KUOTA UNAPIGANA/UNATEMBEA BAHARINI/UNAPIGWA/UMEACHWA NA USAFIRI/SHEIKH ABUU JADAWI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • KUOTA UNAPIGANA/UNATEMBEA BAHARINI/UNAPIGWA/UMEACHWA NA USAFIRI/SHEIKH ABUU JADAWI
    #KUOTA #BAHARINI #USAFIRI #SHEIKH

КОМЕНТАРІ • 43

  • @user-qv7gl1ph9t
    @user-qv7gl1ph9t 9 місяців тому

    Aa shekhe nimeota nampiga mchepuko wa mume wangu tena nilikua na hasira mkali sana nikamburuza nywele zake nikamtoa nje naakuna alieniweza wote walikaa kimya hata mumewangu

  • @RajabuSalumu-e6c
    @RajabuSalumu-e6c Місяць тому

    Shiekhe. Assamuaalayikumu warrahmatullahiwabarakatuhu

  • @user-ko5bx6tr5v
    @user-ko5bx6tr5v 4 місяці тому

    Shekhe mimi nimeota naingia chooni mtoto wa boss wangu akamskuma rafiki yake kule kuke chooni kwenye Niko yaan kama kuhitaji tendo la ndoa kifanyike Ina manisha nin

  • @user-wq1sp7kh5k
    @user-wq1sp7kh5k 8 місяців тому

    Asalam alykm shekh nimeota nimepigwa Kofi kichwani nikaenda hosp nikapuuziwa nimeamka kichwa kinaniuma sana maana yake nin

  • @SolmSwaleh
    @SolmSwaleh 3 місяці тому

    aslam aleykum shehe mm nimeota na mpga mtu vimbo nyingi sana kila sehemu nn fasiri yake baad yahapo niliota mbwa wanakimbiza nyani

  • @user-kz2me3tz6x
    @user-kz2me3tz6x 3 місяці тому

    Shekhe nimeota namsujudia mwanamke mwezangu nin maana yake

  • @FatmarAthman
    @FatmarAthman 2 роки тому

    Assalam aleikum sheikh mm nmeota natoka damu kwenye tumbo nmetoboka sehemu na vdole vnamwaga damu nlkua karbu na rafki yangu nlpokua nkimuelezea shida yangu akasema kua hyo n ishara ya kifo basi palepale nliinue mikono juu nkaomba mungu anipe maisha marefu na ikfka sku yangu yakfo anchkue ilhali yu radhi na mm huku ikiwa nmesmama kwenye nyumba kulkua na kopo juu linamwaga maji nkajiosha na maji yale mara saba huku nkimuomba mungu aniondoshee kila mabaya na anpe mwsho mwema mwsho nkasema amiin ksha mbele nlwaona wanawake wengi akiwemo mamayangu na mm nkaenda kuket nao shukran

  • @fadiahamza1467
    @fadiahamza1467 Рік тому

    Asalamu alekum mm ni mjamzito nimeota mume wangu kafa kaenda kuzikwa ila natoka nnje naona miezi mitatu imekaa umbo la duwara mwisho ikapotea yot mitatu baada ya mda nangalia pemben namuona mume wangu yup hai anasem mm sijafa nip hali

  • @user-gh5kr9ho3f
    @user-gh5kr9ho3f 2 місяці тому

    Mm niliota kwaza nilikuwa nandugu yangu sehem ambayo siikumbuki visuri watu wanataka kutuibia tukakimbia chakushangasa sijui ndugu yangu Alienda wapi kidogo tena najikuta namtoto mdogo kisha nafukusuwa nawatu wenye silaha na mm pia nipo nayo na huyo mtoto pia alikuwa na yakwake sasa nimefika mbali narudi nyumbani nakutana nawao karibu nanyumbani lakini napita pembeni yao hawakuniduru ila yule mtoto alipiga risasi juu wala hawakuongea inamaanisha nn hiyo

  • @AminaJuma-on1rb
    @AminaJuma-on1rb 3 місяці тому

    Asalam alaykum mm nimeot natok safar njian watu wakapigan humokweny gar mm ikakimbia nikaskia kitu kinapig kichwan kwangu mara gafra nikashtuka

