Ni Neema kubwa Sana hii. Fanyanyeni kazi angali bado Ni mchana coz waja usiku ambao hatutaweza fanya kazi. Ongezeeni speed kwakila hatua Mkimtanguliza Kristo YESU.
Nimekuwa fan wa mwimbaji Emmanuel mgogo kwa miaka 6 sasa kwa sababu nyimbo zake zina nibariki sana, lakini kolabo hii noooooooooo...inakaa secular musicccccc
Balikiwa sana 🎉🎉🎉mungu akuinuwe zaidi ❤❤
Nina Mungu 🙏🙏🙌🙌🙌One love my brothers
hongera sana mtumishi kazi nzuri
Ubarikiwe sana Sam, video nzuri wimbo mzuri sana Mungu azidi kukupa idea uzid kutubark❤
Moto za watu wa Mungu ziwake hpaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa💥💥💥
Barikiwa sana wanangu Mungu awainue
🎉🎉 mungu aenderee kukuweka viwango vya juu zaid
Ni Neema kubwa Sana hii. Fanyanyeni kazi angali bado Ni mchana coz waja usiku ambao hatutaweza fanya kazi. Ongezeeni speed kwakila hatua Mkimtanguliza Kristo YESU.
Atareeee sana
Mungu azidi kufanya daima 😅❤
Mungu azidi kuwapa neema na kibali ongeleni kwa kazi nzuri🎉🎉🎉🎉❤
Barikiwa mtumiahi salute Sana Mungu akutumie Kwa viwango
Mungu aendelee kukuinua katika huduma aliyoiweka ndani yako
Amina kaka.ngao kazi nzuri sana
Saf sana papaa wangu
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
Blessings to you my friend
Mbarikiwe Mno na Mungu Azidi Kuwatumia Nyimbo ni ya viwango pamoja na video🔥🔥
Barikiwa sana
Amen barikiwa sana mtumishi 🎉
Ninyimbo ambayo ilinifariji sana 😭😭😭😭😭
Ubalikiwe mtumishi wamungu kazi nzur na sauti imetulia zidi kuinuliwa tembelea na akaunt yangu pia
Wow wow moto 🔥
Number one
Moto Wa yesu
Samweli hongera ,video nzuri kabisa
Ahsante San kaka kazi nzure
Nice saana
Hongereni sana mko vizuri sana
Aija Isha mpaka iishe the best🔥🔥
keep GOING brother's 🎉🎉🎉🎉🎉
Aminasana
Kaz nzr
Am not afraid mimi sio wakushindwa 🎉🎉🎉
Hongera my dear kaz nzur
Congratulations to you brother
Mbarikiwe sana watumish was bwana
Moto 🔥
Nina MUNGU🖐🙌
Bwana Awabariki kwa huduma yenu
Nina Mungu ananipigania
Power power power
Waimbaji wakubwa kaz kubwa
Hakika Nina Mungu🎉🎉🎉
More grace 🙏
Aminina
❤❤❤hadi rahaa❤❤
Mungu azidi kukuinua sana ticha 🙏❤️
Hakika Nina Mungu😊
Awesome mmetisha sanaa
Kwer Nina mungu🎉
Ubarikiwe sana kamanda 🙏
Mungu awatunzie zaid
Safi sana yaani
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🎉
naupenda sana hu wimbo
Wow wow
Kazi nzuri mnooooo
Balikiwa San bro kazi mzuli sana
Kazi nzur sanaaa ❤❤❤❤❤
Ongela sana kaka kazi nzuri
❤❤ Amen Amen be blessed 🎉🎉
Kazi kubwa❤🎉
Kazi Njema Sana
Hongera mtumishi
Kali sana kaka
Safi Sana mtumishi tupo pamoja
Nice job
Bwana akubariki Sana Kaka , Hii ni fire 🔥🔥
Kazi nzuli
Kali
Nina Mungu
Hongera sanaa❤❤
Kamanda
Ubarikiwe
Wow
ubarikiwe
Oyooooooooooo
❤❤❤❤
❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉
Nimekuwa fan wa mwimbaji Emmanuel mgogo kwa miaka 6 sasa kwa sababu nyimbo zake zina nibariki sana, lakini kolabo hii noooooooooo...inakaa secular musicccccc
❤❤❤❤❤❤❤
❤
Iko powa sana Kaka mumetisha
Collabo ya Mwaka
@samwelingao
Nina Mungu ni next level 🎉🎉🎉hongera sana
Ongela sana kaka kazi nzuri
Mbarikiwe
🔥🔥🔥🔥
Barikiwa sana
❤❤❤❤❤❤❤