Basi kina diamond waliotoboa kina konde boy na wengine huko hawawezi kuoa kisa hereni na bleach, rasta, matatoo weee upo dunia ya kizamani ya ukolonii utumwa huo endelea kua mtumwa.
Wanaume wanaume tubaki wanaume,walioamua kuanza kushare hisia na mitindo na wanawake waendeleee..... Na ngumu sana kuelewa Akili ya Mwanamke,Ngumu sana....kikubwa ni kushukuru Mungu kama unaweza kuwa na machale yakutosha
JOYCE UNACHOONGEA NI UKWELI ARON NI KIJANA MZURI SANA NA MPIGA KAZI MZURI SANA NA AMETOKA FAMILIA YENYE HOFU YA MUNGU SANA.HONGERA JOYCE MUNGU AMEKUSIKIA TUNAOMJUA ARON SINCE ARUSHA TUNAELEWA
Mungu atuhurumie sana. Yaani ninyi mnaulizwa mwawezaje kuwa na ndoa 2 kama wakristu? Halafu mnajifanya ķuja na mistari ya biblia ya kudànganya, Nyie Mungu anawaona wapuuzi nyie. Hapo mnasumbuliwa na tamaa za mwili tu ambazo zina mwisho wake.ok, go on
Usiangalie makosa madogo madogo ya mtu, Aroon ni mtu wa hatima ya Joyce hata kama anavaa heleni, Moyo wake wa upendo ni zaidi ya hizo heleni mnazoziona
@@careenpatrick2759 unajuaje kama Mungu ndio kaandika?ulikuwepo wazungu ndio wametuwekea haya yote hata yesu unaemuona hakua mzungu alikua mwafrika tukabadilishiwa tukawekewa mzungu mtaliano chunguza sio unakurupuka ndoa ni maelewano ya wawili na Mungu anabariki sio mmoja kua mtumwa kwa mwenzake hajasema hivyo.
Ila dada Joy Mungu akusaidie aisee, me mwanaume aliyetoboa maskio, akajichubua, anavaa Helen, nywele breach, anavaa suruali iliyo chanwa chanwa magotini aisee hapana Kwa kwel, namshukuru Mungu amenipa mwanaume niliyekuwa namhtaji🙏🙏
Mwambie akuoe sio wapenzi tu ndio itapendeza zaidi mpenzi wa kweli hukuzawadia ndoa sio akuchezee mamy
@@maryamalli9090 amenioa dear tuna mtoto kabisa🙏🙏
@@gradnessshitindi3694 hongera yako mamy mungu awadumishe katika ndoa yenu Amiin
@@maryamalli9090 🙏🙏🙏🥰
Basi kina diamond waliotoboa kina konde boy na wengine huko hawawezi kuoa kisa hereni na bleach, rasta, matatoo weee upo dunia ya kizamani ya ukolonii utumwa huo endelea kua mtumwa.
Wanaume wanaume tubaki wanaume,walioamua kuanza kushare hisia na mitindo na wanawake waendeleee.....
Na ngumu sana kuelewa Akili ya Mwanamke,Ngumu sana....kikubwa ni kushukuru Mungu kama unaweza kuwa na machale yakutosha
Mashalla!!!Mashalla !!!,mahaba tamtam,hapo umefikia jambaaa... # joyce kiria... ..💋💞💞💞🤸♀️🤸♀️🤸♀️
Nice Joice Kiria ❤️❤️❤️
Dada joyce sijui maisha yk ya nyuma kwajinsi ninavyokuona heshima yk mshauri atoe hiyo ereni
Mmh Ina kosa gani wenye heshima zao ndio hao kutwa kulala na mashoga hebu tulia wewe
Mi nawapenda saana. Ichi kipindi nikitamu sana.
Mm niyaweka mkono kichwani
Shida ni kwamba Wakiume wa kibongo wakipata wanawake wanaowazidi umri unaenda kwa mengi La kuchunaa n.a. sio mapenzi wachache sanna sana true love
🤣🤣🤣🤣mm huyu mtu aijue password yang bank oneee
Kwani lazima avae hereni jaman.kama ana hofu ya Mungu atoe hiyo hereno
Here! Hujakoma ee ! MPE hiyo namba ya Siri . Siku utaenda bank ukute kweupe ndo utaelewa. Ndo itakua hujui.
JOYCE UNACHOONGEA NI UKWELI ARON NI KIJANA MZURI SANA NA MPIGA KAZI MZURI SANA NA AMETOKA FAMILIA YENYE HOFU YA MUNGU SANA.HONGERA JOYCE MUNGU AMEKUSIKIA TUNAOMJUA ARON SINCE ARUSHA TUNAELEWA
Nataka namba ya Joyce kiriya
Mmmmh Joy hivi Kuna mapenzi kweli siku hizi?? Kuna chang's moto Sana dada kipenzi.
Dada Joyce kuwa makini na huyo mkaka hiyo hereni tu nina mashaka nae
mhusika hana mashaka nae wewe mashaka ya nini!! kabiliana na ya kwako kabla ya kuuliza ya wengine
Pendanani joy hivyo hivyoooo
Mmmmm hereni tena Askofu ooo
Hii ndoa bado ipo??