  • @user-jz8sj5us1h
    @user-jz8sj5us1h Рік тому

    Sheikh mm nimeota mume wangu anataka kuniua sio mara1 nimemuota mara3 yeye na mama yake mzazi mume wangu yeye ndo anasema razima aniue

  • @seifseif24
    @seifseif24 10 місяців тому

    السلام عليكم ورحمة الله وبركاته sheikh naomba unitatulie ndoto yangu akipenda allah
    Mm nimeota mafuriko ya bahari yaan tsunami. Na huku nikipambana kuwasaidia jamaa zangu.
    Je hii inamaanisha nini
    Nahii ndoto huwa naiota sana

  • @lindaaqwesso2677
    @lindaaqwesso2677 2 роки тому

    Nimeota ndoto Raisi mama samia amrpigwa kichwa na mwanamke, paka akandodoka, lakini mimi nikaigilia kt nikimtetea nikapigana na huyo mwanamke,lakini wakati mm napigana na huyo mwanamke, Rais alikuwa amekibizwa na wanawake wawili kwa ajili ya kunusuru maisha yk, nilifinikiwa jumping yule mwanamke Adui, lakin nifika alipo mama samia nilikuta asakari wanampokea akiwa hali yk bay, mm nikawa nalia nikimwombea kupona,

  • @karamkhayal2473
    @karamkhayal2473 3 роки тому +2

    Nimeota napigana na marehemu

  • @allykitumbi8310
    @allykitumbi8310 2 роки тому

    Nimeota naenda kwa mpenzi wangu niliyeachananae kuchukua vitu vyangu lakin nilipokwenda chukua vitu vyangu kanipa lakini kiroho upande sana kama utaki HIVi lakini alikua mjamzito mimi sikumucha mjamzito pia nilipochukua vitu vya nikazunguka nyuma ya nyumba nikaona chumba chetu cha kulalia kimekua kama nyumba iliobomoka yani nyumba kukuu (boma )pagale kisha nikashtuka

  • @eshashamu7663
    @eshashamu7663 2 роки тому

    Ustadh mm nimeota ngunz

  • @qualifyreferencesmedia6804
    @qualifyreferencesmedia6804 2 роки тому

    Kuota uko na mkeo nyumbn ila km kuna tafrija hvi ya watu mara mkaanza kugombana ila siku zote huwa anakuwa kawaida hata ukiota sas hyo siku katika kugombana mwisho wa siku akabadilika maumbile yan km shetan makucha majino na akiwa anaishambulia na kunikwaruza hv mara mdada mwingine akaingia km kunisaidia kumzuia mke wangu

  • @user-qv7dm4ok6g
    @user-qv7dm4ok6g 5 місяців тому

    Na jee ukiota wafukuzwa na masai Bahraini wanataka kukuchinja

  • @khadijaabdallah4547
    @khadijaabdallah4547 2 роки тому

    Mimi naitwa khadija abdallah nimeota nimemwagiwa dawa nyeusi nn maana yake

  • @zuwenahaji860
    @zuwenahaji860 2 роки тому

    Assalamu Alaykum shehe
    Mm ramadhani nimeota na nipigana na mume wng tukiwa tumevaa vibukta vyeupe sote , mwisho wakupigana nimemshinda kaanguka chini, inamaana gani

  • @uthmanihimbawe5244
    @uthmanihimbawe5244 3 роки тому +1

    As/alykm maalim mi niliota nakula nyama ya kuku kwenye dua ndoto, hi inamaana gan?

  • @kaundakayumba5495
    @kaundakayumba5495 Рік тому

    Mimi uwa naota napigana na mama yangu ina maana gani?

  • @mohamedmwagudu5740
    @mohamedmwagudu5740 Рік тому

    Mohamed mwagudu toka mombasa Kenya nini maana ya ndoto unapinga na watu wawili lakin mmoja alikufa zamani na huyu mwengine yuko hai wote ni watu family yangu maana yake nini?.

