NDARO na LEONARDO wawekewa MKWANJA kwenye SHOW yao/MSHINDI kuondoka nao/NDARO ataka kususia SHOW...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 тра 2024
  • _________________________________________________________________________________
    Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe UA-cam channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
    _________________________________________________________________________________
    Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 144

  • @highman2839
    @highman2839 29 днів тому +35

    M naona Bora mmpe tu leornad kabisa kabla io Siku au wakuu mnasemaje

  • @SmartVicenzo
    @SmartVicenzo 28 днів тому +25

    Team ndaro
    Gonga like

  • @Fredmbawala-hq3pd
    @Fredmbawala-hq3pd 25 днів тому +4

    Nakubali Sana baba levo jambo ulilofanya liko good hawa vijamaa vinaleta makasiliko Kisa wanaugomvi on the stage hasa huyu ndaro kanajifanyafanya,,, km mmemdiss ndaro Weka like hapo maana anazingua kwenye press

    • @lukundolucas199
      @lukundolucas199 17 днів тому

      Sio msomi kwanza , Leonardo nimsomi kwanza ndo Mana anachekesha kisomi

  • @thompsonkiputa6842
    @thompsonkiputa6842 29 днів тому +30

    Leonardo master wa comedy TZ 💯🔥 (kwa mbili mbili kwa mbili mbili) kama huna D mbili huwez kuelewa 😂

  • @NoelCharles-vu9zx
    @NoelCharles-vu9zx 19 днів тому +1

    Mm namkubali sana ndaro kwa kuwa hana mambo mengi na Wala haji feel sana kama Leonard

  • @RibinByamungu
    @RibinByamungu 12 днів тому +1

    Ndaro naku kubali sana ndugu yangu. Toka Congo

  • @felicianboss6953
    @felicianboss6953 29 днів тому +20

    Leonardo -hata kama unajua usiongee sana kaza me nakukubali lakin unaongea sana ndaro mkimya mpaka raha kunasehemu zingine Leonardo unakaza sio kujichetua°

  • @gotardntambara9602
    @gotardntambara9602 29 днів тому +18

    Ndaro nakuombea sana pia nakuaminia kinoma

  • @jeanbyelongo7830
    @jeanbyelongo7830 29 днів тому +5

    Mbona tuna wakubali wote 🇨🇩🇨🇩🇨🇩♥️♥️♥️

  • @ErickChristopher-rx6lq
    @ErickChristopher-rx6lq 29 днів тому +5

    Mm ni muha na Niko upande wa ndaro lakin ndaro anaonekana kabaha na kumuogopa Leonardo na ukwer ndaro hamuwezi leonardo

  • @user-qk5tr8dt7j
    @user-qk5tr8dt7j 28 днів тому +9

    Leonardo anaujua sana Ila ttzo lake anaonekan. Anajivuna sana anajiskia

  • @fransyvedas9830
    @fransyvedas9830 28 днів тому +17

    Ndaro namkubali sana mzee wa kutest kwanza

  • @yusuphmsigwa
    @yusuphmsigwa 28 днів тому +13

    Ndaro Jeshiii

  • @charlesmtitu5606
    @charlesmtitu5606 29 днів тому +5

    Leonard ni zaidi ya ndaro , ilo ndaro analijua na kukataa kushiriki yupo sahihi maana ni wazi atashindwa na linaweza likawa anguko lake bora akatae

  • @MgayaTwebe
    @MgayaTwebe 29 днів тому +12

    Ndaro anashinda

  • @user-zd5pc5nc9c
    @user-zd5pc5nc9c 29 днів тому +8

    Ila mnajua kuingiza. Hasa ndaro, yaani kama ana bifu kweli na Leonardo

  • @Chriss_lo.
    @Chriss_lo. 29 днів тому +7

    Kama ni hivo nampa ndaro

  • @HASHIM-rt4mf
    @HASHIM-rt4mf 29 днів тому +4

    Ndaaro ni bola huyo dogo hanakitu

  • @HamzaPresident-mt9mk
    @HamzaPresident-mt9mk 29 днів тому +3

    Yani mtu yupo nyuma ya camera afu mnatuleteya kiki 👍👍

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 28 днів тому +3

    Babalevo bangi dula awe jaji kura zote atampa daro😂😂😂😂😂😂 kesi ya nyani unapeleka kwa ngedere😢😢😢😢

  • @drisakamwakitalima1937
    @drisakamwakitalima1937 29 днів тому +6

    Namkubali saana Leonardo lakini kwa hili shindano inatakiwa ndaro ashinde.

