo dredy.. Heheee then huoshi boxer hahaaaaaa kaliii bro ndo nakwambia ukitaka kudate mlunjee jipangeee
Wambianga mwana wefwe lekha omundu yooo waseee rurayooo
Musa😂ati hiyo haga yote ulitoa wapi
Wallai Musa na Caro wanapendana Ii ni kutupima tuh
😂😂😂😂hawa wanapendana wallae rudianeni tu
Noma wambrianga 😜
wanajuwa kuact vizuri sana hawa wanapendana vibad
Eiiiy 😅 thiiiiis 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
ati buda wa nani uyo anadunga triango za musa🤣🤣💀💀
Anyone noticed musa amekunywa juice ya wambrianga😂 njaaa nimbaya
Caro na Musa wataowana take that to the nearest bank😂😂😂😂😂😂
It's the pose for mee😂😂
We can buy another one maliza tu hio😂😂
Bn wambrianga haoni aibu alisema mzee wake alivaa boxer ya msee bn 😂😂😂
so asiendelee 😂😂 aaiiii weee toxity at its best nkt 😂😂😂 lakini bado mnapendana rudianeni yawa 😅😅
Musa anaroga haga ya Wambriang'a😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hawa wawili warudiane wako na vibe kuruka😂😂
Hawa watu bado wanapendana😂😂
Hii nayo ni kipindi😂😂wanatuona kama...
wasee wameonana tu susu achana nayo
Hizi ni gani🤣🤣🤣🤣🤣
Hawa watu wanapendana...waambie warudiane❤😂
Walie musa anapenda huyu dem😂
Wacheni kujifanya na yet mnapendana rudianeni na mwache ufala😊😊
Bado Kuna love😂❤
Musa loves wambrianga... no wander anashinda akiita wambrianga kila time😂😂
Truth be told love is in the Air😂😂
Hiyo jina wambrianga ni funny 😅😅
Warudiane
Hawa watu wanafaa kurudiana juu wanafaana tuh
Caro bado anapenda Musa na Musa bado ako caring kwa Caro😁😁
aty kujia boxer madem tunajua trick zenyu ww unataka mechi
Eish! Wambrianga. Musa Jo . I think you made her popular on Tiktok
Kunywa soda .....
For ni iyo "" kunywa soda ,,,kunywa soda kwanza """,,,,,,,,,,,,Alf mnaongoja waachane
Musa aendee boxer na watarudiana 😂
Men who love their girlfriends will ever provide❤sijui nini Musa anaongea 😂😂
Wambrianga hajaheal
mnanifrahisha sana the script is scripted perfectly aty sikuwa najua umemuita😆from jane to wabriyanga🤣🤣🤣
Walai this is love mehn😢
Wambialianga bado ana penda Musa
Musa anamsho Wabrianga kunywa soda Kisha yeye pia anakunywa ,they love each other bana
Hii kenya ikona watoto wengi......(M)
waaaah noma 😂😂😂
Bdo wnapendana❤
Nasmile tu😂😂
Ishakuwa tabu😂😂😂😂😂
aki Caro n mrembo
Musa na wambrianga warudiane😂😂😂😂
These guys still love each other
wait! huyu dem ilifika aje buda yake avae boxer ya huyu boi😂😂
We bro Enda uheal bana😂
Caro is very matured ❤
That's why sipendangi madem wanaitwa caro
😅😅😅 caro muaje please
Aty kwani umekuwa ruto,,,,jibu tu swali😂😂
sasa wambrianga anajifanya hakuwa anajua musa anakuja show😅😅
mtu wa kamera mnamchokesha bana na hizo close ups
Wanafaa warudiane❤
Hii siku walindinyana mbaayaa😂
Lakini mimi napenda Caro na musa wananinice tu❤
Weeee😅😅😅😅 hawa watu warudiane bado wanapendana
Nimesikia Musa akauliza aty uko na mtu 😂😂
Guys huyu to faneye nini aki ju weeeh nikubade😅😅😅😅😅😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣👀
This is Hilarious 😂😂😂😂