  • @seifseif681
    @seifseif681 2 роки тому

    Sheikh mm nimeota hii mara ya pili nipo eneo moja ilo ilo halafu kapita mwanamke akasema nimfwate kumfwata ananinyanyuwa anitowe nguvu zangu mm nikasoma ayatul kursiyu akaniachiy ina maana gani hii ndoto

  • @suzanlyimo8326
    @suzanlyimo8326 3 роки тому

    nimeota nimegomban na mwanaume wangu kwa nimefuma antakutembe na mdada wa kazi nimepiga yeye yupo kny....sasa baad yakuota hiyo ndoto jn leo mdada ananiambia anatakuondoka waki mwanaume wangu siyo mkaji ni mtu wakuja kumuona mtt na kuondoka...masn amke wake site tumesha achana anakuja nikiw kazini leo hihi alikuja kumuona kuondoka

  • @faykhasabdullah8700
    @faykhasabdullah8700 Рік тому

    A alaykum shekh nimeota nazozana na watoto watatu wakiume wakataka tupigane nilipimkamata mmoja nikanpiga nikamuua nikamtia kwenye mfuko na mfuko nikautia mchanga sasa nikaanza kuogopa

  • @yunisalfarsi6168
    @yunisalfarsi6168 2 роки тому

    Mimi niliota na kutana na babu njiani mala kageuka paka nimependa hii unageuka paka mala mtu ila hakunitisha niliona kawaidatu baadae nimekuta YUPO juu ya MTI na hali ile ile anageuka paka

  • @ndayambajefikirini7252
    @ndayambajefikirini7252 2 роки тому

    Assalam aleikum sheikh,mwanamke kuota ananywolewa ndevu na nywele ,pia alikua na Katoto kake kakike pia kaka nyolewa nywele tafsiri zake zipi

  • @emmycalvin5073
    @emmycalvin5073 2 роки тому

    Jaman mimi nimeota rami yote imeenea tandu kila nikikimbia tandu wananifata yaan wamejaa njia nzima..hii ina maana gan..?

  • @masamakibetha2632
    @masamakibetha2632 2 роки тому

    Jamani me Huwa naota maembe mti mzima yameiva nachuma tena yapo karibu natungua nikiwa nimesimama tu

  • @fatemafat7491
    @fatemafat7491 3 роки тому

    Mimi nimeota nakimbizwa lakin mimi nikapaa juu lakin sina mabawa

  • @azizamussa3475
    @azizamussa3475 3 роки тому

    Mm nimeota nimeenda safari na mchumba wangu na dada angu nipo barabarani alafu akatokea mtu akatuseidia mzigo ikanyesha mvua kubwa ila badae tukajikuta tumefika kwa dada tu

  • @user-kx2cm8de7s
    @user-kx2cm8de7s Рік тому

    Je ukiota umeona bahari Nahumo mwenye bahari kunamajahazi yanatembea mengine yamesimama nini maana yake

  • @eshashamu7663
    @eshashamu7663 2 роки тому

    Ustadh mm nimeota nguzo ya umeme imetoa cheche za moto ila mm nikakimbia mbari na hizooo cheche za moto je nini

  • @karamkhayal2473
    @karamkhayal2473 3 роки тому +1

    Yani ni mama angu mdogo na tunapigana

  • @muzdalefaali4975
    @muzdalefaali4975 2 роки тому

    Nimeota mtu anakuja kunikata na panga anasema nimetwa kukuuwa nilivwo shutuka nimelala tena nikaonga ng ,ombe ila nimekimbia nimefunga mlango

  • @khadijashehe1990
    @khadijashehe1990 3 роки тому

    Nimeota gari la mizigo inakuja mbio sana tukiwa tunapishaa darajani gari yetu ilisimama kulipisha gari kubwa ipite matokeo yake lile gari kubwa lilijigonga na daraja likarudi nyuma nakelemea Bondeni jee!hii ndoto ina maana gani?

  • @seifseif681
    @seifseif681 2 роки тому

    Tena sheikh mara ya pili eneo ilo ilo nimeota tumekaa na wanafunz wengi na mm mmoja wapo mara gafla gurupu la nyuki linanifwata nini maana yake

  • @mayengamuhindi4721
    @mayengamuhindi4721 3 роки тому

    Ninapokuwa naweka fusho Kuna kitu kinakuwa Kama kinataka kutoka mdomo kina kwama kwenye shingo kwa nn