  • @musamwambara6835
    @musamwambara6835 29 днів тому +36

    Ndaro anajiona ameshakua star kwann ukatae kuhojiwa na waandishi anapaswa kuelewa ukisha kua na jina hapa bongo lazima waandishi wawashindanishe so unatakiwa kuzoea maisha ya umaarufu dogo

    • @mtutulaclassic6207
      @mtutulaclassic6207 29 днів тому +1

      hivi nawewe unaamini unachokiona ni uhalisia

    • @Lilmbunah
      @Lilmbunah 29 днів тому +5

      Kila kitu unacho kiona hapo kime pangwa usiwe mshamba wa mitandao

    • @MariamuAmuri-dx9hz
      @MariamuAmuri-dx9hz 27 днів тому

      Ndaro 😊😊😊🎉🎉🎉🎉 kapita God bless you Ndaro

    • @MariamuAmuri-dx9hz
      @MariamuAmuri-dx9hz 27 днів тому

      6/8/2024 😊😊 ndaro

    • @KishoraKishoralimbu
      @KishoraKishoralimbu 26 днів тому

      Ndaro ana akili huyo kwanza ni anaenda na hesabu kila anachokifanya..

  • @GodfreyKunambi
    @GodfreyKunambi 26 днів тому +2

    Leornaldo is the besty

  • @MgayaTwebe
    @MgayaTwebe 29 днів тому +8

    Ndaro m nakukubari kaka

  • @Khany_voice417
    @Khany_voice417 24 дні тому +1

    Jamn, tuongeeni ukweli, ndaro namkubari ila siyo kwa leonard uyuui jamaa n moto kila cripu ana mpya Arfu anamalizia kama hauja d Mbili uwezi kuekewa

  • @kaingunashon-ph3wo
    @kaingunashon-ph3wo 28 днів тому +2

    We have😂😂😂 tuna mambo mengi ya kuja kuwambiaa😂😂😂

  • @Tulizombago7633
    @Tulizombago7633 27 днів тому +24

    Kama umekimbilia kuangalia comment umejua ndaro anapendwa sana gonga like apaaa

  • @user-vf6on5dk4t
    @user-vf6on5dk4t 28 днів тому +3

    Kamtu kame konda hadi uso ila mdomo bwana ni ashura

  • @gillandfrancis9612
    @gillandfrancis9612 29 днів тому +3

    Mm nawakubali wote wawili hatar bora itokee draw ili wasigombane

  • @hanifakassim8036
    @hanifakassim8036 29 днів тому +3

    Leonard nikafiki kamekaaa kiongo ongo ndio maana akinenepi

  • @johnchitete
    @johnchitete 29 днів тому +2

    Huu mchezo nimesha ushtukia kitambo
    Hapo hao jamaa wa White skim ndo wanatafuta hela kwakutumia vipaji vya hao vijana
    Hamna bitu wala nini
    Kila kitu hapo kimetengenezwa tu

  • @FredrickJohho
    @FredrickJohho 24 дні тому

    Kazi nzuri inaonekana hupaswi kuogofya Bro

  • @deblacktz2981
    @deblacktz2981 29 днів тому +9

    Huwezi shindana na Leonardo we muha

  • @CharamKabul
    @CharamKabul 29 днів тому +7

    Ndaro ni mkali sana jamani

  • @ZainabuIdrisa
    @ZainabuIdrisa 29 днів тому +4

    Fundi majumba ndani ya jumba

  • @user-yl3ud4et1y
    @user-yl3ud4et1y 28 днів тому

    Iyo ni vibaya sana mujiunge muwe wa moja kwa kazi yenu, muna

  • @lumo9999
    @lumo9999 27 днів тому +1

    Ila mnajua kuigiza nyie watu😂😂😂 asee hii mmeifanya kama kweli vile😂😂😂 noumaa😂sana

  • @user-qk5tr8dt7j
    @user-qk5tr8dt7j 28 днів тому +2

    Leonardo anajua kuchekesha Ila anazngua sana anaonekan mkolof

  • @ngalenalojanjalo296
    @ngalenalojanjalo296 28 днів тому +1

    Mwanang Leonardo hmuezi ng'oo w mshamba Ndaroo☆•••Acha nianze kmzomea ndaro iii ooo waaa 😮😮😮

  • @WilliamSirya
    @WilliamSirya 29 днів тому +1

    Nakuombea bro niko nyuma yko japokua nko kenya I wish all the best❤❤❤❤

  • @BaltazaryAssenga
    @BaltazaryAssenga 28 днів тому +1

    Leonardo anajua ❤❤❤ ndaro pia ana fanya vizuri ila kwangu mm Leonardo

  • @hubertmwemezi8426
    @hubertmwemezi8426 28 днів тому +1

    Team Leonardo 🔥🔥

  • @user-wu9zh1hc3i
    @user-wu9zh1hc3i 29 днів тому +1

    Hii ni promoshen ya show hakuna ugomvi afu wamefanya bora sana asey

  • @user-mu5cc9rl2i
    @user-mu5cc9rl2i 28 днів тому +3

    Leornad ni master of comedy

  • @fredrickLuoga-zb5ib
    @fredrickLuoga-zb5ib 27 днів тому

    Mwanangu ndaro

  • @issahaji8715
    @issahaji8715 21 день тому

    Yan hayo maneno unajua asa km ni kiki baba levo ameitengeneza ndaro na leornAdo hawana bifu