Halloo huyu kaka ana akili mingi mno. Big up Aaron Joyce hubby
Dada Joyce hivi baba wa mtoto haliyemleta Duniani au anamcare mtoto au watoto na mke
Dida mswahili sana jamani
Mungu atuhurumie sana. Yaani ninyi mnaulizwa mwawezaje kuwa na ndoa 2 kama wakristu? Halafu mnajifanya ķuja na mistari ya biblia ya kudànganya, Nyie Mungu anawaona wapuuzi nyie. Hapo mnasumbuliwa na tamaa za mwili tu ambazo zina mwisho wake.ok, go on
Joyce dada yangu huo mkono wenye Pete, saa na kucha unauonea sana,mkono uko busy kweli....hahahahahaaa
WEWE JIKANYAGE TU LAKINI HAO WATOTO SIO WA HUYO KENGE AENDELEE KUVAA HELEENI NA USHOGA WAKE HANA CHAKE.
Aya yatima wa mapenzi tujuane
Usiangalie makosa madogo madogo ya mtu, Aroon ni mtu wa hatima ya Joyce hata kama anavaa heleni, Moyo wake wa upendo ni zaidi ya hizo heleni mnazoziona
Mwanamke nani mwanaume nani hapo mtumishi anavaa hereni
🤣🤣🤣🤣aliye olewa ni nani hapo?
Bado wew mbwa watapasua hicho kichwa na bastola kiherehere
Huyu ni kofi la kisogoni tu,bastola anapigwa kisu haswa
Halafu ni mwanamke wewe duuu kweli utumwa hauishi.
@@erickmichaelmugele2107 😁😁😁😁
@@misschagga8042 utumwa upi sasa vitabu vya mungu ndy muongozo wa maisha yetu, sa kama ww utapingana na maagizo ya mungu sawa we pingana nayo
@@careenpatrick2759 unajuaje kama Mungu ndio kaandika?ulikuwepo wazungu ndio wametuwekea haya yote hata yesu unaemuona hakua mzungu alikua mwafrika tukabadilishiwa tukawekewa mzungu mtaliano chunguza sio unakurupuka ndoa ni maelewano ya wawili na Mungu anabariki sio mmoja kua mtumwa kwa mwenzake hajasema hivyo.
Jamaa anajimaliza... Subiri tuone mwisho wake
Hakuna kujimaliza Wala kujianza hakuna mapenzi siku hizi
Wanawake nadhani mnaelewa
Aaron unaongea
🤣🤣🤣🤣hongera dada joyce
Dada hakumi huyu
Nisawa mchunfaji anaishi na hawara?
Mpenzi huyu noma ni sharo kweli
Hakuna mchungaji anavaa ereni huo ni ushoga tu hana jipy condoo wanajifunza nini kwako
Mmmhhhh
MWAMBIE HUYO JUMA AJIFUNZE WANAUME WATAKIWA WAWEJE WANAUME. DIDA SAUTI KAMA RAADI JIFUNZE KUJIREKEBISHA
Yaani Dida ni mswahili sana!!
Ndo utajua hujui. Kufanya kosa si kosa. Lakini umerudia Tena. Utajua hujui baadae. Hustuki tu hata watangazaji wanakucheka.. hahaaaaaa
Hatari
Wambea wasafi ndokazi yen
Hamna mwanaume Wala Askofu shogatu huyu
HUYO SIO ASKOFU NI MSANII TU ANGALIA ANAVO VAA HERENI ANAJICHUBUA. NICHOKACHOKA
😅😅
Humjui Aron tuliokuwa nae tunamwelewa vzr
Mbona huyo jamaa simu elewi elewi ivii
Naona kama vile dada angu J atakuja kupigwa na kitu kizito vile Kwa baadae
Wote wanawake wamekutana 😂😂😂😂😂
Acha wivu fala ww tafuta wako tumuone
@@georgesikazwe5914 Tafuta bwana kama unawashwa😏😏😏😏
Makubwa
Huyu mwanaume au mwanamke?
😁😁😁hili swali inabidi tumuulize hili paka Joyce
🤣🤣🤣🤣🤣
Matatizo ya Dida ni kwamba ana mambo ya kiswahili Swahili yaani maswali ya kiswahili swahili kucheka kiswahili Swahili!!
🤣🤣🤣
Mwanaume atakuwa huyo,,hilo shoga pumbavu wewe
Hapa huyu dada kajivunjia heshima kabsa waliokua wakimuona nidada anae jitambua kwahuyu jamaa wana kuona bado unahitaji elimu sio wewe kuelimisha yaonekana kabsa unafanya utoto kweli kabsa unamtambulisha huyu mbele ya wa Tanzania tulie kuamini? kama ungekua nidada yangu walah ninge mtimua mumeo kwangu akija au nyumbani kwa wazazi wasinge kubali hereni zawanawake avae mwanaume tena shemeji hapana pangechimbika jirekebshe dada umetukosea wa tz
Wivu t unateseka san eeh
Kutoka kwa yule baba mpk kwa huyu mpk bleach ni anguko na kushuka kimapenz
Mmmmh
Anatapatapa tu utaolewa na wangap
Kweli dunia ina mambo Askofu anavaa hereni du Joy ndo yule tunayemjua au
Hahahahaha😄😄😄😄😄😄😄😄askofu kwani havai herini?
@@maryamalli9090 naamin ata akija kuvaa kimini utakuja kusema pia kwn askofu havai kimini😊
@@danielmtanda1223 😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔
Mchapuko utamjua2 anavyopayuka
🤣🤣🤣