Jinsi ya Kukata juba/Fashion ya Kupasua Mbele,#
Вставка
- Опубліковано 14 жов 2024
- Jifunze njia rahisi ya Jinsi ya Kukata juba, channel hii #@NaimaCreation itaweza kukufunza wewe Fashion tofauti za Jinsi ya Kukata juba aina tofauti tofauti,
#juba,
#jinsiyakukata,
#jinsiya,
#fashion,
Jinsi ya Kushona juba hii angalia video hii ua-cam.com/video/m4apGKrJjTQ/v-deo.html
Nimekuelewa Allah akujalie
Nimekuelewa Allah akujalie
🤲🤲🤲
Ni nzur san
Vzr
Unakata vipadee viwilii
Jinsii ya kushonaa
Video ipo angalia
Tunaomba muendelezo wa video jinsi ya kushona
Jamani nishakata nakushona pia nishone mimi, hata hivyo kuna video nyingi tu za juba kama hiyo nimeonesha Jinsi ya kushona
Nielekeze jinsi yakukata na kikofia hlo juba
Izo sehemu za mipasua unapiga. Zgzaga
Ukitaka kama hauna unapinda kwa mkono au unaweka overlock nyembamba
Mi sijaelewa
Hujaelewa nini
@@NaimaCreation Jin's yakukata juba
Upo mkoa ganii dada
Kigamboni Dare salaam
Naomba unijulishe jinsi ya kuishona
Angalia hapa ua-cam.com/video/m4apGKrJjTQ/v-deo.html
Je ndefu mpk chini unapimaje
Kama ukivyo pima hii utapima hadi chini
Unielekeze na jinsi yakushona
Kushona tafuta video utaona
Muendelezo wa kushona tafadhali
Angalia comment ya kwanza video ipo
Iyo rangi ya cream apo unaishoneaje kwa chini apo
Wasap namba 0672310102
Na kitambaa Sina gani Ni mpira au
English saatini
Kwa mtoto inahitajika mita ngap? Wa miaka saba
Mpime mtoto wako
Tunaomba muendelezo wakushona
Video zipo angalia ua-cam.com/video/m4apGKrJjTQ/v-deo.htmlsi=SlkQVuCBNMTSl5G5
Shingapi iyo
Elf 50
Habari dada nimependa unavyofundisha, naweza kupata namba yako ya wasap tuyajenge
0672310102