yaani magari 44 yote ya kifahari yote yanatumia mafuta mengi sana magari yote yanahitaji service ya garama kubwa magari yote yanahitaji madereva wanaolipya posho kubwa kabisa kila siku magari yamesheheni viongoz wanaohitaji posho kubwa na chakula na sehemu za kulala gwaride na maandalizi yote yanatumia pesa nyingi sana sasa dah nchi yangu tanzania kwani magari matano hayawatoshi hatutaweza kubana matumizi kwa namna hii na haya ni maoni yangu tu kama raia wa tanzania
Ally Said Mwambie huyo anafikiri thamani ya rais ni kama mbunge, Rais sio mtu wa mchezo taifa lote linamwangalia yeye na ndio maana ulinzi wake inabidi uwe mkali kwa hio hakuna cha ajabu rais kutembea na gari nyingi kiasi hiko.
Huu Mtandao Gani Makao Makuu Nayaona Mjengo Mkubwa Minara Mingi Kwanini Uduma Inakua Mavi Ivi Apa Niliko Mlikuaga Mnara Wa Airtel Wameng'oa Ali Mbaya Halotel Ndo Baba Kwenye Intaneti Kwa Tanzania Kiukweli
Hapa tukijumlisha magari yote bac yatakuwa magari zaid ya100, dahhh inacost mafuta kama billion moko, dahhh serikali ni tajiri mnooooooo,... Tubane matumizi jmn...hii sasa ninini???
Mica Mathew Mmh acha tu pamoja haifiki billioni ila asikwambie mtu ukiwa rais nchi za Afrika kwa katiba yetu raha sana unafanya unalojisikia na unalotaka na wala huojiwi
Amen asandeni Sana na MWENYEZI MUNGU awalinde na kuwa bariki kweli kwa Jina La yesu Kristo aliye bwana na mwokozi wetu amen
Asante san mwenyez MUNGU kwa muongozo wako mwema kwa raisi wetu
Utasikia kwa wapinzani eti oo!! Rami mpaka kwao wakati vumbi tunaiona
duh Safi sana
Aise kodi hizi dah
Hongereni sana. Kikubwa barabara hiyo ni muhimu iwekwe lami haraka sana.
Mmh uwezo wako wa kufikiri mdogo unadhani hayo mafuta wamejiwekea kama wa harusini?pole sana!
Rais wa Jamuhuri ya Kenya...
Magari Kama yote uwii
Akili zako zimeishia hapo.
Mbona wanasiasa wanasema rami mpka nyumbi hapa ndio naamini kuwa siasa ni mchezo mchafu
yaani magari 44 yote ya kifahari yote yanatumia mafuta mengi sana magari yote yanahitaji service ya garama kubwa magari yote yanahitaji madereva wanaolipya posho kubwa kabisa kila siku magari yamesheheni viongoz wanaohitaji posho kubwa na chakula na sehemu za kulala gwaride na maandalizi yote yanatumia pesa nyingi sana sasa dah nchi yangu tanzania kwani magari matano hayawatoshi hatutaweza kubana matumizi kwa namna hii na haya ni maoni yangu tu kama raia wa tanzania
Unataka liwe gari moja litumie mafuta kidogo
Immah Kobeh Huyo ni rais ww sio mbunge amezungukwa na maadui kila kona ulinzi kwake ni jukumu la kawaida sana.
Zikishakuwa gari tano kisha izo ajira za madereva Na vikosi vya ulinzi Na uslama wajiriwe Na Nani?
Ally Said Mwambie huyo anafikiri thamani ya rais ni kama mbunge, Rais sio mtu wa mchezo taifa lote linamwangalia yeye na ndio maana ulinzi wake inabidi uwe mkali kwa hio hakuna cha ajabu rais kutembea na gari nyingi kiasi hiko.
Huu Mtandao Gani Makao Makuu Nayaona Mjengo Mkubwa Minara Mingi Kwanini Uduma Inakua Mavi Ivi Apa Niliko Mlikuaga Mnara Wa Airtel Wameng'oa Ali Mbaya Halotel Ndo Baba Kwenye Intaneti Kwa Tanzania Kiukweli
Walikiwa waenda kuzika ,,maana magari kibaooo
Kumbumba maRAIS ni wawili,
Ulinzi lazima ujitosheleze
Yani mpaka waambiwe anzeni kuimba🤣🤣🤣 watanzania bana
Hahaha, wanaambiwa kama watoto vile😂😂
R I P . J P M
Et anzeni kuimba kambe ni watto wa shule
Dah mbna ukame xana hyo njia waeke ata lami
Tz kuimba tu napo mpaka uwaambie hawajiongezi kabisa marais wanakuja tuwanzishe hata nyimbo za kitamaduni
Magar zaid ya 30 du!
Watu wanashangaa magari kua mengi lkn wanasahau harusi zao wanakua namagari hayanaidadi,au anye kuku ?
Vumbi sana
Hapa tukijumlisha magari yote bac yatakuwa magari zaid ya100, dahhh inacost mafuta kama billion moko, dahhh serikali ni tajiri mnooooooo,... Tubane matumizi jmn...hii sasa ninini???
Mica Mathew Acha uongo ww ety mafuta ya billioni duuh hata kama chuki basi iwe na kipimo unajua billioni unapata lita ngapi?
@@hamismnyaya1276 hahahahahaahaaa dhaaaaaaa ccm bana bac ahsante tu...but hawa watu ni nomaaaaaaaa..
Mica Mathew Mmh acha tu pamoja haifiki billioni ila asikwambie mtu ukiwa rais nchi za Afrika kwa katiba yetu raha sana unafanya unalojisikia na unalotaka na wala huojiwi
Dooo eti huu ndo ubanaj wa matumiz utadhan kuna Marais wote duniani au yanatumia maji
Gud gud
Anzen kuimba imbeni
Nyie kinachowauma nn hapo mbn mnapenda maneno san au mnataka nyie mue rais au
Benjamini Peter ,Ni wivu tu hakuna zaidi wanasahau kuwa kila mtu anabarikiwa kwa muda na wakati wake
Benjamini Peter hahaaaaa
Njia vumbi tupu
Huko ni kijijini
hahahahahahaha uwanja wa chato??