HASHEEM IBWE AKUBALI MUZIKI WA SIMBA "WAMEJIPATA SASA HIVI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @zuberimusamazari7003
    @zuberimusamazari7003 3 години тому +1

    Huyu hashim anajua kinacho endelea pale azam fc wacheni ujinga mnapotezea watu muda

  • @LeylatVlogs
    @LeylatVlogs 9 годин тому +2

    Limewakaaa unyama ubwela👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @ochustore
    @ochustore 29 хвилин тому +1

    Ulikuwa msemaji mzr sna, toka ulipoanza kukaa na alikamwe tu ukaanza kuwa km wao

  • @mosesgasana7109
    @mosesgasana7109 9 годин тому +1

    This is boy is really a class monitor. Damn!😂

  • @yusufmsaa5693
    @yusufmsaa5693 5 годин тому +1

    Hiki ndo kitu ambacho dube alikuwa anazungumza na hata fey atakuja kusema viongizi wa Azam wakifungwa na Simba hawaumii ibwe anaongea kirahisi kbs lkn mashabiki wa azam wanaumia

    • @j4ally534
      @j4ally534 3 години тому

      Azam aina mashabiki wale wasaka tonge tu,

  • @ommyjuniorjumbe3328
    @ommyjuniorjumbe3328 3 години тому

    Body language yake inazungumza tu Hali ya ndani ya Azam FC..ukiwa na D mbili utajua tu

  • @TabithaLukindo
    @TabithaLukindo 4 години тому

    Toka bhana kwenda 😂😂uko 😂 hatujalazimsha hamn mishe 😂😂😂

  • @BabeNoera
    @BabeNoera 37 хвилин тому

    Mmezingua ,tulitaka muwafunge hao makolo

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 3 години тому

    Mmeshindwa mara tatu, acha fuzzy maths!

  • @BlandinaRobby
    @BlandinaRobby 2 години тому

    Na msimu huu nafasi ya tatu mtaisikia tu

  • @baloziyusuph3598
    @baloziyusuph3598 2 години тому

    mnadanga sana uwanja mnao mnaukimbia

  • @IsihakaMakoa
    @IsihakaMakoa 2 години тому

    Nendeni.mkauze.maandazi

  • @LeylaSaria
    @LeylaSaria 2 години тому

    😂😂?😂mmh mmenikera

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 9 годин тому

    Kipa wa Simba hajadaka kabisa shoot on target 0 ,

  • @Dayotz
    @Dayotz Годину тому

    Kamepoa kenyewee😂

  • @baloziyusuph3598
    @baloziyusuph3598 2 години тому

    mna boa sana

  • @M.e.g.a-ec2mi
    @M.e.g.a-ec2mi 10 годин тому +1

    Offside 😂

  • @elisantemushi249
    @elisantemushi249 2 години тому

    Kila timu ligi kuu ni nzuri ikiwa haijacheza na YANGA😂