🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 28

  • @omarselemanrashid3878
    @omarselemanrashid3878 4 години тому +1

    Kama kweli hatumii ushirikina wa iana yoyote basi Allah aijaalie karama hii kuwa sadia watu mwenyezi muangu awajaze kheri❤

  • @HassanSalim-hl8qs
    @HassanSalim-hl8qs 5 годин тому

    Matumbo yanawasumbua sana mashekh wetu

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 9 годин тому +3

    Hizo zinaitwa karama mungu anamjalia amtakaye wako watuu wahivo sasa mnataka awe mganga

    • @Niget-us1np
      @Niget-us1np 5 годин тому

      Hakuna sharifa sharifa Ni uzao wa mume ss huy Ni uzao wa mume?? Kam maji kwnn yanalamgi ya njamo?

  • @ussiamer3523
    @ussiamer3523 Годину тому

    Ayoo mapete ya kazi gani aliyo vaa

  • @MuhammadJaffary-uu6zl
    @MuhammadJaffary-uu6zl Годину тому

    Njaa njaa njaa kali saana hapo mwisho mkapokee bahasha😢😢😢😅😅😂

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 9 годин тому +1

    alikua kuna mzee mmojaaa anaitwa shee kasimu kibaya kiteto akikua una muacha kibaya stendi mkifika arusha yeye alishafika siku nyungi

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 Годину тому

    Fumau acha njaa na kutangaza utapeli

  • @HassanSalim-hl8qs
    @HassanSalim-hl8qs 5 годин тому

    Naona hata mwamposa mwaweza kusema ni karama nendeni kwa mwamposa mkaoene anafanya kama anavyo fanya kijana kwa kweli tumefikia kuwaiga wakristo.kijana msomesheni dini wala hana kipawa chochote wacheni kutuharibia dini kwa manufaa ya matumbo yenu

  • @SajeedaBilal-hg2ph
    @SajeedaBilal-hg2ph 5 годин тому +1

    Mnaboa jamn,muogolen Allah na huyo shaarif wenu wa mchongo

  • @AbdulmujibAhmed
    @AbdulmujibAhmed Годину тому

    Acha kutumika kwa tapeli huyo

  • @user13375
    @user13375 4 години тому

    Kutua bubui ni uchawi wa wazi 😮😮😮😮

  • @ShaibMussa
    @ShaibMussa 4 години тому

    DAH NAONA WAGANGA WAMEUNGANA 😂😂😂😂😂😂

  • @SalmaSaid-v3d
    @SalmaSaid-v3d Годину тому

    Hivi yule sheikh sharifu majiani kaishia wapi alishia kutapeli watu fb tu 😂😂😂

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Годину тому +1

    Uganga sio dhambi ila labda neno hili limetafsiriwa vipi

    • @allyciza
      @allyciza 15 хвилин тому

      😂😂😂

    • @allyciza
      @allyciza 14 хвилин тому

      Umenimaliza haswa. Nimebaki hoyi zangu mbavu...😂

  • @HassanSalim-hl8qs
    @HassanSalim-hl8qs 5 годин тому

    Huyu ni mganga kama waganga wengine

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm Годину тому

    Usituongopee bana yai viza lina pita vipi kwenye koo panado tu basi unasukumia na maji..wewe bila aibu unatuongopea ndugu yetu YAI,YAI BASI ULITAPIKE AAAH YAI UNALITAPIKA DAH HIO KIBOKO UNATU ONGOPEA

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 6 годин тому

    Hayo maji na mafuta yametengenezwa na Nini au miti gani

  • @HemediHassan-rv4uh
    @HemediHassan-rv4uh 4 години тому

    Hvi hawa mashekhe wanao ungana na huyu kiboko ya wachawi wtamjibu nn ALLAH siku ya qiyama

    • @ibrahimjumbe8121
      @ibrahimjumbe8121 4 години тому

      Sio kila anaevaa kanzu na kofia ni sheikh ndugu

    • @Hashim-p4d
      @Hashim-p4d 2 години тому

      Uzuri wa molaa wetu halali aibu itatoka tu

  • @ibrahimjumbe8121
    @ibrahimjumbe8121 4 години тому

    Akiambiwa hata asome "aliamdu" 😂😂😂 hawa jamaa bhana

    • @ramadhanwilbard8196
      @ramadhanwilbard8196 2 години тому

      Waislamu tuweni na ufahamu mzuri kipaji cha kusoma ni kitu kingine na kutibu ni jambo lingine ;kwani hao makafiri wanaowatibu huko india mahosipitalini wanawasomea aya gani?Ukipeleka gari lako limeisha shindikana kutengenezwa kwa fundi John analisomea aya gani?Simtetei huyu kijana lakini lazima tukae chini na kujifunza tuelewe huu ulimwengu unavyokwenda kwanza dini yenyewe inatutaka tujitibu sisi wenyewe kwa Quran ni tiba na mitishamba nayo ni tiba kwa sababu aliyetuletea Quran ndiye huyo huyo kaiumba miti shamba lakini cha ajabu utawakuta mtu anakurupuka dawa za miti ni shiriki,kweli Waislamu akili zetu hazina kufikiria?Mbona vidonge vya hospitalini navyo vinatokana na miti shamba?shida nyingine wasomaji wa Quran wazuri ni wengi lakini hawana ikhlas sasa watatibu wagonjwa kivipi wakati hawa hofu ya Mungu?Mtibabu wa Quran shariti kwanza apige mgongo dunia aziache tamaa zote za nafsi yake yaana asiwe mwenye kutenda madhambi au kujiona yeye ni bora kuliko watu wengine,asiwe mwenye kufanya zinaa,asile riba,asiwe msengenyaji,asiwe tapeli mwizi,asiwe muhongo,asiwe na chuki na vinyongo,awe mwenye kula vyakula vya harali,mavazi ya harali, asiwe na janaba ;vitu ni vingi ili Quran iweze kujibu sio kila mwenye kuijua Quran aweza kumtibu mtu. Masheikh wamejaa Makka wanasoma Quran bila kukosea lakini saa nyingine nao wanalogwa wanakuja huku Tanzania kutibiwa na Masheikh weusi labda useme Wewe hujawahi kulogwa na wachawi makonk ndiyo maana munachukulia poa,

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 8 годин тому

    Wachen Uganga Bhana Hana Usharifu Gani 😂😂😂

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm 2 години тому

    Kama huyu dogo na wenziwe hawapiganii ugali ingekua njaa haiwasumbui basi maneno ya shk kishki yasinge wahangaisha kutafuta wandishi kujisafisha kujitangaza yote hayo inaonesha mnaona soko lishavurugika kishatiwa mchanga kitumbua...halafu hoja za shk kishki hamjazijibu hata moja bali muna ta'ta'a