  • @lusakejackson1515
    @lusakejackson1515 29 днів тому

    @Ndaro ashauliwe atulie.
    Comedian hapaswi kuw na hasira krahis ivo anatushangaz sana

  • @lazarofredy
    @lazarofredy 24 дні тому

    Leonardo is the best ndaro mwenyewe anaonekana anaogopa mwingine mpeni tu leonardo

  • @HenryPaul-zm6pf
    @HenryPaul-zm6pf 28 днів тому +4

    Ndaro atashinda

  • @amanlenatus9067
    @amanlenatus9067 28 днів тому

    Mko vzr mnajua kutngeneza trick sana

  • @WilliamSirya
    @WilliamSirya 29 днів тому +2

    Ndaro baba lao😂😂😂😂😂

  • @j...876
    @j...876 29 днів тому +8

    Leodardo kinywa kita kuponza ndaro ni mkali sana!!

  • @OmarySamata
    @OmarySamata 29 днів тому +1

    Uyo jamaa asipo jilekebisha atapotea hii ni zalau kubwa sana wakati wao waandishi wa abari ndio watuwao wakalibu

  • @FaldoboyOG
    @FaldoboyOG 28 днів тому +2

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉 good

  • @kenedytheonest2798
    @kenedytheonest2798 29 днів тому

    wanatofautiana settings kila mmoja anapoweza kufanya vizuri, kwa uchekeshaji wa kisomi Leonardo ana content za kufikirika saana Ndaro mzuri kuchekesha kitaani kwa watu wasosikiliza content kwa umakin huwez kuelewa kama huna D 2

  • @Josephkp629
    @Josephkp629 20 днів тому

    Let me go 😂nikamchukue ila c e o

  • @FucianeBulemo-nd4wc
    @FucianeBulemo-nd4wc 26 днів тому

    Leonard ucjali wakerewe cc huwa tunaanza na upole kwa kumheshimu kila mtu baada ya hapo tutafanya ya kwetu kwa kumwambia bb

  • @ramadhanijuma2691
    @ramadhanijuma2691 29 днів тому

    Hahaha dakika ya 7sekunde ya 9 ndaro anaongea kuna mkono upande wa Leonard unamsukuma Leonard😅😅😅

  • @SamuelKashindi
    @SamuelKashindi 7 днів тому

    Nani ambaye alishindaka ?
    Naitaji kujuwa plz

  • @japhetmwangwa2145
    @japhetmwangwa2145 29 днів тому

    Leonardo huyo Ni fundi wa mafundi 😁😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿👑👑👑👑👑

  • @user-xw2vu2mt2p
    @user-xw2vu2mt2p 24 дні тому

    yan kuna sura ukiziona tu zna chekesha aisee Tx dulla unaznguaga sana 😂😂😂

  • @musaamos2431
    @musaamos2431 16 днів тому

    Leonard anazingua

  • @DanielMollel-mi4yg
    @DanielMollel-mi4yg 27 днів тому

    Wenye D mbili kamwe uwezi mwelewa Leonardo coz anatumia IQ kubwa kwenye comedy especially stending comedy✍✍✍✍✍

  • @HawaJuma-cp2dn
    @HawaJuma-cp2dn 29 днів тому +2

    Chibaba wangu ndaro

  • @OscarMuhumenya-yc4ot
    @OscarMuhumenya-yc4ot 27 днів тому +1

    Ndaro ntakuja kukushabikia ww

  • @FatumaBakari-ye6tl
    @FatumaBakari-ye6tl 22 дні тому

    Huo mpambano ni linii jamn😀😀😀😀😀 3×3 😀😀😀

  • @user-er2if3dl9d
    @user-er2if3dl9d 14 днів тому

    Ndaro anawatu ww Leonardo atamfikia wap,,,

  • @Fran3pen
    @Fran3pen 27 днів тому

    Wote ni wakali saana ila bro ndaro sijapenda kukataa kuhojiwa

  • @user-ij2po2jw2f
    @user-ij2po2jw2f 29 днів тому +5

    Mwanaume haongei ongei nina wasiwasi na ww leonady pengine sio riziki huwezi kunyamaza kama muimba taarabu

