😂😂😂 sometimes jina kweli umatter alot ,jirani wetu aliita kijanake sisheno ,in Kiswahili means shetani , walaai yale mambo huyo kijana anafanya 😅Ata sheto mwenye jina anamuogopa,mara amekata ngombe mkia mara anastua watu usiku kwa matsnga ,mara ameiba kwa police 😂😂
Second too see
Nilisema Wanjohi hawezi kuacha pombe 🙂😊
🤣🤣🤣🤣🤣 Eti mshahara inachelewa... Lakini a whole Radio Jambo hawajaeka credit surely??
Nice.
First to see this
Hio jina wanjohi, siwezi ita mtoi wangu, sio jina poa
Mpee Time
Hiyo jina wanjohi inamanisha pombe kiukuyuni abadilishe jina wanjohi
😂😂
😂😂😂wat about wahome 😢bcx wangu ametushinda na pombe mpaka nikaondoka kidogo
Even me am like name has power
@@luckydubebello1131 waa sorry dea ataacha siku moja
Nope hamanishi hivo,Inamanisha mpenda wanawake
😂😂😂 sometimes jina kweli umatter alot ,jirani wetu aliita kijanake sisheno ,in Kiswahili means shetani , walaai yale mambo huyo kijana anafanya 😅Ata sheto mwenye jina anamuogopa,mara amekata ngombe mkia mara anastua watu usiku kwa matsnga ,mara ameiba kwa police 😂😂
😂😂😂😂😂nimecheka vnye ulikuwa unataka
@@salimkhadija6593 🤣🤣asante Mimi nilikuwa nathani ni bangi BT kuchunguza wavuta bangi NI watu taratibu Sana nikajua lo hii ni jina ,sisheno
@@user-cg3vf2bl6b Niue kabisa😂🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
Huyu labda aitwe Wamushie au jina ingine mzuri, abadilishe jina
Wanjohi is my neighbor
😮Wanjohi means mtu wa pombe.
😂😂😂😂😂😂credit mshikila Hahaha
😂😂😂hizo ni story tu, tangu lini mlevi aombe msamaha , mapema ndio best
Wiki mbili ni kidogo bana ata jina lenyewe laogopesha
😂😂😂 lakini ghost