  • @issahaji8715
    @issahaji8715 21 день тому

    Hahh yani hawa wanatafuta kiki tu hawajagombana

  • @YusuphLyatenga
    @YusuphLyatenga 29 днів тому +1

    Wanatengeneza bifu tuh hawa

  • @SamwelMnaga
    @SamwelMnaga 29 днів тому

    Baba levo mnaleta ngumi kwenye maisha ya ela😅😅😅😅😅😅

  • @HafssaMbwambo
    @HafssaMbwambo 29 днів тому

    Sasa watakua wanachekesha watu kwa kusemana tuu na sio vinginevyo

  • @emmanuelkyandochali990
    @emmanuelkyandochali990 25 днів тому

    Atakaeshinda hapo mpelekeni kwa eliud akajifunze

  • @FURAHA_NI_HAKI_YAKO
    @FURAHA_NI_HAKI_YAKO 28 днів тому

    Ila Leonardo

  • @keshenidaniel770
    @keshenidaniel770 29 днів тому +1

    Mkuu wa machawa Tanzania

  • @ELEONE2023
    @ELEONE2023 27 днів тому

    Waliosema ndaro ni mkali msijisahau nyote😂😂

  • @AnthonyManyonge-qj9wz
    @AnthonyManyonge-qj9wz 29 днів тому +1

    Namco Bali sana Ronaldo seal camera

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 29 днів тому

    Iyo kiki la tangazo lao hao..Amna ugomvi hapo..ilo changa

  • @brothermuadhwam890
    @brothermuadhwam890 24 дні тому

    Oya ndaro ni mkali bana

  • @EzekielDebora-cd2ib
    @EzekielDebora-cd2ib 26 днів тому

    Ndarooo

  • @abubakarmwachuo1337
    @abubakarmwachuo1337 29 днів тому +1

    Huyo ndaro ajua hamuezi huyo boy

  • @user-du8rh6dd9h
    @user-du8rh6dd9h 29 днів тому +2

    Leonardo fundi

  • @hussenihamisi2862
    @hussenihamisi2862 28 днів тому

    Tuwa shindanishe baba lv na mwijaku nan zaid😅😅

  • @swadatimmbaga7435
    @swadatimmbaga7435 26 днів тому

    Leonardo kwanza kiswahili imenyooka

  • @lumistarboy8499
    @lumistarboy8499 24 дні тому

    Manatugawa mbona Ndaro na Leonardo wote wakali

  • @user-od7yn5hv7z
    @user-od7yn5hv7z 27 днів тому

    Ndro

  • @mathayourio6879
    @mathayourio6879 29 днів тому +1

    Ndaro mshamba😂

  • @fadhiligasper4067
    @fadhiligasper4067 28 днів тому

    Eti 3*3 😂😂

  • @salimkigarimbwe4911
    @salimkigarimbwe4911 29 днів тому +1

    Km munataka kuwapa pesa wapeni sio kuwashindanisha hao jamaa wote wakali na hapaswi kushindana

    • @EmmanuelZenda-ji5gc
      @EmmanuelZenda-ji5gc 29 днів тому

      Mzee wanatengeneza promo ili wapate ela usiamini unachokiona mkuu.

    • @JimyMnyama
      @JimyMnyama 29 днів тому

      Hakunaa kuwapa hela ya bure lazima wafanyee kazii na hio ndo kazii yenyewee

  • @Baira240
    @Baira240 29 днів тому +3

    Leonard ajiamini ile 100

  • @user-bb4ie5vw3o
    @user-bb4ie5vw3o 20 днів тому

    Kama huna D mbili huwez kuelewa mtu m bad

  • @Jayboy_billions_
    @Jayboy_billions_ 28 днів тому +1

    3×3 😂😂😂😂

  • @danieljoseph273
    @danieljoseph273 25 днів тому

    Ndaro ninomaaa moto wakuotea mbali

  • @user-uh6og9fj7b
    @user-uh6og9fj7b 28 днів тому +1

    😂😂😂3+3😂😂😂😂

  • @Zpauljr994
    @Zpauljr994 26 днів тому +2

    Ndaro mjeshi kikofia you are the best

  • @ndrwdotts4347
    @ndrwdotts4347 26 днів тому

    Kapumbavu ako ka ndarooo

  • @alexisnimubona3801
    @alexisnimubona3801 29 днів тому +2

    ndaro ni wakigoma ? ndo maana nimbishi

  • @MichaelZulu-ds3tu
    @MichaelZulu-ds3tu 28 днів тому

    Tunaomba pambano irushwe sie wa mkoani tuone

  • @johmziwanda985
    @johmziwanda985 29 днів тому +6

    Hivi kuna mtu aliesoma pcm ajui hesabu za leornado? Mbna watz wngi wnamshangaa wkt mi naona kawaida tu🤔🤔